• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Huwezi Kushindana Lyrics by Goodluck Gozbert - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Huwezi Kushindana lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Huwezi Kushindana by Goodluck Gozbert from the album Huwezi Kushindana. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 05:29.76. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Huwezi Kushindana by Goodluck Gozbert LRC Format

    [ti:Huwezi Kushindana]
    [ar:Goodluck Gozbert]
    [al:Huwezi Kushindana]
    [lang:Swahili]
    [length:05:29.76]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:19.87]Hauwezi kushindana, oh kushindana
    [00:24.18]Na mwanadamu mwenye kinywa
    [00:29.03]Kama maneno yangekuwa yanaweza kutoboa mwili huu
    [00:43.28]Mbona sasa ningekuwa na vidonda mwili mzima
    [00:47.55]Vita vya maneno kuna watu ni majemedari
    [00:52.27]Ukisema mshindane mbona mikono mtainua
    [00:56.48]Kupigwa vita ni kawaida isikusumbue
    [01:00.83]Wewe ni mti wenye matunda zoea mawe
    [01:05.52]Lia kidogo nyamaza ili uchungu uishe
    [01:10.40]Ukiendelea unawapa kichwa hao
    [01:14.85]Basi laza imani rejea vitani
    [01:20.19]Wakikuona waseme umekuwa sugu
    [01:23.92]Acha waongee acha waseme seme
    [01:29.81]Ila yuko Mungu wakuwaziba midomo
    [01:33.60]Ikiwa Mungu anahukumu kwa kusikiza maneno
    [02:15.68]Mbona hata matumbo ya mimba yanasemwa sana
    [02:20.21]Hivi Mungu angehukumu kwa kusikiza umbea
    [02:24.79]Si ningekushauri mchungaji wangu ufunge kanisa
    [02:29.25]Mwanadamu mwanadamu shida ni ulimi
    [02:33.91]Ungejifunza ukimya haunanga hasara
    [02:38.73]Fulani we fulani una shida gani
    [02:43.76]Na uongo wanini Mwogope Mungu
    [02:47.83]Ukumbuke ni ahadi kuna siku yaja
    [02:52.90]Kwa kila neno na kinywa chako utatolea hesabu
    [02:57.36]Mimi nimeshakwambia
    [03:10.18]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Huwezi Kushindana by Goodluck Gozbert

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Hauwezi Kushindana

    Wimbo Wa Sifa

    Mugambo

    Nibadilishe

    Huwezi Kushindana


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Huwezi Kushindana" song?

    ⇒ Goodluck Gozbert has sung the song "Huwezi Kushindana".

    2. Which album is the "Huwezi Kushindana" song from?

    ⇒ The song "Huwezi Kushindana" is from the album Huwezi Kushindana.

    3. In which language is the "Huwezi Kushindana" song composed?

    ⇒ The song "Huwezi Kushindana" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Huwezi Kushindana" song?

    ⇒ The official duration of "Huwezi Kushindana" is 05:29.76.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Goodluck Gozbert - Huwezi Kushindana