Read, copy, and download the Pusha lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Pusha by Aslay from the album Pusha. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:28.05. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Pusha]
[ar:Aslay]
[al:Pusha]
[lang:Swahili]
[length:03:28.05]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:12.76]Pusha washa
[00:14.39]Mi nina stress zimejaa kwenye kichwa
[00:18.95]Sogeza kiti kaa
[00:20.78]Nikueleze machache yaliyonikuta
[00:25.89]Kuna kijanaa ana nisumbua sanaaaa
[00:29.29]Mke wangu raha hana
[00:31.99]Nyumbani amani hakuna
[00:34.96]Hi hiiii
[00:36.81]Asidhani mimi ni mkimya sana
[00:39.84]Mwenzie naumia roho yangu
[00:42.72]Nisije baadae mi kupata lawama
[00:45.64]Nikaharibu CV yangu
[00:48.82]Mwambieni ama zake ama zangu
[00:52.60]Mi ntakufa naye
[00:54.53]Nasema mwambie
[00:56.09]Ama zake ama zangu
[00:58.48]Mi nitakufa naye
[01:00.58]Mkimuona mwambieni
[01:02.24]Ama zake ama zangu
[01:04.42]Nitakufa naye
[01:06.79]Eeeh Mwambieni
[01:08.11]Ama zake ama zangu
[01:10.51]Nitakufa naye
[01:12.40]Anapitaga kibarazani
[01:14.76]Nguo kashusha makalioni
[01:18.02]Anajifanya yeye muhuni
[01:20.86]Wenzie tulianza tisini
[01:23.13]Tutabadilishana majengo ya serikali
[01:27.68]Aaahh ahhh
[01:29.04]Mi niende jela, yeye aende mochwali
[01:33.27]Ahhhh ahhah
[01:34.69]Hi hiii
[01:36.88]Asidhani mimi ni mkimya sana
[01:39.77]Mwenzie naumia roho yangu
[01:43.01]Nisije baadae mi kupata lawama
[01:46.02]Nikaharibu CV yangu
[01:49.21]Mwambieni
[01:50.16]Ama zake ama zangu
[01:52.42]Mimi nitakufa naye
[01:54.18]Nasema mwambieni
[01:56.74]Ama zake ama zangu
[01:58.58]Mimi nitakufa naye
[02:00.17]Mkimwona mwambieni
[02:02.13]Ama zake ama zangu
[02:04.84]Mimi nitakufa naye
[02:06.36]Ehh mwambieni
[02:07.97]Ama zake ama zangu
[02:10.88]Mimi nitakufa naye
[02:14.08]Aiyo, aiyo, aiyoyo
[02:18.35]Huwaga sipendagi dharau
[02:20.04]Aiyo, aiyo, aiyoyo
[02:23.72]Mwambie anajisahau
[02:25.91]Aiyo, aiyo, aiyoyo
[02:29.60]Tutachukiana mamaa
[02:32.27]Aiyo, aiyo, aiyoyo
[02:36.12]Tutapeana lawana sana ooho
[02:56.86]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Pusha by Aslay
1. Who is the singer of "Pusha" song?
⇒ Aslay has sung the song "Pusha".
2. Which album is the "Pusha" song from?
⇒ The song "Pusha" is from the album Pusha.
3. In which language is the "Pusha" song composed?
⇒ The song "Pusha" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Pusha" song?
⇒ The official duration of "Pusha" is 03:28.05.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Aslay - Pusha