Read, copy, and download the Kwetu lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Kwetu by Rayvanny from the album Rayvanny. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:30.31. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Kwetu]
[ar:Rayvanny]
[al:Rayvanny]
[lang:Swahili]
[length:03:30.31]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:15.77]Sifa kwa Mola wangu Maulana kwa mengi aliofanya
[00:19.19]Hadi mi na we kukutana, kisura
[00:23.64]Sijapanga kudanganya, ntasema ukweli mama
[00:27.20]Kisa nakupenda sana, kisura
[00:31.39]Umesema wanipenda ila maisha yangu maseke
[00:35.29]Michicha, milenda ndo menyu yangu, na ya kuku mateke
[00:39.13]Yaani chenga, kila siku kilio sa lini nicheke?
[00:43.30]Sina tenda, ugali Buguruni, mboga Temeke
[00:47.20]Nafurahi umeniridhia niwe na wewe kimwali
[00:51.33]Maisha yangu mitihani isoisha maswali
[00:55.18]Ukifika nyumbani vumilia maana hali sio swali
[00:59.37]Asubuhi mchana pakavu, jioni ndo kula futali
[01:03.26]Tena huku kwetu muda wowote mateja wanatinga
[01:07.89]Viwalo vyetu ukifua kumbuka kuvilinda
[01:11.82]Huku kwetu muda wowote mateja wanatinga
[01:15.97]Mwali wee, suala la nyumba na gari mimi
[01:19.07]Bado, mi bado, mi bado
[01:21.88]Ndo kwanza nimepanga
[01:23.16]Bado, iyee, mi bado
[01:25.62]Sina hata kiwanja
[01:27.18]Bado, iyee, mi bado
[01:29.48]Kulipa kodi majanga
[01:31.08]Bado, mimi bado, mi bado
[01:42.03]Mtaani kwetu hekaheka ukienda sokoni kariri vichochoro
[01:47.20]Ghetto namkeka tu hakuna kitanda, shuka wala godoro
[01:51.35]Hekaheka hakuna kibatari ndani giza totoro
[01:55.20]Mvua ikinyesha nyumba inageuka ka boti ya Comoro
[01:58.14]Ila nimeshakupa, nimeshakupa mtima mtima
[02:02.53]Ukija kususa, utanizika mzima mzima
[02:06.23]Nimeshakupa eh, nimeshakupa mtima mtima
[02:10.34]Ukija kususa ah, utanizika mzima mzima
[02:14.15]Tena huku kwetu muda wowote mateja wanatinga
[02:19.19]Viwalo vyetu ukifua kumbuka kuvilinda
[02:22.82]Huku kwetu muda wowote mateja wanatinga
[02:27.91]Mwali wee, suala la nyumba na gari mimi
[02:31.31]Bado, mi bado, mi bado
[02:34.16]Ndo kwanza nimepanga
[02:36.49]Bado, iyee, mi bado
[02:37.58]Sina hata kiwanja
[02:38.92]Bado, mie, mi bado
[02:40.96]Kulipa kodi majanga
[02:42.81]Bado, mimi bado, mi bado
[02:45.64]Suala la nyumba na gari mimi
[02:47.59]Bado, mi bado, mi bado
[02:48.95](Haki ya Mungu bado, yaani shuka bado)
[02:50.50]Ndo kwanza nimepanga
[02:51.82]Bado, iyee, mi bado
[02:53.26]Sina hata kiwanja
[02:54.94]Bado, iyee, mi bado
[02:56.72]Kulipa kodi majanga
[02:58.84]Bado, mimi bado, mi bado
[03:29.06]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Kwetu by Rayvanny
1. Who is the singer of "Kwetu" song?
⇒ Rayvanny has sung the song "Kwetu".
2. Which album is the "Kwetu" song from?
⇒ The song "Kwetu" is from the album Rayvanny.
3. In which language is the "Kwetu" song composed?
⇒ The song "Kwetu" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Kwetu" song?
⇒ The official duration of "Kwetu" is 03:30.31.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Rayvanny - Kwetu