Read, copy, and download the Mifupani lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Mifupani by Joel Lwaga from the album Trust. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:13.47. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Mifupani]
[ar:Joel Lwaga]
[al:Trust]
[lang:Swahili]
[length:04:13.47]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:11.30]Unipae afya mifupani mwangu
[00:17.10]Ninakuamini, ninakuamini
[00:22.83]Nimekujua na nimekuona
[00:28.50]Ninakuamini, ninakuamini
[00:34.64]Unipae afya mifupani mwangu
[00:40.97]Ninakuamini, ninakuamini
[00:46.63]Nimekujua na nimekuona
[00:52.58]Ninakuamini, ninakuamini
[00:58.23]Tumaini langu ni wewe tu, ni wewe tu
[01:03.30]Msaada wangu ni wewe tu, ni wewe
[01:10.48]Kimbilio langu ni wewe tu, bwana ni wewe
[01:16.62]Mungu wangu ni wewe tu, ni wewe tu
[01:23.12]Unipae afya mifupani mwangu
[01:28.30]Ninakuamini, ninakuamini
[01:34.31]Nimekujua na nimekuona
[01:40.91]Ninakuamini, ninakuamini
[01:46.40]Tumaini langu ni wewe tu
[01:50.41]Msaada wangu ni wewe tu
[01:52.67]Kimbilio langu ni wewe tu
[01:55.34]Mungu wangu ni wewe tu
[01:58.58]Japo machozi yananitiririka
[02:05.00]Ila acha yatoke yasafishe macho
[02:09.99]Ili nikuone wewe tu, wewe tu
[02:14.94]Wewe tu, nikuone wewe tu
[02:21.78]Nikujue wewe, zaidi
[02:26.37]Kupitia haya, zaidi
[02:28.99]Nikujue wewe, zaidi
[02:32.15]Wewe unipae ...
[02:35.53]Unipae afya mifupani mwangu
[02:40.62]Ninakuamini, ninakuamini
[02:45.47]Nimekujua na nimekuona
[02:52.28]Ninakuamini, ninakuamini
[02:58.17]Unipae afya mifupani mwangu
[03:04.36]Ninakuamini, ninakuamini
[03:09.54]Nimekujua na nimekuona
[03:16.56]Ninakuamini, ninakuamini
[03:21.88]Msaada wangu ni wewe tu
[03:25.62]Kimbilio ni wewe tu
[03:28.90]Mfariji wangu ni wewe tu
[03:31.67]Msaada wangu ni wewe tu
[03:34.67]Mfariji wangu ni wewe tu
[03:37.63]Wewe tu, wewe tu
[03:41.04]Nitakuona wewe tu, wewe tu
[03:43.35]Kanisani nitakuona wewe tu
[03:53.78]Nimekujua na nimekuona
[03:59.21]Nimekuamini, nimekuamini
[04:10.01]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Mifupani by Joel Lwaga
1. Who is the singer of "Mifupani" song?
⇒ Joel Lwaga has sung the song "Mifupani".
2. Which album is the "Mifupani" song from?
⇒ The song "Mifupani" is from the album Trust.
3. In which language is the "Mifupani" song composed?
⇒ The song "Mifupani" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Mifupani" song?
⇒ The official duration of "Mifupani" is 04:13.47.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Joel Lwaga - Mifupani