Read, copy, and download the Tuna Kikao lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Tuna Kikao by Lava Lava, Diamond Platnumz from the album Tuna Kikao (feat. Diamond Platnumz). Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:09.95. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Tuna Kikao]
[ar:Lava Lava, Diamond Platnumz]
[al:Tuna Kikao (feat. Diamond Platnumz)]
[lang:Swahili]
[length:04:09.95]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:01.21]Sisi ni walevi, tunakesha bar
[00:04.41]Tunatumia hela, hatujaja kushangaa
[00:09.76]We zombie
[00:11.82]Haujui
[00:13.87]Mimi samba na masimba dangotee eeh
[00:16.45]Love bite
[00:18.98]Ninja kong fuu master (aah master)
[00:23.37]Sisi ni walevi, tunakesha bar
[00:27.72]Tunatumia hela, mpaka jua lianze ng'aa
[00:31.84]Kama pombe we hauwezi hapa hapoto kufaa
[00:35.95]Nenda meza za inzi kwa wenzako wanao shangaa
[00:40.26]Wenyewe tuna kikao
[00:42.17]Tuna kikao, tuna kikao, tuna kikao
[00:47.97]Eeh tupishe bwana (wenyewe tuna kikao)
[00:50.35]Tuondolee kelele (tuna kikao)
[00:52.34]Tupishe bwana (tuna kikao)
[00:54.41]Eeeh (tuna kikao)
[00:57.11]Wazee wa nyumba tutajenga mwakani (ndo zetu)
[00:59.79]Kwanza heshima mezani (ndo zetu)
[01:02.06]Kikubwa ghetto na bebe iwe ndani (ndo zetu)
[01:06.02]Na mama ale nyumbani
[01:07.46]Tukizikosa kitongo ganda la ndizi
[01:09.27]Tukizipata ndo maboss (matumizi)
[01:13.19]Tukiwa bwii kuhonga (ving'ang'anizi)
[01:17.39]Tunatakaga ile kitu (ya uzinzi)
[01:21.76]Jamani sisi ni walevi, tunakesha bar
[01:26.80]Tunatumia hela, mpaka jua lianze ng'aa
[01:31.13]Kama pombe we hauwezi hapa hapoto kufaa
[01:35.38]Nenda meza za inzi kwa wenzako wanao shangaa
[01:39.61]Wenyewe tuna kikao
[01:41.90]Tuna kikao, tuna kikao, tuna kikao
[01:47.34]Eeh tupishe bwana (wenyewe tuna kikao)
[01:49.97]Tuondolee kelele (tuna kikao)
[01:51.81]Tupishe bwana (tuna kikao)
[01:54.12]Eeeh (tuna kikao)
[01:56.20]Eeeh eeeh
[01:57.61]Mishoti tu zoyogo ndo chini nyan' ganyang'a
[02:00.75]Na ukinchekea kidogo aah umetafunwa bwana
[02:05.02]Eeh kushoto na zombie kulia tosi
[02:07.68]Ni mwendo wamonde na misosi
[02:10.15]Ikukushinda chonde usijifosi
[02:12.42]Sie mpaka ligonge la utosi
[02:14.70]Eti nilale, nimlaie nani
[02:18.57]Wakati pesa nimeshika ukubwani
[02:22.85]Nilaale, kwa usingizi gani
[02:27.60]Wakati umaarufu nimeupatia ukubwani
[02:31.26]Na wakiutaka motoo moto nawatembezea wa kifuu
[02:36.02]Oosh kamata mutoto ghetto kifo cha nende
[02:39.56]Miguu juu
[02:40.51]Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba
[02:44.33]Asa tingisha tingisha fanya ka unamwaga mwaga
[02:48.94]Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba
[02:52.82]Asa tingisha tingisha fanya ka unamwaga mwaga
[02:56.45]Jamani sisi ni walevi, tunakesha bar
[03:00.28]Tunatumia hela, mpaka jua lianze ng'aa
[03:04.36]Kama pombe we hauwezi hapa hapoto kufaa
[03:07.86]Nenda meza za inzi kwa wenzako wanao shangaa
[03:12.83]Wenyewe tuna kikao
[03:14.85]Tuna kikao, tuna kikao, tuna kikao
[03:20.60]Eeh tupishe bwana (wenyewe tuna kikao)
[03:23.00]Tuondolee kelele (tuna kikao)
[03:25.10]Tupishe bwana (tuna kikao)
[03:27.30]Eeeh (tuna kikao)
[03:29.53]Eeeh eeeh
[03:32.97]Kama nikinywa mi nakukera shauri zako (shauri zako)
[03:36.17]Kwani mifigo si ya kwangu mimi au ya kwako (au ya kwako)
[03:39.58]Kwani natumia ya kwangu hela au ya kwako (au ya kwako)
[03:44.83]Mtoto wa kiume punguza shobo utashikwa taa (aaaahh)
[03:48.78]Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba
[03:52.55]Asa tingisha tingisha fanya ka unamwaga mwaga
[03:56.77]Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba
[04:00.68]Asa tingisha tingisha fanya ka unamwaga mwaga
[04:04.63]Jamani sisi ni wa
[04:05.82]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Tuna Kikao by Lava Lava, Diamond Platnumz
1. Who is the singer of "Tuna Kikao" song?
⇒ Lava Lava, Diamond Platnumz has sung the song "Tuna Kikao".
2. Which album is the "Tuna Kikao" song from?
⇒ The song "Tuna Kikao" is from the album Tuna Kikao (feat. Diamond Platnumz).
3. In which language is the "Tuna Kikao" song composed?
⇒ The song "Tuna Kikao" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Tuna Kikao" song?
⇒ The official duration of "Tuna Kikao" is 04:09.95.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Lava Lava, Diamond Platnumz - Tuna Kikao