• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download hadithi Lyrics by Guardian Angel - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the hadithi lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song hadithi by Guardian Angel from the album Guardian Angel. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:36.52. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    hadithi by Guardian Angel LRC Format

    [ti:hadithi]
    [ar:Guardian Angel]
    [al:Guardian Angel]
    [lang:English]
    [length:03:36.52]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:00.75]Hadithi
    [00:01.87]hadithi njoo
    [00:04.34]Oooh
    [00:05.11]Hadithi njoo, hadithi
    [00:06.37]Hadithi njoo
    [00:08.59]Njoo Oooh
    [00:10.60]Kuna bwana mmoja wa kichaa
    [00:12.45]alipenda kuomba chakula kwa
    [00:14.56](Mama Fulani)2
    [00:17.99]Oh oh ooh
    [00:19.65]Siku moja yule mama alipanga amtilie
    [00:22.29]Sumu
    [00:24.27]Yule wazimu akila afe
    [00:26.12]Aondoke kabisa ah
    [00:28.46]Kule njiani alipatana na watoto wa
    [00:30.88]Yule mama
    [00:33.97]Akawangawanyia
    [00:35.69]kile chakula aah
    [00:37.86]Watoto wake wakala wakafa
    [00:40.39]Yule wazimu akabaki mzima
    [00:42.73]ishara kwamba unayoyatenda
    [00:44.75]Unajitendea mwenyewe
    [00:47.23]Watoto wake wakala wakafa
    [00:49.33]Yule wazimu akabaki mzima
    [00:51.70]ishara kwamba unayoyatenda
    [00:53.89]Unajitendea mwenyewe
    [00:57.34]Ukitenda mema
    [00:58.69]Unajitendea mwenyewe
    [01:01.76]Ukitenda maovu
    [01:02.94]unajitendea mwenyewe
    [01:06.30]Ukitenda mema
    [01:07.27]Unajitendea mwenyewe
    [01:10.48]Ukitenda maovu
    [01:11.99]unajitendea mwenyewe eeh
    [01:15.43]Salimia watu pesa huisha
    [01:17.89]Gari hupata puncture,
    [01:19.93]Hivi ni vitu vya dunia
    [01:22.49]Oh oh ooh
    [01:24.39]Hichi kidole nachowanyoshea watu
    [01:28.74]Vingine vinne ninajinyoshea mwenyewe
    [01:32.84]Aah
    [01:33.80]Hichi kidole nachowanyoshea watu
    [01:37.59]Vingine vinne ninajinyoshea mwenyewe
    [01:42.36]Aah
    [01:43.18]Naozungumza nao juu ya
    [01:44.41]Wenzangu
    [01:45.60]Ah ah aah
    [01:47.00]Wanazungumza nao
    [01:48.45]juu yangu mimi
    [01:51.61]Naozungumza nao juu ya
    [01:53.65]Wengine jamani
    [01:55.44]Oo oo ooh
    [01:56.61]Wanazungumza nao
    [01:57.53]juu yangu miimi
    [02:01.32]Tenda mema
    [02:02.17]Ondoka uende
    [02:03.27]Alo' na chuki na wewe
    [02:04.42]Mpende
    [02:05.51]Kwa sababu unayoyatenda
    [02:07.79]Unajitendea mwenyewe
    [02:10.31]Tenda mema
    [02:11.17]Ondoka uende
    [02:12.31]Alo' na chuki na wewe
    [02:13.63]Mpende
    [02:14.81]Kwa sababu unayoyatenda
    [02:16.80]Unajitendea mwenyewe
    [02:18.78]Eh eei
    [02:20.40]Ukitenda mema
    [02:21.36]Unajitendea mwenyewe eh
    [02:24.83]Ukitenda maovu
    [02:25.89]Unajitendea mwenyewe eh
    [02:29.54]Ukitenda mema
    [02:30.58]Unajitendea mwenyewe eh
    [02:34.33]Ukitenda maovu
    [02:35.26]Unajitendea mwenyewe eh
    [02:37.71]Hadithi
    [02:38.90]Hadithi njoo
    [02:40.21]Oooh
    [02:41.07]Hadithi njoo
    [02:42.21]Hadithi
    [02:43.28]Hadithi njoo
    [02:45.57]Njoo Oooh
    [02:48.19]Ukitenda mema
    [02:49.35]Unajitendea mwenyewe
    [02:52.55]Ukitenda maovu
    [02:53.76]unajitendea mwenyewe eh
    [02:57.07]Ukitenda mema
    [02:58.08]Unajitendea mwenyewe
    [03:01.84]Ukitenda maovu
    [03:02.83]unajitendea mwenyewe eh
    [03:06.52]Ukitenda mema
    [03:07.50]Unajitendea mwenyewe
    [03:10.95]Ukitenda maovu
    [03:12.08]unajitendea mwenyewe eh
    [03:15.79]Ukitenda mema
    [03:16.71]Unajitendea mwenyewe
    [03:20.34]Ukitenda maovu
    [03:21.43]unajitendea mwenyewe eh
    [03:24.75]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen hadithi by Guardian Angel

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    hadithi

    Wakati Wa Mungu


    FAQ:

    1. Who is the singer of "hadithi" song?

    ⇒ Guardian Angel has sung the song "hadithi".

    2. Which album is the "hadithi" song from?

    ⇒ The song "hadithi" is from the album Guardian Angel.

    3. In which language is the "hadithi" song composed?

    ⇒ The song "hadithi" is composed in the English language.

    4. What is the official duration of the "hadithi" song?

    ⇒ The official duration of "hadithi" is 03:36.52.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Guardian Angel - hadithi