Read, copy, and download the Magubegube lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Magubegube by Barnaba from the album Barnaba. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:58.18. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Magubegube]
[ar:Barnaba]
[al:Barnaba]
[lang:Somali]
[length:03:58.18]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:00.03]Ma-ma-ma-magubegube (Tudy Thomas), magumegume
[00:05.10](Ma-ma-ma) magubegube (ma-ma-ma)
[00:08.49]Ma-ma-ma-magubegube (ma-ma-ma-magume, gume...), magumegume
[00:14.35]Magubegube (ma-ma-ma-ma)
[00:17.71]Usiombe ung'oe (gubegube), wanamambo, ah (magubegube)
[00:22.12]Unaweza ukampiga mpaka ukaua na
[00:26.56]Usiombe ukutane na (magumegume), wanamambo, ah (magumegume)
[00:30.83]Mnaweza mkamsuuza mpaka mkachoka nyie
[00:35.20]Ah, juzi juzi nilizungumza na jirani yangu
[00:39.96]Ah, nikamuuliza, "Vipi kuhusu shemeji yangu?"
[00:43.88]Alichonijibu kibaya, sikutegemea kabisa
[00:48.16]"Shemeji yako mbaya kwanza usiku halali kabisa"
[00:52.62]Ah, juzi juzi tena nilizungumza na mama mwenye nyumba yangu
[00:57.64]Ah, nikamuuliza, "Vipi kuhusu ile kodi yangu?"
[01:01.44]Alichonijibu kibaya, sikutegemea kabisa
[01:05.64]Kama naitaji kuendelea, basi mwili wangu lazima nani nimpe
[01:10.07]Usiombe ung'oe (gubegube), wanamambo, ah (magubegube)
[01:14.48]Unaweza ukampiga mpaka ukaua na
[01:19.03]Usiombe ukutane na (magumegume), wanamambo, ah (magumegume)
[01:23.20]Mnaweza mkamsuuza mpaka mkachoka nyie
[01:27.39]Mapenzi yamekuwa uongo, yamekuwa uongo
[01:31.65]Yanachanganya sana ubongo, unaweza uka-paralyze
[01:36.14]Na wapenzi wamekuwa waongo, wamekuwa waongo
[01:39.97]Unazama leo kesho longolongo, swali na jibu kamwe halikowazi
[01:45.03]Ah, juzi juzi nilizungumza na teacher wangu
[01:49.80]Ah, nikamuuliza, "Vipi kuhusu majibu yangu?"
[01:53.57]Alichonijibu kibaya, sikutegemea kabisa
[01:57.86]Kama naitaji kupita, basi lazima kidogo dogo nanikupaga
[02:03.47]Ma-ma-ma-ma
[02:05.74]Ma-ma-ma-ma
[02:07.92]Ma-ma, basi lazima kidogo dogo nanikupaga
[02:11.30]Usiombe ung'oe (gubegube), wanamambo, ah (magubegube)
[02:15.70]Unaweza ukampiga mpaka ukaua na
[02:20.06]Usiombe ukutane na (magumegume), wanamambo, ah (magumegume)
[02:24.30]Mnaweza mkamsuuza mpaka mkachoka nyie (we, we)
[02:28.45]Hivi ni shida au tamaa zinazowaleta
[02:32.83]Au shilingi inaleta balaa, ma-ma (magumegume)
[02:37.42]Usiombe ung'oe (magubegube), wanamambo (magumegume)
[02:41.33]Unaweza ukapigwa mpaka, mpaka ukaimba na
[02:45.99]Hivi ni shida au tamaa, eh (magumegume)
[02:50.53]Au shilingi (magubegube) inawakusanya na kuwajaza (magumegume)
[02:54.57]Unaweza ukapiga mpaka, mpaka ukachoka wewe, eh, eh, hey
[03:01.60]Mpaka ukachoka wewe
[03:03.71]Usiombe ung'oe (gubegube), wanamambo, ah (magubegube)
[03:08.16]Unaweza ukampiga mpaka ukaua (mama)
[03:12.30]Usiombe ukutane na (magumegume), wanamambo, ah (magumegume)
[03:16.60]Mnaweza mkamsuuza mpaka mkachoka nyie (wewe)
[03:21.28]Ma-ma-ma-magubegube (ma-ma-ma-magume, gume...), magumegume
[03:26.63]Magubegube (magumegume)
[03:29.39]Ma-ma-ma-magubegube (ma-ma-ma-magume, gume...), magumegume
[03:35.34]Magubegube (gume, gume, gume, gume)
[03:38.07]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Magubegube by Barnaba
1. Who is the singer of "Magubegube" song?
⇒ Barnaba has sung the song "Magubegube".
2. Which album is the "Magubegube" song from?
⇒ The song "Magubegube" is from the album Barnaba.
3. In which language is the "Magubegube" song composed?
⇒ The song "Magubegube" is composed in the Somali language.
4. What is the official duration of the "Magubegube" song?
⇒ The official duration of "Magubegube" is 03:58.18.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Barnaba - Magubegube