• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Hauwezi Kushindana Lyrics by Goodluck Gozbert - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Hauwezi Kushindana lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Hauwezi Kushindana by Goodluck Gozbert from the album Goodluck Gozbert. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 05:30.94. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Hauwezi Kushindana by Goodluck Gozbert LRC Format

    [ti:Hauwezi Kushindana]
    [ar:Goodluck Gozbert]
    [al:Goodluck Gozbert]
    [lang:Indonesian]
    [length:05:30.94]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:03.20]Hmm, halleluyah
    [00:09.26](Produza Paulo)
    [00:15.82]Ah, ah, a-ya, ya-ya-ya
    [00:20.02]Hauwezi kushindana, oh kushindana
    [00:24.82]Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya
    [00:29.42]Hauwezi kushindana oh kushindana
    [00:34.18]Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya
    [00:38.15]Mm, kama maneno yangekuwa yanaweza kutoboa mwili huu
    [00:43.78]Mbona sasa ningekuwa na vidonda mwili mzima
    [00:47.95]Vita ya maneno kuna watu ni majemedari
    [00:52.77]Ukisema mshindane mbona mikono utainua
    [00:56.78]Kupigwa vita ni kawaida isikusumbue
    [01:01.59]Wewe ni muti wenye matunda zoea mawe
    [01:05.69]Lia kidogo nyamaza ili uchungu uishe
    [01:10.46]Ah, ukiendelea unawapa kichwa hao
    [01:15.51]Vaa silaha za imani rejea vitani
    [01:20.43]Wakikuona waseme umeshakua sugu (sugu)
    [01:24.71]Oh, acha waonge, acha waseme seme
    [01:30.04]Ila yupo Mungu wakuwaziba midomo
    [01:34.52]Hauwezi kushindana, oh kushindana
    [01:39.40]Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya
    [01:43.84]Hauwezi kushindana oh kushindana
    [01:48.59]Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya
    [01:52.76]♪
    [02:10.98]Eh, ikiwa Mungu anahukumu kwa kus'kiza maneno
    [02:15.97]Mbona hata matumbo ya mimba yanasemwa sana (kazaliwa)
    [02:20.93]Hivi Mungu angehukumu kwa kus'kiza umbeya
    [02:24.92]Si' ningekushauri mchungaji wangu ufunge kanisa
    [02:29.69]Mwanadamu, mwanadamu, shida ni ulimi
    [02:34.51]Ungejifunza ukimya haunaga hasara
    [02:39.30]Fulani, we fulani unashida gani
    [02:43.99]Na uongo wa nini? Mwogope Mungu
    [02:48.45]Ukumbuke ni ahadi kuna siku yaja
    [02:53.11]Kwa kila neno la kinywa chako, utatolea hesabu
    [02:57.36]Mimi (mimi) si' nimeshakwambia kubali uache
    [03:02.72]Utajijua na shingo yako ngumu a-ya, ya-ya-ya
    [03:07.58]Siwezi kushindana, oh kushindana
    [03:12.43]Na mwanadamu mwenye kinywa a-ya, ya-ya-ya
    [03:16.86]Hauwezi kushindana (hauwezi), oh kushindana
    [03:21.69]Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya
    [03:26.17]Hauwezi kushindana, oh kushindana
    [03:30.96]Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya
    [03:35.31]Yesu huyu Yesu, hakujitetea kabisa
    [03:39.71]Japo walimsema kwa ubaya, aliwasamehe
    [03:44.80]Na wewe uwasamehe, uwaombee
    [03:49.46]Kwa maana hawajui wasemayo
    [03:52.92]Wakifanyanga ubaya (uwajibu kwa wema), oh
    [03:58.07]Usishindane na mtu (wajibu kwa wema)
    [04:02.34]Hata iwe ni ndugu wa karibu (wajibu kwa wema)
    [04:06.28]Si' vizuri wewe usilipe kisasi (wajibu kwa wema)
    [04:11.77]Tenda wema uende (wajibu kwa wema), eh
    [04:17.22]Ah-ah-ah (wajibu kwa wema), oh maana maana
    [04:21.94]Hauwezi kushindana (o-lolo), oh kushindana (oyo)
    [04:26.96]Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya (ukisimama maneno yatosha)
    [04:31.47]Hauwezi kushindana oh kushindana
    [04:36.18]Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya (wewe uliye mkuu)
    [04:40.87]Hauwezi kushindana (o-lolo), oh kushindana (eh-eh)
    [04:45.36]Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya (watakupenda ukifa wewe)
    [04:50.14]Hauwezi kushindana (hauwezi) oh kushindana (wacha)
    [04:54.71]Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya (kinywa)
    [04:57.01](Maneno mtu humpangii nini aseme)
    [04:59.61]♪
    [05:27.09](Ahsante)
    [05:28.57]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Hauwezi Kushindana by Goodluck Gozbert

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Hauwezi Kushindana

    Wimbo Wa Sifa

    Mugambo

    Nibadilishe

    Huwezi Kushindana


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Hauwezi Kushindana" song?

    ⇒ Goodluck Gozbert has sung the song "Hauwezi Kushindana".

    2. Which album is the "Hauwezi Kushindana" song from?

    ⇒ The song "Hauwezi Kushindana" is from the album Goodluck Gozbert.

    3. In which language is the "Hauwezi Kushindana" song composed?

    ⇒ The song "Hauwezi Kushindana" is composed in the Indonesian language.

    4. What is the official duration of the "Hauwezi Kushindana" song?

    ⇒ The official duration of "Hauwezi Kushindana" is 05:30.94.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Goodluck Gozbert - Hauwezi Kushindana