Read, copy, and download the Suu lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Suu by Rapcha from the album To The Top, Vol. 1. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:33.79. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Suu]
[ar:Rapcha]
[al:To The Top, Vol. 1]
[lang:Swahili]
[length:03:33.79]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:16.43]Ugali wa kutosha na sukuma wiki On repeat,
[00:19.13]Siku saba kwenye wiki Full
[00:21.07]Midoli inapamba magetto watoto
[00:23.08]Wanacheza na miti, Ntiti tu
[00:25.08]Riziki haizikibi wala hainunuliki
[00:26.36]Na uwezo haufichiki rafiki
[00:28.54]Mkunga nmechelewa kufika kazini na watu wana uchungu na mziki
[00:31.77]Huu umaarufu ni mzigo wa mwiba
[00:34.18]Mi naubeba juu ya kipara kibabe
[00:36.22]Rapper anaetaka hii tabu itashuka
[00:37.91]Vibaya athubutu hata anitaje
[00:39.78]Niko busy natengeneza culture
[00:41.87]Ambayo watoto wenu lazma waifate
[00:44.24]Mfalme wa mwisho kwa kizazi chake
[00:46.24]Staki izo flowers i need a garden (wuuh)
[00:48.45]Mkandarasi niko zangu site vibarua
[00:50.88]Njooni mbebe kokoto
[00:51.81]Nawachongea barabara ya rap,
[00:54.22]Mwanaume kazini pita kushoto
[00:56.14]Na kwa mwendo huu nahisi ntabaki
[00:58.18]Majivu maana ninazidi kuwa wamoto
[01:00.23]Rapcha ni sumu ya panya ushajua
[01:01.93]Umbali gani natakiwa nkae na watoto
[01:04.51](Lighter sound) Oh my God!
[01:07.19]Kazi na dawa ije pesa na power
[01:08.88]Ukishiba faida umekula loss
[01:11.90]Koti la babu for now liko safi 'coz
[01:14.32]Chawa wanaishi kwenye koti la boss
[01:16.21]Naulizwa kipindi gani huwa naenda
[01:18.25]Nyumbani kukoga kukosha mikosi
[01:19.93]Of course Mangi hata kabla ya
[01:21.58]Decеmber utaniona tu hai nikitoka moshi
[01:23.92]Ushindi hujaga na pain,
[01:25.86]Ukija na favor tu jua kuna siku utapay
[01:28.52]Na bei inakua haisogei,
[01:29.94]Dеlay ikizidi tu boss ananuna haongei
[01:32.57]Na daily wanakukebehi
[01:33.93]Waliokubeba wanabwaga hawakutetei
[01:36.66]Vikwazo kwenye high way
[01:38.20]Then Jina lako wanalizika day by day
[01:40.59]Nashinda mpaka sienjoy pambano
[01:42.61]So mimi ni mfano sistahili shindano
[01:44.62]Bar kwa Bar hakuna mchuano
[01:46.63]Nkiskia tu mwano naleta kibano
[01:49.00]Namaliza awamu naongeza mitano
[01:50.72]Jimboni mtaniona after miaka mitano
[01:52.73]Ukiwa kwa sangoma unachanwa na
[01:54.33]Nyembe we bwege hospitali unaogopa sindano
[01:56.99]Shhh Bar zinaingia kwa mwili
[01:58.98]Usichezeshe tako ilo utavunja syringe
[02:01.03]Safari njema ka una catch feelings
[02:03.02]Wenzako wanakusubiri
[02:04.37]Nashusha fire now sema suu
[02:06.33]Namchana idol wako sema suu
[02:08.27]99 hatuingiwi kiboya boya watakuvunja
[02:11.32]Taya sema suu
[02:12.65]Nani anataka noma sema suu
[02:14.42]Toa hata ka mguno sema suuu
[02:16.28]Nalea watoto silei ujinga natia tu block
[02:19.32]Chap sema suuu
[02:20.71]Nafanya nlichozaliwa kufanya
[02:22.66]Ukinibania I don't really care
[02:24.44]Huwezi shindana na kazi ya
[02:26.08]Mungu ukadhani watoto wake watakuchekea
[02:28.68]Radio mbao frequency inasomeka 99
[02:31.42]Now On Air
[02:32.38]Mnaeza kutafuta kazi nyingine
[02:34.68]Maana huu mziki nawaonea
[02:36.69]Nashusha fire now sema suu
[02:38.68]Namchana idol wako sema suu
[02:40.74]99 hatuingiwi kiboya boya
[02:42.64]Watakuvunja taya sema suu
[02:44.65]Nani anataka noma sema suu
[02:46.61]Toa hata ka mguno sema suuu
[02:48.52]Nalea watoto silei ujinga natia tu
[02:51.38]Block chap sema suuu
[02:53.60]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Suu by Rapcha
1. Who is the singer of "Suu" song?
⇒ Rapcha has sung the song "Suu".
2. Which album is the "Suu" song from?
⇒ The song "Suu" is from the album To The Top, Vol. 1.
3. In which language is the "Suu" song composed?
⇒ The song "Suu" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Suu" song?
⇒ The official duration of "Suu" is 03:33.79.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Rapcha - Suu