Read, copy, and download the Utatulia lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Utatulia by Lava Lava from the album Utatulia. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:43.50. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Utatulia]
[ar:Lava Lava]
[al:Utatulia]
[lang:Tagalog]
[length:03:43.50]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:01.75]Aye
[00:03.83]It's Bonga
[00:07.82]Kiangazi masika ukiichanganya
[00:11.77]Vyote vikashuka kwangu vitanielemea
[00:17.78]Ntakosa pa kushika ntavavanya
[00:21.77]Wewe ndo mwandani wangu nliokuzoea
[00:26.76]Ntunza vyangu visiri mwenye kunisitiri
[00:30.84]Fundi mitambo
[00:32.76]Kinga yangu ya mwili usiyelipa bili
[00:35.78]Kuchoma changu
[00:37.82]Simtaki kafiri jangiri mwingi wa mambo
[00:41.80]Moyo akaukatilli
[00:43.77]Nikondeshe mwili
[00:45.77]Ajifanye Rambo
[00:46.83]Si unajua
[00:48.84]Dalili ya mvua mawingu
[00:50.75]Ikitaka kunyesha
[00:52.78]Huwa yanatanda
[00:54.81]Nami si unajua aah
[00:57.81]Nimeumbwa na wivu
[00:59.84]Kidogo tu pressure
[01:02.77]Yanshuka yapanda
[01:04.83]Niahidi kama
[01:06.83]Utatulia ah
[01:07.81]Baby
[01:08.78]Niahidi kama (utatulia ah)
[01:12.78]Hmm
[01:13.79]Nisibaki nkashika tama
[01:15.82]Utatulia ah
[01:17.80]Baby
[01:18.84]Niahidi kama (utatulia aah)
[01:22.83]Hmm
[01:23.78]Wasiniibie cha ngama
[01:33.81]Maneno yangu si Biblia wala Masaafu
[01:38.75]Useme usibadili (hmm)
[01:42.82]Jichunge kipenzi changu
[01:44.83]Unanisikia usicheze rafu
[01:47.76]Yatimie waliotabiri
[01:52.82]Usijifanye Ronaldinho
[01:54.75]Penzi utie mbwembwe
[01:56.80]Utahaaribu
[01:57.79]Visokolokwinyo
[01:59.80]Wakupitie denge kukujaribu
[02:02.82]Kina Capuchino wakakutia wenge kwa vizabibu
[02:06.82]Wakugongeshe mvinyo
[02:08.79]Ukaota mapembe iwe aibu
[02:11.82]Si unajua
[02:13.82]Dalili ya mvua mawingu
[02:15.83]Ikitaka kunyesha
[02:17.78]Huwa yanatanda
[02:20.78]Nami si unanjua aah
[02:23.83]Nimeumbwa na wivu
[02:25.81]Kidogo tu pressure
[02:27.77]Yanishuka yapanda
[02:29.82]Niahidi kama
[02:31.77]Utatulia ah
[02:33.81]Baby
[02:34.75]Niahidi kama (utatulia ah)
[02:38.82]Hmm
[02:39.78]Nisibaki nkashika tama
[02:41.81]Utatulia ah
[02:42.81]Baby
[02:44.76]Niahidi kama (utatulia ah)
[02:48.84]Hmm
[02:49.78]Wasiniibie cha ngama
[02:58.77]Eeeh eh
[02:59.82]Yani kama ukitulia tulia
[03:01.77]SItathubutu macho kupepesa
[03:04.78]Ukitulia tulia
[03:06.79]Ukinipa kiduchu nitatosheka
[03:08.78]Kama ukitulia tulia
[03:10.84]Sitofwata nguruchu niende teseka
[03:13.84]Ukitulia tulia
[03:15.84]Eh eh
[03:18.81]Nami ntatulia
[03:29.81]Oh my God is Better Sound
[03:30.78]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Utatulia by Lava Lava
1. Who is the singer of "Utatulia" song?
⇒ Lava Lava has sung the song "Utatulia".
2. Which album is the "Utatulia" song from?
⇒ The song "Utatulia" is from the album Utatulia.
3. In which language is the "Utatulia" song composed?
⇒ The song "Utatulia" is composed in the Tagalog language.
4. What is the official duration of the "Utatulia" song?
⇒ The official duration of "Utatulia" is 03:43.50.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Lava Lava - Utatulia