• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Nibadilishe Lyrics by Goodluck Gozbert - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Nibadilishe lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Nibadilishe by Goodluck Gozbert from the album Nibadilishe. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:39.92. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Nibadilishe by Goodluck Gozbert LRC Format

    [ti:Nibadilishe]
    [ar:Goodluck Gozbert]
    [al:Nibadilishe]
    [lang:Swahili]
    [length:03:39.92]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:03.00]Kwanza nimenyoa deni
    [00:10.38]Napenda sana mitindo ya nywele
    [00:12.90]Kuruka usiseme
    [00:15.19]Viwanja vipya ninakaribishwa
    [00:17.55]Kwenye kura saa za Insta nakesha
    [00:19.71]Nikitafuta tena mabaya
    [00:21.82]Nikisikia mabata nataka
    [00:24.16]Nalitafuta tena nalipa
    [00:27.13]Wala silipi maden, Nikikopa na beti
    [00:30.20]Wala sionagi soni
    [00:32.36]Fungu la kumi kwangu hio ni stori
    [00:35.18]Nasubiri jumapili(Sunday)
    [00:37.06]Hata najua sina imani, japo naitikia Amina
    [00:41.62]Nasubiria ukitendaga kwanza, ndio nikubali
    [00:46.24]Aah kama Yesu najua na idadi ya vitabu najua
    [00:51.04]Na yalipo makanisa najua, ila kuhudhuria nashindwa
    [00:55.74]Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
    [01:01.07]Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
    [01:05.08]Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
    [01:10.43]Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
    [01:14.80]Eeh niko na ubaya, niko na ubaya
    [01:19.20]Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
    [01:24.05]Oooh niko na ubaya, niko na ubaya
    [01:28.74]Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
    [01:33.27]Kuna venye hii movie inanichoma
    [01:35.63]Hasa ile parapanda
    [01:38.00]Ikipigwa wakizika
    [01:39.87]Na appear, sirudii kosa
    [01:42.56]Maneno yananichoma
    [01:44.77]Binadamu ni maua
    [01:47.14]Ikipita wiki moja masikini
    [01:49.72]Nasahau kabisa
    [01:52.40]Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
    [01:57.39]Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
    [02:01.46]Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
    [02:06.80]Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
    [02:11.06]Eeh niko na ubaya, niko na ubaya
    [02:14.03]Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
    [02:20.21]Oooh niko na ubaya, niko na ubaya
    [02:25.13]Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
    [02:29.69]Nakupa maisha na moyo, utakase
    [02:33.93]Ninapoanguka nishike nisimame
    [02:38.87]Nakupa maisha na moyo, utakase
    [02:44.40]Ninapoanguka nishike nisimame
    [02:48.91]Eeh niko na ubaya, niko na ubaya
    [02:53.56]Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
    [02:58.30]Oooh niko na ubaya, niko na ubaya
    [03:02.20]Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
    [03:08.08]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Nibadilishe by Goodluck Gozbert

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Hauwezi Kushindana

    Wimbo Wa Sifa

    Mugambo

    Nibadilishe

    Huwezi Kushindana


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Nibadilishe" song?

    ⇒ Goodluck Gozbert has sung the song "Nibadilishe".

    2. Which album is the "Nibadilishe" song from?

    ⇒ The song "Nibadilishe" is from the album Nibadilishe.

    3. In which language is the "Nibadilishe" song composed?

    ⇒ The song "Nibadilishe" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Nibadilishe" song?

    ⇒ The official duration of "Nibadilishe" is 03:39.92.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Goodluck Gozbert - Nibadilishe