• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Ile Saa Lyrics by Weusi - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Ile Saa lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Ile Saa by Weusi from the album AIR WEUSI. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:52.00. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Ile Saa by Weusi LRC Format

    [ti:Ile Saa]
    [ar:Weusi]
    [al:AIR WEUSI]
    [lang:Swahili]
    [length:03:52.00]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:09.96](S2kizzy baby)
    [00:17.60]Naleta ujuzi kazini na sitaki kazi
    [00:20.39]Zidisha ujuzi kazini ufukuzwe kazi
    [00:23.83]Bosi hataki uwe bosi, bossi huyoo
    [00:26.70]Mdosi hataki uwe mdosi, Mdosi huyooo
    [00:29.74]Saa mnalala nasimama dede (Dede)
    [00:33.18]Saa mnapanga Mungu alipanga (Yeye)
    [00:36.43]Saa mnalala nasimama dede (Dede)
    [00:39.08]Saa mnapanga Mungu alipanga (Yeye)
    [00:42.33]Si tulipeleka rap club bana (Haree)
    [00:45.20]Si tulifanya mkasema wanabana (Maree)
    [00:48.08]Si tulifanya wakaacha kubana (Chee chee)
    [00:51.22]I say hapo hutopata rap za kufanana (Chee chee)
    [00:53.42]Na siachi kusubiri kufa kufaana
    [00:56.40]Na Chuga ni mbegu kali tunazaana
    [00:59.51]Tananitashivo ukileta sizo
    [01:01.91]Sisi ni matatizo
    [01:05.10]I don't sleep oh no, no, no party silali bwana
    [01:08.52]Hatuna namna, namna, namna ni si tutusue bwana
    [01:11.27]Ile saa ya kufanya ya maana fanya ya maana
    [01:15.24]Ua maupinzani (Ua)
    [01:16.88]Zima maushindani (Zima)
    [01:18.61]Zima roho fulani (Zima)
    [01:20.00]Ua Mashetani (Ua)
    [01:21.34]Si ndio Wakanda Forever wanahianya wherever
    [01:23.48]Ile saa ulisanda linakuita jeneza
    [01:26.67]Nauliza msingi ulimeza
    [01:28.29]Ulisahau kuvaa unateleza? (ile saa)
    [01:30.45]Naleta ujuzi kazini na sitaki kazi
    [01:33.53]Zidisha ujuzi kazini ufukuzwe kazi
    [01:36.02]Bosi hataki uwe bosi, bossi huyoo
    [01:39.27]Mdosi hataki uwe mdosi, Mdosi huyooo
    [01:42.58]Saa mnalala nasimama dede (Dede)
    [01:45.87]Saa mnapanga Mungu alipanga (Yeye)
    [01:48.76]Saa mnalala nasimama dede (Dede)
    [01:51.34]Saa mnapanga Mungu alipanga (Yeye)
    [01:55.16]Ukileta umimi na mi naleta umimi me
    [01:57.48]Ukileta usiku naleta mwezi mzima me
    [02:00.22]Saa mmelala nasimama dede
    [02:03.60]Na saa mshakufa nasukuma chepe
    [02:06.77]Watoto wa kulea waambie tete
    [02:09.87]Watoto wakitaka wacha walete
    [02:13.44]Usiposhika hela hamwezi shika adabu
    [02:15.44]Muziki wa vijana watu wanakesha kwa babu
    [02:18.55]Maswali ya Mungu shetani sio jawabu (Hakosi)
    [02:21.28]Mungu akikupa shetani hakosi sababu (Mikosi)
    [02:24.22]Naleta ujuzi kazini na sitaki kazi
    [02:27.91]Zidisha ujuzi kazini ufukuzwe kazi
    [02:30.25]Bosi hataki uwe bosi, bossi huyoo
    [02:34.18]Mdosi hataki uwe mdosi, Mdosi huyoo
    [02:36.83]Saa mnalala nasimama dede (Dede)
    [02:40.43]Saa mnapanga Mungu alipanga (Yeye)
    [02:41.91]Saa mnalala nasimama dede (Dede)
    [02:45.88]Saa mnapanga Mungu alipanga (Yeye)
    [02:49.18]Ile saa, ubaya uko mbele wema uko nyuma
    [02:51.39]Ile saa, wanga wanazima, Mungu anawasha
    [02:55.02]Ile taa, bosi fisadi anatumbuliwa
    [02:58.00]Ule usaa, ndo nyumba aliahidi utanunuliwa
    [03:00.94]Ngumu kupanda kama una marafiki wanaoshuka
    [03:03.83]Ni ngumu kuficha kama ulichojamba kinanuka
    [03:06.58]Eti weusi pipi nyinyi hizi ngumu mnauza
    [03:10.01]Sitaua tisa juu chini ukigeuza
    [03:12.25]Mke huwa malaya kama mume anampuuza
    [03:16.12]Lla saa unampa vidonda wengine wanampuliza
    [03:19.73]Ile saa, ile saa
    [03:36.66]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Ile Saa by Weusi

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Summertime

    Mbupu

    Weusi Interlude

    Derby

    Ile Saa

    Air Weusi

    Machete

    Penzi La Bando

    Kamata Toto

    Vi Deadly

    Tout Le Monde


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Ile Saa" song?

    ⇒ Weusi has sung the song "Ile Saa".

    2. Which album is the "Ile Saa" song from?

    ⇒ The song "Ile Saa" is from the album AIR WEUSI.

    3. In which language is the "Ile Saa" song composed?

    ⇒ The song "Ile Saa" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Ile Saa" song?

    ⇒ The official duration of "Ile Saa" is 03:52.00.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Weusi - Ile Saa