Read, copy, and download the Wanakutamani lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Wanakutamani by Rich Mavoko from the album Wanakutamani. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:19.26. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Wanakutamani]
[ar:Rich Mavoko]
[al:Wanakutamani]
[lang:Polish]
[length:03:19.26]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:00.07]Wasafii
[00:05.18]S2kizzy
[00:06.70]♪
[00:11.29]Naomba utunze heshima, ulilinde na jina
[00:16.00]Nimekukabidhi mtima, aliyenipa Karima
[00:20.77]Yote nimekubali mimi
[00:25.82]Mi niko tayari niamini
[00:30.83]Nikiwa chizi ni wewe (Aaah, eeh)
[00:34.55]We ndo sababu
[00:35.79]Sitaki moyo wangu uchezewe (Aaah, eeh)
[00:38.75]Ntapata tabu
[00:40.82]Nachotaka kuzaa na wewe (Aaah, eeeh)
[00:43.81]Pendo lako la dhahabu
[00:46.82]Nije kuzeeka na wewe (Aaah eeeh)
[00:47.82]Bibi na babu
[00:50.78]Wanakutamani hao
[00:54.55]Wanakutamani hao
[00:55.78]Wanakutamani hao
[00:59.35]Mwenzako nia ninayo
[01:00.77]Wanakutamani hao (mi nawajua baby)
[01:04.79]Wanakutamani hao (watakuchezea mama)
[01:06.79]Wanakutamani hao (wakishakuvua baby)
[01:09.79]Mwenzako nia ninayo (watakuacha solemba)
[01:12.76]Mi na wewe waarabu kwa wapemba
[01:14.81]Tunajuana baby kwa vilemba
[01:17.83]Miaka rudi tena miaka nenda
[01:19.81]Hawaning'oi hata kwa kwa defender
[01:22.84]Yako thamani
[01:23.82]Mwengine sijawahi kuona mama
[01:26.80]Usiniweke mashakani
[01:28.83]Wakakudanganya kwa punje za mtama
[01:32.29]Nikiwa chizi ni wewe (Aaah eeeh)
[01:35.78]We ndo sababu
[01:37.37]Sitaki moyo wangu uchezewe (Aaah eeeh)
[01:41.13]Ntapata tabu
[01:42.32]Nachotaka kuzaa na wewe (Aaah eeeh)
[01:45.80]Pendo lako la dhahabu
[01:47.81]Nije kuzeeka na wewe (Aaah eeeh)
[01:51.01]Bibi na babu
[01:53.29]Wanakutamani hao (oooh)
[01:55.95]Wanakutamani hao (wanakutamani mama)
[01:58.41]Wanakutamani hao (wanakutamani...)
[02:00.96]Mwenzako nia ninayo (achana naooo)
[02:03.32]Wanakutamani hao (wanakutamani...)
[02:05.79]Wanakutamani hao (baby baby...)
[02:08.73]Wanakutamani hao (wanakutamani...)
[02:11.06]Mwenzako nia ninayo
[02:13.81]♪
[02:22.19]Moyo wangu mi nakupa baby usasambue usasambue...
[02:28.37]Mi nakupa usasambue usasambue...
[02:32.76]Fanya unavyotaka usasambue usasambue
[02:37.81]Ubakishe mifupa usasambue usasambue...
[02:42.81]Uniburuze kama guta usasambue usasambue...
[02:47.80]Usasambue usasambue...
[02:52.86]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Wanakutamani by Rich Mavoko
1. Who is the singer of "Wanakutamani" song?
⇒ Rich Mavoko has sung the song "Wanakutamani".
2. Which album is the "Wanakutamani" song from?
⇒ The song "Wanakutamani" is from the album Wanakutamani.
3. In which language is the "Wanakutamani" song composed?
⇒ The song "Wanakutamani" is composed in the Polish language.
4. What is the official duration of the "Wanakutamani" song?
⇒ The official duration of "Wanakutamani" is 03:19.26.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Rich Mavoko - Wanakutamani