• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Likizo Lyrics by Aslay - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Likizo lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Likizo by Aslay from the album Likizo. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:28.38. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Likizo by Aslay LRC Format

    [ti:Likizo]
    [ar:Aslay]
    [al:Likizo]
    [lang:Swahili]
    [length:04:28.38]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:11.11]Message zako nimeziona
    [00:14.81]Ati umechoka visa vyangu
    [00:17.96]Ohh mama aaah
    [00:20.69]Mbona unakufuru Mungu
    [00:23.28]Si ungesema kama umechoka penzi langu
    [00:29.23]Oh mama nijitakatae
    [00:33.46]Ale tate nane
    [00:35.61]Hutaki hata tuonane
    [00:38.84]Vibaya hivyo oh mama
    [00:44.38]Oh tate nane
    [00:46.55]Unapenda tufokeane
    [00:51.00]Vibaya hivyo ooh mwana
    [00:55.32]Nakuonaga tu snapchat
    [00:58.56]Au Insta picha ukiposti
    [01:01.24]Ni block basi mama nisikuone
    [01:05.72]Anakujaga tu ibilisi
    [01:09.24]Natamani kwenda kwenu kushtaki
    [01:11.57]Maneno yako yanafanya ninyong'onye
    [01:17.16]Sababu nakupenda sana
    [01:21.17]Ndo maana unafanya visa niumie
    [01:24.14]Mwenzako bado mi kijana
    [01:26.22]Nahitaji fursa nipe nitulie
    [01:28.37]Kamoyo kanaenda mbio
    [01:30.98]Nakaribia kukata roho
    [01:33.91]Mwanzako sina kimbilio ndo ushanipiga KO
    [01:38.96]Nipunguzie adhabu basi
    [01:41.86]Eeeh eeh
    [01:43.00]Unipe likizo tu
    [01:45.05]Mi bado nakupenda mama
    [01:47.80]Unipe likizo tu
    [01:50.37]Ona unadhulumu yangu nafsi
    [01:53.43]Unipe likizo tu
    [01:56.76]Utaniua mama aaah
    [01:59.19]Unipe likizo tu
    [02:01.58]Za chini ya kapeti nimepata habari umetolewa posa
    [02:17.48]Inamaana hunitaki umepata kibosile kinakupa mapesa (eeh)
    [02:22.27]Kwangu ulifuata kiki uliishi na mimi kusafiria nyota eeeh
    [02:28.20]Kweli kisichoridhiki hakiliki
    [02:32.23]Ona unavyonitesa
    [02:35.56]Kwenye harusi nitakuja
    [02:36.94]Nione walivyokupamba mamaaaa
    [02:39.13]Ninajua itaniuma ila nitajikaza sana
    [02:44.10]Nitaleta na zawadi nitampa mkono jamaa
    [02:48.20]Kisha sitokaa sanaa nitaanza ondoka mama
    [02:55.95]Hali tate nane
    [02:58.30]Hutaki hata tuonane
    [03:01.47]Vibaya hivyo oh mama
    [03:05.84]Oh tate nane
    [03:09.70]Unapenda tufokeane
    [03:13.47]Vibaya hivyo ooh mwana
    [03:17.97]Nipunguzie adhabu basi, ehh
    [03:21.40]Unipe likizo tu
    [03:24.13]Mi bado nakupenda mama
    [03:27.00]Unipe likizo tu
    [03:29.74]Ona unadhulumu yangu nafsi
    [03:32.90]Unipe likizo tu
    [03:34.99]Utaniua mama, mamaa
    [03:38.24]Unipe likizo tu
    [03:40.84]Mola nipe subira
    [04:03.40]Nitampata kisura
    [04:06.09]Nitaishi na yeye, anipende mwenyewe, mwenyewe
    [04:08.76]Mola nipe subira
    [04:11.39]Nitampata kisura
    [04:17.51]Nitaishi na yeye, anipende mwenyewe, mwenyewe
    [04:23.61]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Likizo by Aslay

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Pusha

    Natamba

    Nibebe

    Nichombeze

    Mhudumu

    Nyang'anyang'a

    Likizo


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Likizo" song?

    ⇒ Aslay has sung the song "Likizo".

    2. Which album is the "Likizo" song from?

    ⇒ The song "Likizo" is from the album Likizo.

    3. In which language is the "Likizo" song composed?

    ⇒ The song "Likizo" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Likizo" song?

    ⇒ The official duration of "Likizo" is 04:28.38.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Aslay - Likizo