• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Yesu Ni Wetu Lyrics by Rose Muhando - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Yesu Ni Wetu lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Yesu Ni Wetu by Rose Muhando from the album Rose Muhando. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:38.22. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Yesu Ni Wetu by Rose Muhando LRC Format

    [ti:Yesu Ni Wetu]
    [ar:Rose Muhando]
    [al:Rose Muhando]
    [lang:Swahili]
    [length:04:38.22]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:11.98]Huyu Yesu ni wetu,
    [00:17.02]Ametuletea wokovu,
    [00:19.54]Mema ya nchi ni Yetu,
    [00:21.36]Sisi tulio mwamini,
    [00:23.69]Tutakula na kushiba,
    [00:25.26]Sisi na watoto wetu
    [00:27.93]Huyu Yesu ni wetu,
    [00:29.02]Ametuletea wokovu,
    [00:31.52]Mema ya nchi ni Yetu,
    [00:33.52]Sisi tulio mwamini,
    [00:35.49]Tutakula na kushiba,
    [00:37.15]Sisi na watoto wetu
    [00:39.59]Haiya!
    [00:41.16]Kumbe majumba ni Yetu (haiya)
    [00:41.78]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [00:43.79]Magari mazuri ya kwetu (haiya)
    [00:45.40]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [00:48.00]Mashamba mazuri ya kwetu (haiya)
    [00:49.96]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [00:51.91]Fedha na dhahabu ni zetu (haiya)
    [00:53.93]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [00:55.92]Urithi wa mbingu ni wetu (haiya)
    [00:58.24]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [01:00.03]Tutakula na kushiba (haiya)
    [01:01.91]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [01:04.04]Mema ya nchi ni Yetu (haiya)
    [01:05.99]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [01:08.37]Tutakula na kushiba (haiya)
    [01:10.88]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [01:16.83]Nasema usiwape mbwa chakula cha watoto wako,
    [01:23.52]Nasema usiwape mbwa chakula cha watoto wako,
    [01:26.49]Chonde usiwape mbwa chakula cha watoto wako,
    [01:29.61]Jamani usimpe kahaba urithi wa watoto wako,
    [01:33.50]Usimpe adui nafasi kumiliki mahali pako,
    [01:37.59]Mbwa ni mbwa hajui thamani ya ulicho nacho,
    [01:41.55]Nasema mbwa hajui thamani ya watoto wako,
    [01:45.41]Jamani mbwa hajui gharama ya ulicho nacho,
    [01:49.57]Milele mbwa hajui thamani ya maisha yako,
    [01:53.83]Mkane mbwa hajui thamani ya ulicho nacho,
    [01:59.78]Milele na milele mbwa makobo ndiyo saizi yake;
    [02:00.73]Huyu Yesu ni wetu,
    [02:07.17]Ametuletea wokovu,
    [02:09.79]Mema ya nchi ni Yetu,
    [02:10.77]Sisi tulio mwamini,
    [02:13.26]Tutakula na kushiba,
    [02:15.32]Sisi na watoto wetu
    [02:17.92]Huyu Yesu ni wetu,
    [02:19.90]Ametuletea wokovu,
    [02:21.87]Mema ya nchi ni Yetu,
    [02:23.33]Sisi tulio mwamini,
    [02:25.28]Tutakula na kushiba,
    [02:30.64]Sisi na watoto wetu
    [02:31.69]Haiya!
    [02:32.87]Kumbe majumba ni Yetu (haiya)
    [02:34.72]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [02:35.84]Magari mazuri ya kwetu (haiya)
    [02:36.65]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [02:39.16]Mashamba mazuri ya kwetu (haiya)
    [02:39.77]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [02:41.77]Fedha na dhahabu ni zetu (haiya)
    [02:43.26]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [02:45.84]Urithi wa mbingu ni wetu (haiya)
    [02:47.21]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [02:49.71]Tutakula na kushiba (haiya)
    [02:52.89]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [02:54.16]Mema ya nchi ni Yetu (haiya)
    [02:55.92]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [02:57.77]Tutakula na kushiba (haiya)
    [02:59.57]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [03:01.60]Huyu Yesu ni wetu,
    [03:12.19]Ametuletea wokovu,
    [03:13.46]Mema ya nchi ni Yetu,
    [03:16.11]Sisi tulio mwamini,
    [03:18.13]Tutakula na kushiba,
    [03:21.08]Sisi na watoto wetu
    [03:22.82]Huyu Yesu ni wetu,
    [03:24.71]Ametuletea wokovu,
    [03:26.35]Mema ya nchi ni Yetu,
    [03:28.08]Sisi tulio mwamini,
    [03:31.92]Tutakula na kushiba,
    [03:32.92]Sisi na watoto wetu
    [03:33.70]Haiya!
    [03:35.21]Kumbe majumba ni Yetu (haiya)
    [03:36.15]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [03:37.53]Magari mazuri ya kwetu (haiya)
    [03:39.28]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [03:41.25]Mashamba mazuri ya kwetu (haiya)
    [03:44.83]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [03:45.91]Fedha na dhahabu ni zetu (haiya)
    [03:46.87]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [03:47.86]Urithi wa mbingu ni wetu (haiya)
    [03:50.61]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [03:53.86]Tutakula na kushiba (haiya)
    [03:56.52]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [03:57.56]Mema ya nchi ni Yetu (haiya)
    [04:00.51]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [04:03.43]Tutakula na kushiba (haiya)
    [04:05.65]Sisi na watoto wetu (haiya)
    [04:21.22]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Yesu Ni Wetu by Rose Muhando

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Nibebe

    Yesu Wetu

    Yesu Nakupenda

    Ee Mungu Nitakushukuru

    Yesu Ni Wetu

    Pumzika Mama

    Akina Mama


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Yesu Ni Wetu" song?

    ⇒ Rose Muhando has sung the song "Yesu Ni Wetu".

    2. Which album is the "Yesu Ni Wetu" song from?

    ⇒ The song "Yesu Ni Wetu" is from the album Rose Muhando.

    3. In which language is the "Yesu Ni Wetu" song composed?

    ⇒ The song "Yesu Ni Wetu" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Yesu Ni Wetu" song?

    ⇒ The official duration of "Yesu Ni Wetu" is 04:38.22.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Rose Muhando - Yesu Ni Wetu