• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Weusi Interlude Lyrics by Weusi - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Weusi Interlude lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Weusi Interlude by Weusi from the album AIR WEUSI. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:00.86. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Weusi Interlude by Weusi LRC Format

    [ti:Weusi Interlude]
    [ar:Weusi]
    [al:AIR WEUSI]
    [lang:English]
    [length:04:00.86]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:00.74]Mmmh (countr music baby)
    [00:03.31]Weusi (aiiih), wanene
    [00:06.47]Set it off
    [00:08.67]Huna credit mtaa umezima data
    [00:11.09]Hufiki wami mzee mwisho mkata
    [00:14.23]Najua una vina ila vina ukata
    [00:16.30]Vibao vya weusi watoto vibao kata
    [00:19.04]Nipo na macrates kwa bars wanayumba haswa
    [00:21.69]Kwetu mbembeanga kwetu simba kapakatwa
    [00:23.90]Contract killer nobody safe topshatta
    [00:26.74]Hatutake on twala linki kwa masaka
    [00:29.35]Wavivu wa kuchimba mtakunywa maji taka
    [00:31.71]Chukueni vitiki tunapiga tikitaka
    [00:34.09]Tupo maghettoni tunacheka Chris Kaka
    [00:36.96]Udaku na meide ndo tumefika hapa (mmh)
    [00:39.49]Tunauza na mziki mnauza na mwili pia
    [00:42.32]Naizo picha za utupu mnajibrand dear
    [00:44.11]Sitaki hizo meza zenye offer za bia
    [00:47.00]Kama mipango hamna mi nawakatia
    [00:49.05]Mnachopenda kona tukipiga makasia
    [00:52.11]Wanafiki mlale salama naweka mpaka njia
    [00:54.35]Mkiacha kukamia mtaanza shika mia
    [00:57.15]Ukila na wakubwa sio kufakamia (easy mmh)
    [01:00.82](Yeah) Tunaset bars ingia mtaa kwa mtaa
    [01:04.43]Singo zimetosha album ziingie kitaa
    [01:06.63]Uliimba nyimbo gani tena mbona kichaa
    [01:09.38]Unamzungumzia nani wewe ni hizi namba
    [01:11.57]Au ndo wale wale wewe niko najipanga
    [01:14.32]Hio hamna ni stori bingwa wa kujieleza
    [01:16.61]Na huyu naye mbishi mbona kama Nikki
    [01:19.70]Maujanja tunasupply wengine yeye hafiki
    [01:22.01]Sisi tunaweka levels muziki na upimp
    [01:24.46]Muziki ni audio au video unauliza
    [01:26.72]Huyu naye mune mule, kila siku vile vile
    [01:29.54]You all sound the same mnaimba vile vile
    [01:31.32]Hamna jipya kiki zenu ni zile zile
    [01:33.81]Hamna MC kwenye mic saa hizi
    [01:36.49]Singo haijaisha Insta unataka kutizi
    [01:39.20]Mapicha picha ndo kitu mnauza sikuhizi
    [01:41.75]Baba wa hardcore tamani mzibe koo
    [01:44.13]Kweli hardcore kilingi ka kikoo
    [01:46.60]Baba wa ukoo
    [01:47.25]Nawaaga kisoo soo
    [01:49.59]Na leo nawachana hamna nafasi kubanana
    [01:51.33]Fake kwa wasichana kwa kina mama pata laana
    [01:54.06]Wallet tunapanda mbele yetu hungoi mwana
    [01:56.71]Chupi ndo inabana hewani haujanilipa bana
    [01:58.90]Am a big nichi, dem dichi simweki ndichi
    [02:01.72]Mi ni ticha nikivua sipigi mbichi
    [02:04.08]Na siachi pengo nikifa nishaziba nchi
    [02:07.01]Niite saa wasalimie masnichi
    [02:09.58]Naskia kutushusha mmekulania
    [02:11.58]Okay sisi tunakula bia
    [02:14.19]Mko far tupo near
    [02:16.75]Na msipokaza tutawakazia
    [02:18.96]Wana tungo nyingi zimekosa manii
    [02:21.46]Hazitungi mimba hawashiki manii
    [02:24.28]Tukipigwa kiss wanakisirani
    [02:26.58]Wenye kismati tupo kisimani
    [02:29.45]Dem kama sio mkali anakamia
    [02:31.44]Ukiona mwana anajisifu ana kibamia
    [02:34.43]Ndoto yako kama huioti umeilalia
    [02:36.31]Moja yako kama haikai umeikalia
    [02:39.06]Sipigi tena shuti siku hizi ni visigino
    [02:41.79]Sina watu feki tabasamu ni original
    [02:44.30]Tukutane benki ni macheki namwaga wino
    [02:46.41]Mambo ni ufundi kawa jina langu Robinho
    [02:49.04]Mnunulie nguo tutamvua akishavaa
    [02:51.44]Tukishasimama tutasema baby kaa
    [02:54.06]Na tukishachoka tutapanda lako kaa
    [02:56.54]Endelea kuvimba ukipita kwa kitaa (eeh)
    [02:58.22]Mzee nikonyeupe kama sina lowa
    [03:00.89]Papa don mwamba wanasaka madoa
    [03:03.64]Wanaulizia ndoa papa zinaloa
    [03:05.65]Kapa nawatoa kapa ni kutoa
    [03:08.58]Mambo ni ya moto hakuna kupoa
    [03:10.65]Kuku wanataga pale wanatutoa
    [03:13.72]Nachukua mazaga naenda kupoa
    [03:16.44]Beat linasaga flow zinakoboa
    [03:18.63]Geu juu ya turu
    [03:20.25]Kuchafu nitokako uliza waturu
    [03:21.59]Na kuhusu kuwamada sina shaka zulu
    [03:24.26]Na ukiingiwa mashaka jua ushajihuzuru
    [03:27.07]Hoi ka umepigwa drip za mololo
    [03:29.15]Hawatii mikono, mikono mfololo
    [03:31.66]Na kwa hii mikono kujeni msororo
    [03:34.38]Hapa majembe yanatii mi ndio sururu
    [03:36.75]Kata wenge misibiji husha hatia tia
    [03:39.38]Ukiulizwa ni nani alikudondosha ni Rapcha
    [03:41.50]Nchi hii ni kama ile mipacha
    [03:44.06]Tunavyowaondoa kwenye ramani departure
    [03:46.68]Watamaduni si ndo tunatunza hii culture
    [03:48.98]Wape habari wachuuzi halivuji pakacha
    [03:51.81]Malalamiko mingi mnaleta utata
    [03:53.67]Mcees wenu wakali tunapiga msasa
    [03:56.51]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Weusi Interlude by Weusi

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Summertime

    Mbupu

    Weusi Interlude

    Derby

    Ile Saa

    Air Weusi

    Machete

    Penzi La Bando

    Kamata Toto

    Vi Deadly

    Tout Le Monde


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Weusi Interlude" song?

    ⇒ Weusi has sung the song "Weusi Interlude".

    2. Which album is the "Weusi Interlude" song from?

    ⇒ The song "Weusi Interlude" is from the album AIR WEUSI.

    3. In which language is the "Weusi Interlude" song composed?

    ⇒ The song "Weusi Interlude" is composed in the English language.

    4. What is the official duration of the "Weusi Interlude" song?

    ⇒ The official duration of "Weusi Interlude" is 04:00.86.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Weusi - Weusi Interlude