• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Wakati Wa Mungu Lyrics by Guardian Angel - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Wakati Wa Mungu lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Wakati Wa Mungu by Guardian Angel from the album Guardian Angel. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:14.00. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Wakati Wa Mungu by Guardian Angel LRC Format

    [ti:Wakati Wa Mungu]
    [ar:Guardian Angel]
    [al:Guardian Angel]
    [lang:Swahili]
    [length:03:14.00]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:02.27]Kwani we Brother unaombaga vipi?
    [00:03.50]Mbona yakwangu hayasikiki?
    [00:05.47]Nafunga daily
    [00:06.61]Na bado nashindwa vipi?
    [00:09.06]Wakati wa Mungu ni kama Tsunami ya maji
    [00:13.24]Ukuta hauwezi kuzuia lazima utabomoka
    [00:19.10]Wakati wa Mungu ni kama upepo mkali
    [00:23.33]Mlango hauwezi kuzuia lazima utafunguka
    [00:29.24]Wakati wa Mungu humpata kila mtu
    [00:33.30]We kuwa na subira andika haya kwenye shajara
    [00:39.29]Wakati wa Mungu ukikujiria
    [00:45.09]Mazingira si kitu yapinge
    [00:49.89]Wakati wa Mungu ukikujiria
    [00:54.99]Mwanadamu ni nani apingee
    [00:59.83]Usichoke ngoja
    [01:01.19]Ngoja
    [01:02.16]Ngoja
    [01:02.82]Ngoja
    [01:04.27]Ngoja
    [01:05.17]Ngoja
    [01:05.99]Usichoke
    [01:06.61]Ngoja
    [01:07.32]Ngoja
    [01:08.04]Ukujiriee
    [01:08.93]Wewe subiri tu
    [01:10.37]Ngoja
    [01:11.47]Ngoja
    [01:12.23]Ngoja
    [01:13.03]Ngoja
    [01:14.16]Ngoja
    [01:14.76]Ngoja
    [01:15.51]Usichoke
    [01:15.88]Ngoja
    [01:16.61]Ngoja
    [01:17.27]Ukujirie
    [01:19.00]Uuuuuh
    [01:20.20]Yooooh Nilisoma na ma_guys
    [01:21.64]Wameweza pata makazi
    [01:22.62]Wanafuu
    [01:23.81]Wanapata fursa ya kula cha mkufuu
    [01:24.72]Mimi bado naulizaga
    [01:26.81]Kaa nitawaipata nafuu
    [01:27.87]Ama kweli talanta itaweza nifanya nile na wakuu
    [01:29.96]Wakati wa Mungu
    [01:32.80]Je utawai nifikia
    [01:35.09]Baraka zangu niweze kuzipokea
    [01:40.13]Wakati wa Mungu kweli utakufikia
    [01:44.20]Baraka zako uweze kuzipokea
    [01:48.94]Nimechoka kungoja
    [01:50.17]Usichoke ngoja
    [01:51.33]Ngoja
    [01:51.88]Ngoja
    [01:52.63]Ngoja
    [01:53.40]Ngoja
    [01:54.08]Ngoja
    [01:54.72]Usichoke
    [01:55.62]Ngoja
    [01:56.60]Ngoja
    [01:57.01]Ukujiriee
    [01:59.01]Wewe subiri tu
    [02:00.80]Ngoja
    [02:01.51]Ngoja
    [02:02.07]Ngoja
    [02:02.74]Ngoja
    [02:03.98]Ngoja
    [02:04.50]Ngoja
    [02:05.29]Usichoke
    [02:06.13]Ngoja
    [02:06.78]Ngoja
    [02:07.37]Ukujirie
    [02:10.40]Shida tu yaaani
    [02:12.15]Usiliee
    [02:12.93]Natamani kivulini
    [02:14.32]Usiogopee
    [02:15.07]Nipate amani
    [02:16.58]Ooooooooh
    [02:17.47]Oooooooooh
    [02:19.16]Jua Mungu ni mti wenye kivuli kizuri
    [02:23.64]Ni mti wenye uzima na kweliiii
    [02:26.46]Eeeeeeeheeeeh
    [02:30.18]Wakati wa Mungu hufanya njia jangwani
    [02:33.82]Mito ya maji nyikani
    [02:36.10]Wakati wake hauna upinzani
    [02:38.57]Eeheeeeaiiii
    [02:39.87]Kumbe wakati wa Mungu huwafanya adui zangu kuwa rafiki zangu
    [02:43.83]Kila kitu huwa rahisi hata vilivyo shindikanaaaaah
    [02:49.74]Usichoke ngoja
    [02:51.45]Ngoja
    [02:52.08]Ngoja
    [02:52.71]Ngoja
    [02:53.91]Ngoja
    [02:54.44]Ngoja
    [02:55.07]Usichoke
    [02:55.93]Ngoja
    [02:56.53]Ngoja
    [02:57.11]Ukujiriee
    [02:58.78]Wewe subiri tu
    [03:00.28]Ngoja
    [03:01.39]Ngoja
    [03:02.12]Ngoja
    [03:02.70]Ngoja
    [03:03.94]Ngoja
    [03:04.43]Ngoja
    [03:05.18]Usichoke
    [03:05.91]Ngoja
    [03:06.55]Ngoja
    [03:07.52]Ukujirie
    [03:10.33]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Wakati Wa Mungu by Guardian Angel

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    hadithi

    Wakati Wa Mungu


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Wakati Wa Mungu" song?

    ⇒ Guardian Angel has sung the song "Wakati Wa Mungu".

    2. Which album is the "Wakati Wa Mungu" song from?

    ⇒ The song "Wakati Wa Mungu" is from the album Guardian Angel.

    3. In which language is the "Wakati Wa Mungu" song composed?

    ⇒ The song "Wakati Wa Mungu" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Wakati Wa Mungu" song?

    ⇒ The official duration of "Wakati Wa Mungu" is 03:14.00.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Guardian Angel - Wakati Wa Mungu