• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Yatupasa Kushukuru Lyrics by Ambassadors Of Christ Choir - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Yatupasa Kushukuru lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Yatupasa Kushukuru by Ambassadors Of Christ Choir from the album Ambassadors Of Christ Choir. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:43.46. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Yatupasa Kushukuru by Ambassadors Of Christ Choir LRC Format

    [ti:Yatupasa Kushukuru]
    [ar:Ambassadors Of Christ Choir]
    [al:Ambassadors Of Christ Choir]
    [lang:Swahili]
    [length:04:43.46]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:11.50]Mtu mmoja alistaajabu sana, niliposema nitamshukuru Mungu
    [00:21.45]Baada ya matatizo mengi kunipata akili yangu ikampa wasiwasi
    [00:31.23]Kwa kweli nami, ilinigharimu, kujijulisha inipasavyo
    [00:40.92]Ila baada ya muda nikaona yapo mengi ya kunifanya nimshukuru Mungu
    [00:50.64]Yako mengi, hayajakwisha yatubidhishayo tumshukuru Mungu wetu
    [01:00.49]Japo twapita majaribu mengi bado, yapo mengi ya kushukuriwa
    [01:10.84](Jiunge), he, ee, jiunge nasi, tulisisitize jambo hili la muhimu
    [01:20.28]Yale yote tujiulizayo mioyoni majibu anayo Mungu wetu
    [01:32.50]Ambassadors of Christ tuashukuru lakini kwa wengi hatueleweki
    [01:42.21]Kutokana na mambo ya yaliotupata ivi kushukuru si jambo la busara
    [01:52.06]Lakini ndugu (eh), ukitulia, nakujiuliza ya ajali ile
    [02:01.61]Tungeweza kuangamia wote kwa pamoja asiwepo hata mmoja wa kusimulia
    [02:11.10]Yako mengi, hayajakwisha yatubidhishayo tumshukuru Mungu wetu
    [02:21.29]Japo twapita majaribu mengi bado, yapo mengi ya kushukuriwa
    [02:31.33](Shukuru), he, ee, jiunge nasi, tulisisitize jambo hili la muhimu
    [02:41.09]Yale yote tujiulizayo mioyoni majibu anayo Mungu wetu
    [03:00.35]Majaribu kama haya yalikuweko hata kwenye siku za mababu zetu
    [03:10.37]Ila kwa yote walikuwepo mashujaa walioweza kuitetea imani yao
    [03:20.29]Tuwake Mungu (eh), wakati wote, kwa yote hatujitegemei
    [03:29.74]Tukiwa hai tukiwa mauti tuwake tujualo ni moja kushukuru
    [03:39.61]Yako mengi, hayajakwisha yatubidhishayo tumshukuru Mungu wetu
    [03:49.68]Japo twapita majaribu mengi bado, yapo mengi ya kushukuriwa
    [03:59.09](Jiunge), he, ee, jiunge nasi, tulisisitize jambo hili la muhimu
    [04:09.43]Yale yote tujiulizayo mioyoni majibu anayo Mungu wetu
    [04:19.60]He ee jiunge nasi, tulisisitize jambo hili la muhimu
    [04:28.80]Yale yote tujiulizayo mioyoni majibu anayo Mungu wetu
    [04:41.63]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Yatupasa Kushukuru by Ambassadors Of Christ Choir

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Yatupasa Kushukuru


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Yatupasa Kushukuru" song?

    ⇒ Ambassadors Of Christ Choir has sung the song "Yatupasa Kushukuru".

    2. Which album is the "Yatupasa Kushukuru" song from?

    ⇒ The song "Yatupasa Kushukuru" is from the album Ambassadors Of Christ Choir.

    3. In which language is the "Yatupasa Kushukuru" song composed?

    ⇒ The song "Yatupasa Kushukuru" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Yatupasa Kushukuru" song?

    ⇒ The official duration of "Yatupasa Kushukuru" is 04:43.46.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Ambassadors Of Christ Choir - Yatupasa Kushukuru