Read, copy, and download the Tiririka lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Tiririka by Yammi from the album Tiririka. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:47.81. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Tiririka]
[ar:Yammi]
[al:Tiririka]
[lang:Somali]
[length:03:47.81]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:07.77]Mmmmmh mmmmh
[00:13.09]Aaaaaah aaaah
[00:17.81]Mapenzi yamenibadilisha
[00:20.32]Skuizi sinaga ubabe
[00:23.34]Nishakuwa ghucha
[00:25.13]Niache moyoni niyabebe babii
[00:28.17]Mimi ni kuku wako ukitaka
[00:30.87]Mayai niyatage sema
[00:33.53]Na ukiona na ujinga
[00:35.63]We nisitiri usinibwage
[00:37.95]Sina matamanio nishavukaga huko
[00:43.25]Sintoivua vazi la heshima
[00:45.81]Ulionivisha kwa upendo
[00:47.38]Sina matarajip ya kuondoka kwako
[00:53.31]Dunia imeshabadili wengi
[00:55.57]Wakawa vituko
[00:58.00]Mapenzi sio mchezo wa ngumi
[01:00.90]Nipige na khanga au ukuni
[01:03.23]Hata ukinifinya finya haiumi
[01:05.82]Naona raha
[01:08.21]Naisoma namba kwa kirumi
[01:11.42]Huu mchezo gani mbona wa kihuni
[01:13.41]Hata ukinifinya finya haiumi
[01:15.87]Aaaah naona raha
[01:18.26]Unanijaza upendo mpaka unatiririka
[01:21.60]Tiriririii
[01:24.09]Unanitiririka Tiriririii
[01:28.23]Tiriririii Tiriririii
[01:34.40]Upendo unanitiririka mie
[01:36.54]Tiriririii Tiriririii
[01:49.77]Ahaaaaa Ahaaaa
[01:59.13]Tiriririka kama si diaba
[02:03.58]Najaza ndoo
[02:04.83]Raha nnazompa
[02:07.00]Eti kama marhaba
[02:08.48]Nikimpa shikamoo
[02:10.02]Haniachi njiani nafika
[02:12.32]Mi kwake Yes sisemi No
[02:15.00]Siwezagi kususa nisipomuona
[02:18.71]Wafukuta moyo
[02:20.11]Asante angalau umenionesha
[02:22.70]Maana ya upendo
[02:24.71]Na sio kwa nahau (kwa nahau)
[02:27.27]Umenionesha kwa vitendo
[02:29.64]Sitokaaga nisahau
[02:32.28]Nilinyanyasika hapo mwanzo
[02:34.90]Niliyaoga madharau
[02:36.90]Kwa kumpenda asiojali upendo
[02:39.53]Mapenzi sio mchezo wa ngumi
[02:41.88]Nipige na khanga au ukuni
[02:44.37]Hata ukinifinya finya haiumi
[02:47.19]Naona raha
[02:49.15]Naisoma namba kwa kirumi
[02:51.93]Huu mchezo gani mbona wa kihuni
[02:54.72]Hata ukinifinya finya haiumi
[02:57.07]Aaaah naona raha
[02:59.28]Unanijaza upendo mpaka unatiririka
[03:03.17]Tiriririii
[03:05.66]Unanitiririka Tiriririii
[03:10.64]Tiriririii Tiriririii
[03:15.16]Upendo unanitiririka mie
[03:19.18]Tiriririii Tiriririii
[03:23.22]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Tiririka by Yammi
1. Who is the singer of "Tiririka" song?
⇒ Yammi has sung the song "Tiririka".
2. Which album is the "Tiririka" song from?
⇒ The song "Tiririka" is from the album Tiririka.
3. In which language is the "Tiririka" song composed?
⇒ The song "Tiririka" is composed in the Somali language.
4. What is the official duration of the "Tiririka" song?
⇒ The official duration of "Tiririka" is 03:47.81.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Yammi - Tiririka