• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Uongo Lyrics by Rapcha - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Uongo lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Uongo by Rapcha from the album To The Top Vol.2. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 02:44.57. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Uongo by Rapcha LRC Format

    [ti:Uongo]
    [ar:Rapcha]
    [al:To The Top Vol.2]
    [lang:Swahili]
    [length:02:44.57]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:05.70]Uongo
    [00:17.44]Ndani ya dakika mbili nafika hapo usichoke no usichoke
    [00:20.57]Ndani ya siku ka mbili nakupeleka shopping mall usikonde
    [00:21.14]Ndani ya wiki ka mbili kuna hela naipata so, Its okay
    [00:23.78]Ndani ya miezi miwili ntakupeleka upaone home usikonde
    [00:27.34]Yeah usikonde nilikua busy tu kazi
    [00:28.61]Nilisinzia mapema juzi afu pia simu haikuwa na charge
    [00:30.48]Nikaamkia ofisini kazi ni nyingi mi ndo nikawa incharge
    [00:38.53]Afu weekend ntakuwa shytown maana wazazi wananihitaji
    [00:38.83]Uongo
    [00:43.10]Ebana huo ni uongo
    [00:46.01]Uoo uoo uongo
    [00:48.71]Ebana huo ni uongo
    [00:52.70]Uoo uoo
    [00:54.31]Uoooo ooo uooo
    [00:57.78]Uooo ooo uooo
    [01:14.35]Jua nina jali sana hisia zako so sometimes huwa i have to lie
    [01:18.39]Nikisema kile ambacho we unahitaji kusikia unaeza die
    [01:22.11]Ubaya kila ambavyo mi ntajibu we lazima u'cry
    [01:25.29]Siunajua Nakupenda, wallah haya makosa i don't know why
    [01:29.04]Plus nikikupa ukweli mtupu kesho tu utaondoka mkuku
    [01:33.08]Utantia aibu nibaki mtupu, ntasimangwa kila group
    [01:36.28]UEFA imeanza by the way leo usiku ntakua busy
    [01:39.69]Afu Kesho kutwa naenda marathon ntakumiss ile ki kichizi
    [01:42.65]Uongo
    [01:45.13]Ebana huo ni uongo
    [01:48.33]Uoo uoo uongo
    [01:51.47]Ebana huo ni uongo
    [01:55.79]Uoo uoo
    [01:55.97]Uoooo ooo uooo
    [02:06.66]Uooo ooo uooo
    [02:17.74]Wanapenda ngenga sipendi ngee
    [02:26.56]Sipendi sipendi ngebe
    [02:27.88]Wanapenda ngenga sipendi ngee
    [02:30.82]Sipendi sipendi ngebe (Wanapenda ngenga sipendi ngee)
    [02:34.10]Sipendi sipendi ngebe
    [02:34.87]Wanapenda ngenga sipendi ngee
    [02:36.18]Sipendi sipendi ngebe
    [02:38.33]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Uongo by Rapcha

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Uongo

    Lissa

    Suu

    Ulivyo


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Uongo" song?

    ⇒ Rapcha has sung the song "Uongo".

    2. Which album is the "Uongo" song from?

    ⇒ The song "Uongo" is from the album To The Top Vol.2.

    3. In which language is the "Uongo" song composed?

    ⇒ The song "Uongo" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Uongo" song?

    ⇒ The official duration of "Uongo" is 02:44.57.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Rapcha - Uongo