Read, copy, and download the Nibebe lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Nibebe by Rose Muhando from the album Rose Muhando. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 08:02.74. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Nibebe]
[ar:Rose Muhando]
[al:Rose Muhando]
[lang:German]
[length:08:02.74]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:16.06]Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe
[00:20.49]Nibembeleze, nibebe
[00:22.77]Eh Yesu, unibebe
[00:25.06]Nichukue unibebe
[00:27.21]Mikononi mwako niwe salama
[00:33.81]Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe
[00:38.31]Nibembeleze, nibebe
[00:40.36]Eh Yesu, unibebe
[00:42.52]Nichukue unibebe
[00:44.87]Mikononi mwako niwe salama
[00:52.05]Eh Mungu angaliya kunena kwangu
[00:56.28]Na uisikie sauti ya kilio changu
[01:00.77]Moyo wangu umechoka sana, Baba
[01:05.12]Kwa ajili ya wingi wa mateso yangu
[01:09.54]Nafsi yangu imegandamana na mavumbi
[01:14.05]Niokowe mikononi mwa midomo ya ubwa
[01:18.16]Kwanini ninateswa sana kwa ajili yako babaga?
[01:22.77]Niokoe mikononi mwa watu wabaya
[01:27.27]Fanya hima unisaidie, nibebe
[01:31.15]Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu, eh)
[01:35.54]Nibembeleze, nibebe (Baba)
[01:37.81]Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)
[01:39.71]Nichukue unibebe (aah)
[01:42.19]Mikononi mwako niwe salama
[01:45.26]Nimechoka peke yangu safari ngumu ni ndefu, nibebe
[01:48.62]Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba)
[01:53.17]Nibembeleze, nibebe (Yesu eh)
[01:55.28]Eh Yesu, unibebe (Baba)
[01:57.69]Nichukue unibebe
[01:59.69]Mikononi mwako niwe salama
[02:11.06]Macho yangu yamedhoofukwa machozi
[02:15.50]Kwani mateso yangu hayapimiki kwa mizani?
[02:20.23]Kwa kuwa aliyenitukana siye adui yangu
[02:24.58]Bali ni rafiki yangu tuliyejuana naye sana
[02:28.91]Tulikula pamoja, tulisali pamoja
[02:33.50]Kanisani pamoja
[02:35.45]Bwana asifiwe kwa sana
[02:37.77]Kumbe mwenzangu alikusudia kuniangamiza, eh
[02:41.51]Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu, eh)
[02:45.92]Nibembeleze, nibebe (Baba)
[02:48.10]Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)
[02:50.31]Nichukue unibebe (Baba)
[02:52.35]Mikononi mwako niwe salama (Yesu eh)
[02:55.52]Kweli nimeamini adui wa kwanza ni yule wa nyumbani mwako
[02:58.88]Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu eh)
[03:03.55]Nibembeleze, nibebe (Baba)
[03:05.72]Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)
[03:07.91]Nichukue unibebe (Baba yangu)
[03:09.87]Mikononi mwako niwe salama
[03:13.16]Ata niliyo wasaidiya na wameni shuudiya uwongo
[03:16.90]Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu, eh)
[03:21.16]Nibembeleze, nibebe (Baba)
[03:23.32]Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)
[03:25.36]Nichukue unibebe (aah)
[03:27.81]Mikononi mwako niwe salama
[03:31.25]♪
[03:43.53]Wengine wakinibeba nitaambulia matatizo, Yesu nibebe
[03:52.54]Dunia ikinibeba, itanipeleka jehanamu, Yesu nibebe
[04:01.22]Marafiki wakinibeba watanipeleka pabaya, Yesu nibebe
[04:09.95]Baba nibebe, Yesu nibebe
[04:13.98]Nibembeleze, nibebe
[04:16.06]Nichukue mbiguni salama
[04:18.16]Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu, eh)
[04:22.73]Nibembeleze, nibebe (Baba)
[04:24.86]Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)
[04:27.00]Nichukue unibebe (Baba yangu)
[04:29.40]Mikononi mwako niwe salama
[04:32.31]Nimechoka pekee yangu safari ngumu ni ndefu, siwezi
[04:35.81]Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba)
[04:40.33]Nibembeleze, nibebe (Yesu eh)
[04:42.47]Eh Yesu, unibebe (Baba)
[04:44.88]Nichukue unibebe (Baba yangu)
[04:46.88]Mikononi mwako niwe salama
[04:58.54]Nifike mbinguni nimwone Eliya (amen)
[05:03.09]Nifike mbinguni nimwone Yakobo (amen)
[05:07.35]Pamoja na kiti cha enzi mbinguni kwa baba (amen)
[05:11.77]Njia za dhahabu nami nakatembelee (amen)
[05:15.99]Oh baba nibebe, Yesu nibebe
[05:19.83]Nibembeleze, nibebe, nichukuwe mbinguni salama
[05:24.42]Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu eh)
[05:28.81]Nibembeleze, nibebe (Baba)
[05:30.85]Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)
[05:33.19]Nichukue unibebe (Baba yangu)
[05:35.43]Mikononi mwako niwe salama
[05:38.11]Nakwita Yesu unibebe, mwokozi
[05:41.90]Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba)
[05:46.48]Nibembeleze, nibebe (Yesu eh)
[05:48.41]Eh Yesu, unibebe (Baba)
[05:50.59]Nichukue unibebe (Baba yangu)
[05:52.95]Mikononi mwako niwe salama
[06:04.31]Nifike mbinguni nikamwone baba (amen)
[06:08.82]Nifike mbinguni nikapumzike (amen)
[06:12.96]Katika kiti cha enzi nami nikasujudie (amen)
[06:17.64]Niwaone wenzangu wale walionitangulia (amen)
[06:22.00]Niikale matunda ya mti wa uzima (amen)
[06:26.36]Yesu nibebe, baba nibebe
[06:30.19]Nibembeleze, nibebe nifikishe mbiguni salama
[06:34.56]Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu eh)
[06:39.22]Nibembeleze, nibebe (Baba)
[06:41.34]Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)
[06:43.45]Nichukue unibebe (Yesu eh)
[06:45.64]Mikononi mwako niwe salama (Baba)
[06:48.57]Nimechoka peke yangu dunia ngumu pekeyangu siwezi
[06:52.28]Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba)
[06:56.64]Nibembeleze, nibebe (Yesu eh)
[06:58.80]Eh Yesu, unibebe (Baba)
[07:00.89]Nichukue unibebe (baba yangu)
[07:03.06]Mikononi mwako niwe salama
[07:06.45]Nimechoka peke yangu safari ngumu ni ndefu, siwezi
[07:09.88]Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba)
[07:14.23]Nibembeleze, nibebe (Yesu eh)
[07:16.31]Eh Yesu, unibebe (Baba yangu)
[07:18.77]Nichukue unibebe (aah)
[07:20.86]Mikononi mwako niwe salama
[07:40.37]Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe
[07:45.04]Nibembeleze, nibebe
[07:47.22]Eh Yesu, unibebe
[07:49.30]Nichukue unibebe
[07:51.50]Mikononi mwako niwe salama
[07:54.67]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Nibebe by Rose Muhando
1. Who is the singer of "Nibebe" song?
⇒ Rose Muhando has sung the song "Nibebe".
2. Which album is the "Nibebe" song from?
⇒ The song "Nibebe" is from the album Rose Muhando.
3. In which language is the "Nibebe" song composed?
⇒ The song "Nibebe" is composed in the German language.
4. What is the official duration of the "Nibebe" song?
⇒ The official duration of "Nibebe" is 08:02.74.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Rose Muhando - Nibebe