Read, copy, and download the Nibakishie lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Nibakishie by Nandy, Alikiba from the album Nibakishie. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:47.36. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Nibakishie]
[ar:Nandy, Alikiba]
[al:Nibakishie]
[lang:Swahili]
[length:03:47.36]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:02.38]Mmmmmh oh oh oooh mmmh
[00:09.80]Yaani, nikikutazama
[00:13.79]Naiona Dunia wangu peke yangu tu
[00:19.95]Jua linapozama, giza likiingia
[00:26.01]Natamani nikuone tu
[00:30.22]Ooh baby ukisakata rhumba
[00:31.97]Sijalewa nayumba
[00:34.43]Caterpillar limebomoa nyumba mmmh
[00:39.20]Natamani nife nizikwe nawe
[00:41.86]Shida na raha nawe
[00:45.08]Niwe nawe
[00:49.66]Mwenzako nimepatwa na homa
[00:52.42]Umepasua ngoma
[00:54.84]We baba ni noma mmmh
[00:59.34]Akili imesita imegoma
[01:02.34]Mwisho wa reli kigoma
[01:04.37]Ooh ooh
[01:07.71]
[01:09.98]Oh baby (nibakishie)
[01:10.84]Usinipe vyote mie (nibakishie)
[01:14.00]Utaniua (nibakishie)
[01:16.69]Kwa hiyo roho yangu (nibakishie)
[01:19.05]Oh baby (nibakishie)
[01:21.74]Usinipe vyote mie (nibakishie)
[01:24.07]Utaniua (nibakishie)
[01:27.13]Kwa hiyo roho yangu (nibakishie)
[01:29.70]Ooh baby
[01:32.07]Nishaharibu cocky ya mapenzi acha niloe
[01:36.66]Pacha wangu ni wewe tunamatch sare sare
[01:42.17]Nitazurula kulilinda penzi
[01:45.24]Kwa ndumba na chale
[01:46.82]Tetere lipe mchele mzoga wake mwewe
[01:50.80]Ooh, basi nikabidhi
[01:53.39]Ooh, moyo sitopunja wala kupima aiyaya
[02:01.16]Ya yanishika ganzi na kichomi kuchoma
[02:06.50]Mwili mzima wa tetema ooh maybe
[02:12.35]Baby, umetekenya ngoma
[02:15.23]We mama ni noma (noma)
[02:20.11]Akili imesita imegomaa
[02:23.33]Mwisho wa reli kigoma kigoma kigoma
[02:28.10]Ooh ooh
[02:30.23]Oh baby (nibakishie)
[02:32.07]Usinipe vyote mie (nibakishie)
[02:35.20]Utaniua (nibakishie)
[02:37.22]Kwa hiyo roho yangu (nibakishie)
[02:40.36]Oh baby (nibakishie)
[02:42.20]Usinipe vyote mie (nibakishie)
[02:44.90]Utaniua (nibakishie)
[02:47.38]Kwa hiyo roho yangu (nibakishie)
[02:50.63]Ooh baby eeh
[02:57.29]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Nibakishie by Nandy, Alikiba
1. Who is the singer of "Nibakishie" song?
⇒ Nandy, Alikiba has sung the song "Nibakishie".
2. Which album is the "Nibakishie" song from?
⇒ The song "Nibakishie" is from the album Nibakishie.
3. In which language is the "Nibakishie" song composed?
⇒ The song "Nibakishie" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Nibakishie" song?
⇒ The official duration of "Nibakishie" is 03:47.36.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Nandy, Alikiba - Nibakishie