Read, copy, and download the Wach Wach lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Wach Wach by Nyashinski from the album Lucky You. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:16.00. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Wach Wach]
[ar:Nyashinski]
[al:Lucky You]
[lang:Indonesian]
[length:03:16.00]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:02.79]Yeah
[00:05.53]Uh
[00:06.39]Yeah, yeah
[00:09.56]Wach wach
[00:10.92]Wach wach
[00:12.17]Yeah
[00:12.97]Mi ni senior nafaa kuwa deputy
[00:14.99]Pedi wako anajua nina pedigree
[00:16.91]Infact unafaa kuwa unasimama niketi
[00:18.52]Hii gava itasanya hata mamatha vibeti
[00:20.24]Mwizi atakuibia walenje ukidedi
[00:22.03]Mwizi anapunguza jam akidedi
[00:23.87]Hizo ni vitu ma-rapper hawatemi
[00:25.47]Kua ma-career ni pang'ang'a na deni
[00:27.23]Hakuna mtu anasema ukweli
[00:28.73]Watu wanalipwa mapeni
[00:30.35]Nikiwa mavela naona Makaveli
[00:32.05]Hii ni msomo free ka People Daily
[00:33.91]Umeng'aria hawa watu for long, mpaka saa hii inabore
[00:36.28]Inabore saa mpaka umeanza ku-long for watu unang'aria
[00:38.82]Iko wapi hizo throne naskia zimekaliwa
[00:40.47]Sikuangi kwa zone, nakuanga kwa caliber flani ya form
[00:43.00]Haiezi match-iwa, najua itakuwa long kabla mu-mature
[00:45.60]Msinitry mi najijua
[00:47.23]Risasi haisimamishwagi na kifua
[00:49.02]Kisasi hailipishwagi na ratili
[00:50.71]Na kama customer flani anasumbua
[00:53.12]Mi najijua
[00:54.31]Nimeconfirm (nimeconfirm)
[00:55.97]Mi najijua (mi najijua)
[00:57.66]Mitaa zimetii-tii-tii-tii
[00:59.50]Mi nachafua (mi nachafua)
[01:00.99]Zao ziko down (zao ziko down)
[01:02.93]Si tuko tu up (si tuko tu up)
[01:04.50]Mitaa zimetii-tii-tii-tii
[01:06.44]Mi nachafua (mi nachafua)
[01:07.57]Sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach)
[01:10.04]Wach wach (wach wach), wach wach (wach wach)
[01:11.88]Wach wach ndo vile naskia
[01:13.23]Wach wach ndo vile naskia
[01:14.90]Sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach)
[01:16.99]Wach wach (wach wach), wach wach (wach wach)
[01:18.72]Wach wach ndo vile naskia
[01:20.12]Wach wach ndo vile naskia
[01:22.50]Okay you see, only what they let you see
[01:25.51]Na hii ni advice si matusi
[01:26.91]Don't fu- up juu ya ganji
[01:28.70]Don't act like you're so holy
[01:30.51]Judgement yako haikuponyi
[01:32.17]Ukiomoka asubuhi usikuwe ushasota by jioni
[01:35.34]Mi na-slaughter microphoni
[01:37.28]Go missing, hamnioni
[01:38.90]Nikinyamaza jua nikupromising ka Tigoni
[01:42.19]Been polishing skills za mine
[01:43.93]Ni astonishing ka milioni
[01:45.98]Na inakaa ungekaa mjinga if you were wishing failure on me
[01:49.27]Yeah, mauraru hatatuja tuna
[01:51.39]Ngata gari yangu inakunywa
[01:53.05]Defence na attack, najichunga
[01:54.93]Guranteed leo baki na kuma
[01:56.82]Ka Mr. Tuna, ah sina tumor
[01:58.97]Plus huna kiuno hadi najiuma
[02:00.88]Umetisha and I'm sure you know
[02:02.67]We itisha mpaka wa-jam
[02:04.36]Na hii beat ni ya my nigga Sam
[02:06.04]Ear drums zako zinakubali
[02:07.66]Pia roho yako inakubali
[02:09.38]Hii flow ina uhodari flani
[02:11.13]Huonangi mtaani, ndo unaona hapa nani ndo daktari
[02:13.70]Dere wa trailer atakuwa na Ferrari, amen
[02:15.68]Mi najijua
[02:16.77]Nimeconfirm (nimeconfirm)
[02:18.33]Mi najijua (mi najijua)
[02:20.04]Mitaa zimetii-tii-tii-tii
[02:21.85]Mi nachafua (mi nachafua)
[02:23.58]Zao ziko down
[02:25.41]Si tuko tu up (si tuko tu up)
[02:26.72]Mitaa zimetii-tii-tii-tii
[02:28.74]Mi nachafua (mi nachafua)
[02:30.07]Sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach)
[02:32.33]Wach wach (wach wach), wach wach (wach wach)
[02:34.23]Wach wach ndo vile naskia
[02:35.81]Wach wach ndo vile naskia
[02:37.18]Sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach)
[02:39.28]Wach wach (wach wach), wach wach (wach wach)
[02:40.99]Wach wach ndo vile naskia
[02:42.73]Wach wach ndo vile naskia
[02:44.90]Nimeconfirm
[02:46.54]Mi najijua (mtaa zimetii-tii-tii)
[02:49.83]Mi nachafua
[02:51.68]Zao ziko down
[02:53.41]Si tuko tu up (mtaa zimetii-tii-tii)
[02:56.75]Mi nachafua
[02:59.02]Wach wach, wach wach, wach wach (tii-tii-tii)
[03:01.92]♪
[03:05.63]Wach wach, wach wach, wach wach (tii-tii-tii)
[03:10.66]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Wach Wach by Nyashinski
1. Who is the singer of "Wach Wach" song?
⇒ Nyashinski has sung the song "Wach Wach".
2. Which album is the "Wach Wach" song from?
⇒ The song "Wach Wach" is from the album Lucky You.
3. In which language is the "Wach Wach" song composed?
⇒ The song "Wach Wach" is composed in the Indonesian language.
4. What is the official duration of the "Wach Wach" song?
⇒ The official duration of "Wach Wach" is 03:16.00.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Nyashinski - Wach Wach