• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Nibembee Lyrics by Barnaba - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Nibembee lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Nibembee by Barnaba from the album Barnaba. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:10.96. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Nibembee by Barnaba LRC Format

    [ti:Nibembee]
    [ar:Barnaba]
    [al:Barnaba]
    [lang:Indonesian]
    [length:03:10.96]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:14.60]Nah nah nah nah aah
    [00:19.37]Kama tatizo pesa, niko radhi kuiba(Aah)
    [00:23.84]Kwako niseme nini nawe wangu swahiba(Aah)
    [00:28.00]Mtoto mwendo wa jongoo amejawa ghaiba
    [00:32.47]Kutwa juba swala tano, akulinde Kalima aah
    [00:37.37]Nampa chini ya tikiti
    [00:39.60]Nami ndo parachichi
    [00:42.04]Leo umenasa madichi
    [00:44.10]Penzi twalichokocha
    [00:47.04]Masaji ya asali mbichi
    [00:48.80]Maji mixer ya hiliki
    [00:51.49]Michezo samasoti
    [00:53.44]Dodo nimeokota
    [00:56.04]Baby wacha nibembee
    [00:57.81]Kwa penzi lako nibembee
    [01:00.20]Nimefika kikomo nibembee
    [01:03.36]Kwa vyako vinono, nibembee nibembee
    [01:05.38]Mmmh maja ya mdalasini, nibembee
    [01:07.52]Hebu jipinde kwa chini, nibembee
    [01:10.10]Kwako nitake nini tena, nibembee
    [01:12.40]Wacha, nibembee nibembee
    [01:14.45]Aii mimi
    [01:17.41]Aii mimi
    [01:33.16]Vocha yako thamani
    [01:35.34]Ya kipato changu kidogo
    [01:37.92]Anivumiliaga
    [01:40.03]Kwa vidogo salary
    [01:43.02]Ye mtunza vya ndani
    [01:44.48]Nje kuvitoaga mwiko
    [01:47.07]Penzi sangara shombo
    [01:49.02]Kubishana ni kawaida
    [01:51.62]Beiby we ndo maji kisima
    [01:53.49]Sharti uiname(Teke teke)
    [01:56.41]Nizame kwako mazima
    [01:58.17]Msumari nishindilie(Teke teke)
    [02:00.91]Kwako nitake nini tena?
    [02:03.03]Unavyoikunja nzima nzima(Iweke iweke)
    [02:05.41]Vizabizabina
    [02:07.20]Hadharani washuhudie(Iweke iweke)
    [02:09.88]Nampa chini ya tikiti
    [02:12.30]Nami ndo parachichi
    [02:14.55]Leo umenasa madichi
    [02:16.13]Penzi twalichokocha
    [02:19.00]Masaji ya asali mbichi
    [02:20.85]Maji mixer ya hiliki
    [02:23.78]Michezo samasoti
    [02:26.24]Dodo nimeokota
    [02:28.46]Baby wacha nibembee
    [02:30.61]Kwa penzi lako nibembee
    [02:33.21]Nimefika kikomo nibembee
    [02:35.31]Kwa vyako vinono, nibembee nibembee
    [02:38.47]Mmmh majagala chini, nibembee
    [02:40.10]Hebu jipinde kwa chini, nibembee
    [02:42.29]Kwako nitake nini tena, nibembee
    [02:44.57]Wacha, nibembee nibembee, nibembee
    [02:47.49]Aii mimi, aha
    [02:49.36]Nah nah nah nah, nah
    [02:55.15]Mtoto kapakwa msiwasili, nibembee
    [02:58.46]Danga na vuti, nibembee
    [03:00.28]Oooh niseme nini, nibembee
    [03:02.78]Nibembee, nibembee, nibembee
    [03:06.94]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Nibembee by Barnaba

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Tamu

    Washa

    Nibembee

    Magubegube

    Hadithi


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Nibembee" song?

    ⇒ Barnaba has sung the song "Nibembee".

    2. Which album is the "Nibembee" song from?

    ⇒ The song "Nibembee" is from the album Barnaba.

    3. In which language is the "Nibembee" song composed?

    ⇒ The song "Nibembee" is composed in the Indonesian language.

    4. What is the official duration of the "Nibembee" song?

    ⇒ The official duration of "Nibembee" is 03:10.96.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Barnaba - Nibembee