Read, copy, and download the Siwezi lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Siwezi by Nandy from the album Siwezi. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:04.88. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Siwezi]
[ar:Nandy]
[al:Siwezi]
[lang:Swahili]
[length:03:04.88]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:11.44]Naona kama dunia imesimama nimeibeba kichwani
[00:17.04]Kumbe kuachwa inaumaga ivii
[00:22.27]Tena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririka
[00:28.08]Kumbe kuachwa ina umaga ivii
[00:33.63]Umeniumbua bora niseme
[00:36.70]Kiapo nilicho kula bora nikiteme
[00:39.29]Mapenzi shikamo sirudii tena
[00:44.95]Umepatwa na nini si useme
[00:48.14]Kinachokufanya we uniteme
[00:50.67]Mapenzi shikamo sirudiii tena
[00:55.83]Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa
[01:02.10]Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa
[01:07.47]Bila wee me siwezi (sauti inarudia)
[01:13.36]Siwezi, siweziii (nakumbuka uliniambia)
[01:18.17]Bila wee me siwezi (sauti inarudia)
[01:24.94]Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia)
[01:30.69]♪
[01:41.32]Unanifanya mi nalewa sana
[01:44.40]Haipiti siku bila kugombana
[01:47.19]Mapenzi yako ya kibabe sana
[01:49.86]Malumbano ya mapenzi siyawezi
[01:52.80]Kuna sielewi mana, ivi kwanini kwako na nga ngana
[01:58.45]Mapenzi gani haya kutesana
[02:01.13]Wasi wasi wa mapenzi
[02:02.91]Ivi kwanini we hisia zangu unazikondesha unaniweka roho juu
[02:08.63]Ina maana mie maisha yangu sito yasongesha oh mapenzi
[02:14.59]Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichoka
[02:21.13]Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa
[02:26.37]Bila wee me siwezi (sauti inarudia)
[02:32.61]Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia)
[02:37.92]Bila wee me siwezi (sauti inarudia)
[02:43.86]Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia)
[02:49.70]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Siwezi by Nandy
1. Who is the singer of "Siwezi" song?
⇒ Nandy has sung the song "Siwezi".
2. Which album is the "Siwezi" song from?
⇒ The song "Siwezi" is from the album Siwezi.
3. In which language is the "Siwezi" song composed?
⇒ The song "Siwezi" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Siwezi" song?
⇒ The official duration of "Siwezi" is 03:04.88.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Nandy - Siwezi