• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Nitake Nini Lyrics by Lava Lava - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Nitake Nini lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Nitake Nini by Lava Lava from the album Nitake Nini. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:55.52. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Nitake Nini by Lava Lava LRC Format

    [ti:Nitake Nini]
    [ar:Lava Lava]
    [al:Nitake Nini]
    [lang:Swahili]
    [length:03:55.52]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:11.98]Aaaaheeeh
    [00:17.35]Kwako tena sitamani
    [00:19.14]Nilishajua nilivaba
    [00:22.04]Huna jipya
    [00:26.41]Kurudi haiwezekani
    [00:28.52]Nishalioga janaba
    [00:31.68]Nikajisafisha mmmh
    [00:35.50]Oh maradhi yangu
    [00:37.69]Yamepata muuguzi
    [00:40.48]Mola wangu
    [00:42.73]Amenivusha vihunzi
    [00:44.93]Pole mwenzangu
    [00:46.95]Unokesha kwa waganguzi
    [00:49.50]Nishapata wangu
    [00:52.15]Anaejua nogesha chuzi
    [00:54.23]Naa ananipa mapenzi na kunijari dia
    [00:56.51]♪
    [01:00.21]Ya nyuma niyasahau
    [01:03.93]Na anamaliza tenzi kutwa kunisifia
    [01:06.09]♪
    [01:09.62]Kwa methali na nahau
    [01:12.28]Kwingine nitake nini
    [01:14.15]Ntang'angana, nang'ang'ania
    [01:17.29]Ohoo mimi
    [01:18.66]Nang'ang'ana nang'ang'ania
    [01:21.68]Sitaki madanga wa mjini
    [01:23.48]Nang'ang'ana, nang'ang'ania
    [01:26.09]Oohoo mimi
    [01:27.89]Nang'ang'ana nang'ang'ania
    [01:30.46]Aaah atake cha uvunguni
    [01:32.92]Sawa sawa
    [01:35.13]Pingili za sakafuni
    [01:37.61]Sawa sawa
    [01:39.74]Michezo ya kusaka kunguni
    [01:42.42]Sawa sawa
    [01:44.40]Tom na Jerry katuni
    [01:46.73]Sawa sawa (sawa)
    [01:48.92]♪
    [01:59.20]Niliposema wa nini
    [02:01.48]Ye aliwaza atanipata lini
    [02:04.48]Kendembwe za nini
    [02:06.54]Na vijembe vya chini chini
    [02:09.32]Yupo makini
    [02:11.00]Penzi kashalibana na pini
    [02:13.62]Anipenda mimi
    [02:15.90]Hajazoea kuzini zini
    [02:18.80]Kwanza kakuzidi maarifa
    [02:21.36]Mpira tisini dakika
    [02:23.72]Nyavu anazitikisa aahee
    [02:25.94]
    [02:28.17]Mlangoni mpaka kwa dirisha
    [02:30.73]Pindu ananipindisha
    [02:32.99]Mtoto ananifikisha aaaheee
    [02:36.94]Naa ananipa mapenzi na kunijari dia
    [02:39.14]♪
    [02:43.16]Ya nyuma niyasahau
    [02:46.19]Naaa anamaliza
    [02:48.38]Tenzi kutwa kunisifia
    [02:51.86]Kwa methali na nahau
    [02:55.11]Kwingine nitake nini
    [02:57.02]Ntang'angana, nang'ang'ania
    [02:59.80]Ohoo mimi
    [03:01.16]Nang'ang'ana, nang'ang'ania
    [03:04.43]Sitaki madanga wa mjini
    [03:06.48]Nang'ang'ana, nang'ang'ania
    [03:08.84]Oohooo mimi
    [03:10.39]Nang'ang'ana, nang'ang'ania
    [03:13.28]Aaah atake cha uvunguni
    [03:15.22]Sawa sawa
    [03:17.74]Pingili za sakafuni
    [03:19.95]Sawa sawa
    [03:22.27]Michezo ya kusaka kunguni
    [03:24.67]Sawa sawa eee
    [03:27.27]Tom na Jerry katuni
    [03:29.36]Sawa sawa (sawa)
    [03:29.53]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Nitake Nini by Lava Lava

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Basi Tu

    Wale Wale

    Tuna Kikao

    Utatulia

    Teja

    Single

    Tajiri

    Ng'ari Ng'ari

    Nitake Nini

    Niuwe

    Kizunguzungu

    Dede

    Desh Desh

    Go Gaga

    Gundu

    Bado Sana feat. Diamond Platnumz


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Nitake Nini" song?

    ⇒ Lava Lava has sung the song "Nitake Nini".

    2. Which album is the "Nitake Nini" song from?

    ⇒ The song "Nitake Nini" is from the album Nitake Nini.

    3. In which language is the "Nitake Nini" song composed?

    ⇒ The song "Nitake Nini" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Nitake Nini" song?

    ⇒ The official duration of "Nitake Nini" is 03:55.52.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Lava Lava - Nitake Nini