Read, copy, and download the Forever lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Forever by Rayvanny from the album N/A. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:22.00. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Forever]
[ar:Rayvanny]
[lang:Swahili]
[length:04:22.00]
[by:Jun]
[re:rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:00.80]Forever, forever
[00:03.20]Forever, forever
[00:05.61]Forever, forever (MLAM on the beat)
[00:08.65]Forever, forever (SoundBoy)
[00:11.57]Nilianza kusikia sauti yako, kabla sijaona sura
[00:17.61]Ikafanya nikageuka (ikafanya nikageuka)
[00:22.72]Macho yangu yakakutana na yako, oh mashallah
[00:28.60]Nikahisi malaika ameshuka
[00:32.81]Maana rangi, macho, umbo lako
[00:38.15]Likanivuta kwako, tuongee
[00:43.62]Nikakuuliza jina lako, namba yako
[00:49.48]Nd'o ulikuwa mwanzo wa mi' na wewe, uh baby
[00:56.55]'Menifungulia dunia ya mapenzi
[01:02.72]Nimesahau mateso
[01:07.60]Nakufungulia dunia ya kukuenzi
[01:13.77]We' ni wangu leo na kesho, eh-eh
[01:18.95]Nakupenda, sikuachi
[01:24.70]We' ni wangu, I promise
[01:30.60]Nakutaka, kando yangu
[01:35.92]Sikuachi, I promise
[01:39.66]Mi' na wewe
[01:47.10]Forever, forever, forever me and you
[01:50.93]Me and you forever, baby
[01:52.64]Forever, forever (milele), forever, mi' na we
[02:02.22]Nitazikwa nawe
[02:04.47]
[02:14.86]Mtoto mbichi, teketeke aki' mama umelainika
[02:19.78]Umeumbika, acha nikumwagie sifa
[02:25.86]Waruke sarakasi na mateke, uzuri wako hawatofika (hawatofika)
[02:30.86]Mama umejazisha, mikate yakumiminisha
[02:36.93]Baby waonyeshe cheko (cheko)
[02:40.50]Wape mideko (deko)
[02:42.80]We' mzuri, filter na make-up waachie wao
[02:48.10]Na unawapa mateso (teso)
[02:50.90]Watajifunika leso
[02:53.10]Waonyeshe kiburi wajue wewe ndio mama lao, aya-iya
[03:00.63]'Menifungulia dunia ya mapenzi
[03:06.97]Nimesahau mateso (mateso)
[03:11.87]Nakufungulia dunia ya kukuenzi
[03:18.18]We' ni wangu leo na kesho, eh-eh
[03:23.23]Nakupenda, sikuachi
[03:28.88]We' ni wangu, I promise
[03:34.35]Nakutaka, kando yangu
[03:40.70]Sikuachi, I promise
[03:43.88]Mi' na wewe
[03:45.53]Forever, forever, forever, me and you
[03:54.92]Me and you forever, baby
[03:57.00]Forever, forever (milele), forever, mi' na we
[04:06.54]Nitazikwa nawe
[04:17.69](Kamix-Lizer)
[04:20.63]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Forever by Rayvanny
1. Who is the singer of "Forever" song?
⇒ Rayvanny has sung the song "Forever".
2. Which album is the "Forever" song from?
⇒ The song "Forever" is from the album N/A.
3. In which language is the "Forever" song composed?
⇒ The song "Forever" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Forever" song?
⇒ The official duration of "Forever" is 04:22.00.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Rayvanny - Forever