Read, copy, and download the Yatapita lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Yatapita by PROFESSOR JAY, Harmonize from the album Yatapita. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:05.62. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Yatapita]
[ar:PROFESSOR JAY, Harmonize]
[al:Yatapita]
[lang:Somali]
[length:04:05.62]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:02.80]aiiii, mmm
[00:06.75]Aiii...
[00:09.98]Oooh yeaaah
[00:15.49]Mmmh.
[00:17.81]Ipo siku na muda silali bado na hustle
[00:22.54]kama ipo itakuja ya halali nile kwajasho
[00:27.23]Ipo siku na muda (eeh) silali bado na hustle
[00:32.05]Namini itakuja ya halali nile kwajasho
[00:36.34]Kulala visavihoja
[00:38.91]Yatapita eeh, yata
[00:41.19]Mlokutwa maramoja eeh yatapita,
[00:44.64]Yata
[00:46.24]Bado tunajikongoja eeh
[00:48.58]Yatapita eeh, yata
[00:50.85]Usijiisi umelogwa yatapita yata.
[00:56.21]Nilijaribu mara ya kwanza wakanambia sitoweza
[00:59.04]Nikajaribu mara ya pili wengi wakasema nacheza
[01:01.92]Mara ya tatu marafiki wakanizebeza
[01:04.15]Mara ya nne hata kabla yakuanza nikateleza
[01:06.79]Mara ya tano nikafeli wakanibeza
[01:08.85]wengi wakanambia siwezi faulu bila ya fedha
[01:11.46]Mara ya sita nikasita nikasikia sauti
[01:13.65]ikiniita kwamba maisha ni vita jeunaweza
[01:16.36]Mara ya saba mambo yalijiongeza kilaninapo anguka nainuka
[01:20.57]najisogeza napopata kidogo
[01:22.75]nakiwekeza maisha chuo kikuu wapasakujiendeleza
[01:25.78]Mara ya nane I'm the man now i Rise up
[01:28.30]King ndani ya jungle or else keeping ma
[01:30.65]head up usikate tamaa (ongeza tu juhudi pambana)
[01:33.27]Im on top of the world nawewe unaweza
[01:35.57]Ipo siku na muda silali bado na hustle
[01:39.50]kama ipo itakuja ya halali nile kwajasho
[01:44.07]Ipo siku na muda (eeh) silali bado na hustle
[01:48.81]Namini itakuja ya halali nile kwajasho
[01:53.05]Kulala visavihoja
[01:55.24]Yatapita eeh, yata
[01:58.00]Mlokutwa maramoja eeh yatapita,
[02:01.43]Yata
[02:03.34]Bado tunajikongoja eeh
[02:04.80]Yatapita eeh, yata
[02:07.59]Usijiisi umelogwa yatapita yata.
[02:12.29]Najua unapata tabusana wanakutukana
[02:15.69]Ifikirie kesho yako achana na jana
[02:18.49]Najua hata ndugu wadamu wanakukana
[02:20.63]Haya maisha nivita yapaswa kuyapigana
[02:23.19]Hujapokea mshahara jikaze bwana usilie
[02:25.56]Ongeza sana kazi na sala mama nt'ilie
[02:28.23]Maisha nimapambano halisi sio nguvu ya soda
[02:30.57]Usisubiri ugeuzwe punda ukabebe powder
[02:32.87]Nipo pamoja nanyi wanangu wa bodaboda
[02:34.99]Dua zangu zipo nanyi mama zangu wa mbogamboga
[02:37.51]Unapitia mengi, ila mambo haya endi
[02:40.12]I can, i must, i will
[02:42.24]Kama mengi
[02:43.43]Fundi garage piga kazi kwa bidii ukiweza kesha
[02:45.07]Unaweza kua Mangi Mo dewji ama Bahkresa
[02:47.07]usikate tamaa (ongeza tu juhudi pambana)
[02:49.93]Sitting on the top of the world nawewe unaweza
[02:52.03]Ipo siku(siku) na muda silali bado na hustle (eti mbona
[02:56.25]silali) kama ipo itakuja ya halali nile kwajasho(kwajasho)
[03:00.55]Ipo siku na muda (eeh) silali bado na hustle (asee mbona silali kwan)
[03:05.11]Namini itakuja ya halali nile kwajasho
[03:09.68]Kulala visavihoja
[03:12.21]Yatapita eeh, yata.
[03:14.67]Mlokutwa maramoja eeh yatapita,
[03:18.40]Yatapita
[03:19.80]Bado tunajikongoja eeh
[03:21.83]Yatapita eeh, yatapita
[03:24.12]Usijiisi umelogwa yatapita yata.
[03:26.87]
[03:29.11]'U know no one is going to successful and no one is going to be a star
[03:39.82]Hakuna kinacho shindikana
[03:43.61]Believe in yourself'
[03:44.68]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Yatapita by PROFESSOR JAY, Harmonize
1. Who is the singer of "Yatapita" song?
⇒ PROFESSOR JAY, Harmonize has sung the song "Yatapita".
2. Which album is the "Yatapita" song from?
⇒ The song "Yatapita" is from the album Yatapita.
3. In which language is the "Yatapita" song composed?
⇒ The song "Yatapita" is composed in the Somali language.
4. What is the official duration of the "Yatapita" song?
⇒ The official duration of "Yatapita" is 04:05.62.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
PROFESSOR JAY, Harmonize - Yatapita