• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Umenikubali Lyrics by Joel Lwaga - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Umenikubali lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Umenikubali by Joel Lwaga from the album Good To Go. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 05:31.67. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Umenikubali by Joel Lwaga LRC Format

    [ti:Umenikubali]
    [ar:Joel Lwaga]
    [al:Good To Go]
    [lang:Swahili]
    [length:05:31.67]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:18.43]DG
    [00:20.78]Kama Mungu ungetazama
    [00:25.48]Kama watu tunavyotazama
    [00:30.23]Nisingetosha kwenye mizani
    [00:33.91]Nisingekidhi masharti
    [00:39.77]Hukuangalia historia ya familia niliyotokea
    [00:49.22]Hazikukutisha zangu tabia ulilitazama lililo Jema
    [00:59.27]Umenipenda nisiyestahili
    [01:01.81]Umeniita mwanao
    [01:04.25]Niliyejidhani ya kuwa sifai
    [01:06.62]Umenipenda upeo
    [01:08.98]Umebadilisha na yangu asili
    [01:11.31]Umenifanya mboni ya jicho lako
    [01:16.31]Mmmmmmh
    [01:18.66]Ungehitaji walio kamili
    [01:21.04]Mimi si mmoja wao
    [01:23.38]Ulichojali wangu utayari wa kufanya utakalo
    [01:28.07]Umenikabidhi na zako siri
    [01:30.52]Na kunifanya rafiki wa moyo wako
    [01:35.07]Bwana Umenikubali
    [01:38.08]Jinsi nilivyo
    [01:40.59]Umenikubali
    [01:42.88]Jinsi nilivyo
    [01:45.04]Eeeeh
    [01:45.74]Umeona jema ndani yangu
    [01:49.34]Na wala hukutazama unyonge wangu
    [01:54.31]Bwana umenikubali
    [01:57.31]Jinsi nilivyo
    [01:59.78]Umenikubali
    [02:02.19]Jinsi nilivyo
    [02:04.19]Bwana
    [02:04.87]Umeona jema ndani yangu
    [02:08.43]Na wala hukutazama unyonge wangu
    [02:15.93]Kuna muda najiuliza
    [02:20.35]Wewe ni Mungu
    [02:22.20]Wa namna gani
    [02:25.25]Uliyenipenda na kunikubali
    [02:29.52]Mtu wa namna hii
    [02:34.81]Ziko nyakati hata mimi
    [02:39.62]Napata shida kujikubali
    [02:44.52]Iweje wewe unipende
    [02:48.68]Mtu wa namna hii
    [02:52.15]Eeeeeeh
    [02:54.58]Umenipenda nisiyestahili
    [02:56.95]Umeniita mwanao
    [02:59.47]Niliyejidhani ya kuwa sifai
    [03:01.78]Umenipenda upeo
    [03:04.19]Umebadilisha na yangu asili
    [03:06.59]Umenifanya mboni ya jicho lako
    [03:10.86]Eh Bwana
    [03:13.81]Ungehitaji walio kamili
    [03:16.33]Mimi si mmoja wao
    [03:18.61]Ulichojali wangu utayari wa kufanya utakalo
    [03:23.44]Umenikabidhi na zako siri
    [03:25.72]Na kunifanya rafiki wa moyo wako
    [03:30.40]Baba umenikubali
    [03:33.33]Jinsi nilivyo
    [03:35.69]We umenikubali
    [03:38.07]Jinsi nilivyo
    [03:39.67]Eeeh Bwana
    [03:40.93]Umeona jema ndani yangu
    [03:44.42]Na wala hukutazama unyonge wangu
    [03:49.49]Baba umenikubali
    [03:52.51]Jinsi nilivyo
    [03:54.90]Umenikubali
    [03:57.39]Jinsi nilivyo
    [03:58.85]Maana
    [04:00.11]Umeona jema ndani yangu
    [04:03.56]Na wala hukutazama unyonge wangu
    [04:07.62]Asanteee
    [04:09.88]Asanteee
    [04:12.23]Baba Asantee
    [04:14.66]Asantee
    [04:16.80]We maana maana
    [04:19.27]Umeona jema ndani yangu
    [04:22.86]na wala hukutazama unyonge wangu
    [04:26.81]Asanteee
    [04:29.21]Baba asantee
    [04:33.90]Asantee
    [04:36.26]Maana maana
    [04:38.52]Umeona jema ndani yangu
    [04:42.07]Na wala hukutazama unyonge wangu
    [04:46.34]Asanteee
    [04:48.38]Asanteee
    [04:50.37]Kweli Asantee
    [04:53.22]Asantee
    [04:54.94]Baba umeona jema ndani yangu
    [05:01.15]Na wala hukutazama unyonge wangu
    [05:06.16]Kweli Bwana umenikubali
    [05:09.27]Jinsi nilivyo
    [05:11.87]Umenikubali
    [05:14.15]Jinsi nilivyo
    [05:16.34]Si kama wanadamu
    [05:17.01]Umeona jema ndani yangu
    [05:20.61]Na wala hukutazama unyonge wangu
    [05:25.79]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Umenikubali by Joel Lwaga

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Umenikubali

    Mifupani


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Umenikubali" song?

    ⇒ Joel Lwaga has sung the song "Umenikubali".

    2. Which album is the "Umenikubali" song from?

    ⇒ The song "Umenikubali" is from the album Good To Go.

    3. In which language is the "Umenikubali" song composed?

    ⇒ The song "Umenikubali" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Umenikubali" song?

    ⇒ The official duration of "Umenikubali" is 05:31.67.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Joel Lwaga - Umenikubali