• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Lissa Lyrics by Rapcha - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Lissa lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Lissa by Rapcha from the album Wanangu 99. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:33.88. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Lissa by Rapcha LRC Format

    [ti:Lissa]
    [ar:Rapcha]
    [al:Wanangu 99]
    [lang:Spanish]
    [length:04:33.88]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:17.92](Tongwe records... please)
    [00:20.61](Bin Laden)
    [00:21.67]Saa sita ya mchana jua la utosi
    [00:23.86]Chuo bumu limetema nimekaa kibosi hata presha ya msosi sina
    [00:28.20]"Somebody is calling" oh kumbe Lissa
    [00:31.39]Nimem-save, "Love of my life"
    [00:33.43]Nikaweka na loudspeaker nikamsikia anaongea ka' analia
    [00:36.60]Nikamuuliza, "Are you okay Monalisa"
    [00:38.84]Akaniambia, "Baby siko sawa kabisa, nadaiwa ada
    [00:42.77]Na jumatatu ndio tunaanza paper yanii
    [00:45.03]Na nisipolipa siruhusiwi kufanya mitihani
    [00:48.08]Laki tano nzima ntaitowa wapi honey?"
    [00:50.43]"Oh don't you worry nali-fix boo"
    [00:52.60]Kwa kuwa nishadaka hela ya bumu nikalibeba hilo jukumu
    [00:55.58]Nikamwambia, "Basi nakutumia usikate simu kwanza love ili uniambie ikiingia
    [01:01.02]Mh, baby mbona hii number inajina la kiume?"
    [01:04.12]Akaniambia, "Hiyo laini kaka yangu alinisajilia"
    [01:06.90]"Laki tano kwenda kwa Lisaa bonyeza moja kuthibitisha mbili kubatilisha"
    [01:11.31]Mi nikathibitisha
    [01:12.31]Laki tano na elfu tano na makato ya kutoa
    [01:15.31]Kwenye account yake pale pale ikathibitisha
    [01:18.01]She was like, "Thanks baby nimeiona jioni jua likipoa nitakuja kwako kukuona
    [01:23.67]And for real nimekumisi kinoma"
    [01:25.94]Nikamwambia, "Nitafurahi sana kama nitakuona" "Ok"
    [01:29.68]Saa kumi na moja mtoto hajatimba!
    [01:31.60]"Labda ndio anatoka home acha nivunge midamida anafika"
    [01:35.19]Saa moja kamili mtoto hajatimba!
    [01:37.23]Nikasema, "Huenda foleni kubwa ila punde tu atafika"
    [01:40.68]Saa tatu usiku mtoto ajatimba giza limetinga
    [01:43.87]Nishampigia sana simu hapokei text zinadunda
    [01:46.09]Nkawaza mpaka usingizi ukanichukua
    [01:48.45]Siku ya pili, simu hapokei text hajafungua
    [01:51.83]Siku ya tatu kimya nikasanuka nimcheki best yake
    [01:54.82]Huwezi amini nilijuta kumpigia
    [01:57.27]Nikamwambia, "Hey shem' you good" "I'm good"
    [02:00.48]Siku ya tatu best yako kanilia buyu
    [02:03.17]Now days Lissa mbona anama-drama huyu
    [02:06.16]Akaniambia, "Shem' kama unakifua ntakwambia
    [02:09.44]Ah kweli lisa ame-change anabwana mpya msanii huyo ndio anam-drivecrazy
    [02:14.76]Juzi si ulituma hela ya ada alipokulilia, hiyo ela kampa bwana wake akatumie"
    [02:20.49]Dah, maumivu huwa makali ukimpa kitu mtu umpendae akampatia ampendae zaidi
    [02:26.73]Magoti yaliniisha nguvu chozi chini, mbupu ndichi
    [02:29.71]Roho iliniuma sikufichi
    [02:31.77]Dah nikaondoka home kwa hasira nimfate Lissa
    [02:34.38]Kwani jealous inanitesa na kila nikimuwaza naona kama dereva anautani na mimi
    [02:39.43]Daladala niliona inaenda taratibu nilitamani nikaiendeshe mimi
    [02:43.84]Nikafika mpaka kwa Lissa ile naukaribia mlango
    [02:46.45]Naskia mziki ila kunasauti naona kama sizielewi
    [02:49.38]Nikaona siwezi gonga mlango, nikapita nao na teke mpaka ndani
    [02:53.01]Nilichokiona sitosahau maishani
    [02:54.81]Kidume kinamkazia kitanda ndani
    [02:57.04]Ye bize analia machozi hayatoki anaifinyia ndani
    [03:00.47]Hata wa kushtuka wamuhofie nani!?
    [03:02.73]Jamaa akapiga tako nane akamwagia ndani
    [03:05.43]Nilipata kizunguzungu nusu nianguke
    [03:07.81]Sikuweza kuamini, "Lissa mbona umenitenda hivi nimekukosea nini?
    [03:10.98]Si ungeniambia tuachane ningekuacha huru
    [03:13.98]Mwisho wa siku ningepona, sasa haya yote ya nini?"
    [03:16.69]Lissa akanibadilikia sura mpaka sauti akani-change-a
    [03:19.72]Akaanza kunitimua huku na matusi ananishushia
    [03:22.60]Ye na bwana wake wakaanza nipush mpaka nje
    [03:25.64]Akanipigia kelele, "Mwizi" watu wakanijazia
    [03:28.03]Watu wakanijali wameshika mawe na marungu
    [03:30.98]Wakanipiga kama mwizi huo mtaa sina ndugu
    [03:34.26]♪
    [03:45.11]Jamani tunaua hatu-ui (tunaua)
    [03:47.45]Shehe tuache tushammaliza (hapana sheria hairuhusu)
    [03:51.42]Tena mimi mama nimesahau nini nnapresha mtanilimia, mtanilimia presha
    [03:56.73]Hakuna wa kunitetea, wakanivika tairi ya gari
    [03:59.86]Wakawasha moto fasta nikaanza teketea
    [04:02.12]Na maumivu ya moto ndio haya
    [04:04.15]Walioniunguza moyo wameuteketeza mwili vibaya
    [04:07.50]Sekunde chache za kuivuta pumzi ya Dunia nzuri
    [04:10.69]Iliojaa binadamu wengi wabaya
    [04:13.30]Sawa Lissa nakuacha ufurahi
    [04:15.12]Mapenzi niliokuonyesha umeamua kunitoa uhai
    [04:18.72]Ahadi tulizoweka zimezimwa na tamaa zako
    [04:21.89]Mi nnakwenda karma itakulipa bye-bye uh
    [04:28.82](Bin Laden)
    [04:30.42]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Lissa by Rapcha

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Uongo

    Lissa

    Suu

    Ulivyo


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Lissa" song?

    ⇒ Rapcha has sung the song "Lissa".

    2. Which album is the "Lissa" song from?

    ⇒ The song "Lissa" is from the album Wanangu 99.

    3. In which language is the "Lissa" song composed?

    ⇒ The song "Lissa" is composed in the Spanish language.

    4. What is the official duration of the "Lissa" song?

    ⇒ The official duration of "Lissa" is 04:33.88.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Rapcha - Lissa