Read, copy, and download the Vi Deadly lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Vi Deadly by Weusi from the album AIR WEUSI. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:29.21. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Vi Deadly]
[ar:Weusi]
[al:AIR WEUSI]
[lang:Swahili]
[length:04:29.21]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:00.14]Najua ni vitamu
[00:01.08]Nakula mi vitamu
[00:03.64]Najua mi vitamu
[00:05.70]Nakula mi vitamu
[00:07.27]Kimanati manatii
[00:08.26]Ike watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
[00:10.97]Wala sio kismati
[00:12.95]Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
[00:15.23]Kimanati manatii
[00:16.70]Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
[00:19.40]Wala sio kismati
[00:20.86]Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
[00:23.41]Mambo nini, mambo sure
[00:25.95]Mtoko nini, mtoko sure
[00:28.13]Mambo nini, mambo sure
[00:30.22]Mtoko nini, mtoko sure
[00:32.63]Najua ni vitamu
[00:34.40]Nakula mi vitamu
[00:36.83]Najua mi vitamu
[00:38.98]Nakula mi vitamu
[00:41.00]Sipigi ngumi mi napiga simu
[00:43.11]Kwa machizi wangu hawapigi gym
[00:44.77]Viunoni wametia vinu
[00:46.90]Nikisema suu wanateka team
[00:49.01]Demu wako vile namshika
[00:51.08]Presha itakushika ukishika simu
[00:53.04]Uchumba sukari bora lamba sana
[00:54.99]Maana kwenye ndoa wanalamba simu
[00:57.04]Kila tunapokutana si ni pesa
[00:59.37]Lengo ni kupishana na hali ngumu
[01:01.79]Wanatukana kujitambulisha
[01:03.84]Hii ni kumaanisha kweli game gumu
[01:05.10]Kimanati manatii
[01:07.08]Ile watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
[01:09.48]Wala sio kismati
[01:11.13]Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
[01:13.40]Kimanati manatii
[01:15.11]Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
[01:17.62]Wala sio kismati
[01:19.37]Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
[01:22.36]Mambo nini, mambo sure
[01:24.46]Mtoko nini, mtoko sure
[01:26.69]Mambo nini, mambo sure
[01:28.62]Mtoko nini, mtoko sure
[01:30.87]Najua ni vitamu
[01:32.88]Nakula mi vitamu (aree)
[01:34.98]Najua mi vitamu (aree)
[01:38.47]Nakula mi vitamu (aree)
[01:40.03]Nafuta mastress watu wake (banger)
[01:40.98]Mungu akiandika kaandika (vyema)
[01:43.58]Kuyatimiza tu yake (mema)
[01:45.28]Buyaka buyaka iende (banger)
[01:47.93]Tuliwabenta (benta)
[01:49.20]Mwenye maji akalete (leta)
[01:52.25]Msingi pakaleta (leta)
[01:54.19]Nasikuwaga na mentor (mentor)
[01:56.14]Makata kata leta, eeh kataleta
[02:02.12]Usebebe madonda
[02:03.44]Kimanati manatii
[02:04.84]Ile watoto nang'oka na zetu vi deadly oh
[02:07.95]Wala sio kismati
[02:09.89]Watoto nang'oka na zetu vi deadly oh
[02:12.02]Kimanati manatii
[02:13.72]Watoto nang'oka na zetu vi deadly oh
[02:16.11]Wala sio kismati
[02:18.06]Watoto nang'oka na zetu vi deadly oh
[02:20.49]Mambo nini, mambo sure
[02:22.77]Mtoko nini, mtoko sure
[02:25.13]Mambo nini, mambo sure
[02:27.16]Mtoko nini, mtoko sure
[02:29.30]Najua ni vitamu
[02:31.44]Nakula mi vitamu
[02:33.89]Najua mi vitamu
[02:35.84]Nakula mi vitamu
[02:37.11]Eeh sambaza mapendo kama Bieber (ba-ba)
[02:40.12]Hakuna mapengo tushaziba (ba-ba)
[02:42.47]Zungusha kwa meza tunadiba (ba-ba)
[02:44.64]Safisha kiwanja toa miiba (ba-ba)
[02:47.23]Watoto wacheze washashiba (ba-ba)
[02:49.15]Wanapenda upopo, wanapenda mitoko
[02:51.76]Wanapenda mikoko, wanapendaga
[02:56.36]I say who say babe, man don dance
[02:58.77]Hutupendi kaa kwa kando nasi eeh
[03:01.85]Kimanati manatii
[03:03.81]Ile watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
[03:06.37]Wala sio kismati
[03:08.08]Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
[03:10.31]Kimanati manatii
[03:11.95]Watoto waang'oka na zetu vi deadly oh
[03:14.36]Wala sio kismati
[03:15.69]Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
[03:19.15]Mambo nini, mambo sure
[03:21.60]Mtoko nini, mtoko sure
[03:23.08]Mambo nini, mambo sure
[03:25.32]Mtoko nini, mtoko sure
[03:26.57]Nikikutaka ukanipata
[03:29.89]Nikakukata utadata
[03:31.67]Nilivyokupata nikakang'ata
[03:33.48]Nikikamata mi ni mtata
[03:36.07]Eeh najua pisi kali
[03:38.29]Nakula pisi kali ohoo
[03:40.93]Watoto sukari (sukari)
[03:42.85]Mbona bado shwari (shwari)
[03:44.24]Okay bang bang shika (shika)
[03:46.54]Uko na wanaume wa shoka (oh babe)
[03:48.81]Gang gang super (super)
[03:50.99]Super nashoboka (oh babe)
[03:52.54]Hee ee, nakula mi vitamu (vitamu)
[03:54.89]Napenda vi vitamu (vitamu) wee
[03:57.47]Nakula mi vitamu (sukari)
[03:59.85]Napenda vi vitamu wee
[04:01.70]Najua ni vitamu (najua ni vitamu)
[04:04.07]Nakula mi vitamu (nakula mi vitamu)
[04:05.78]Najua mi vitamu (najua mi vitamu)
[04:08.00]Nakula mi vitamu (nakula mi vitamu)
[04:09.64]Kimanati manatii
[04:10.90]Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
[04:12.93]Wala sio kismati
[04:14.90]Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
[04:17.30]Mambo nini, mambo sure
[04:19.64]Mtoko nini, mtoko sure
[04:21.94]Mambo nini, mambo sure
[04:23.81]Mtoko nini, mtoko sure
[04:27.90]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Vi Deadly by Weusi
1. Who is the singer of "Vi Deadly" song?
⇒ Weusi has sung the song "Vi Deadly".
2. Which album is the "Vi Deadly" song from?
⇒ The song "Vi Deadly" is from the album AIR WEUSI.
3. In which language is the "Vi Deadly" song composed?
⇒ The song "Vi Deadly" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Vi Deadly" song?
⇒ The official duration of "Vi Deadly" is 04:29.21.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Weusi - Vi Deadly