• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Tatizo Lyrics by Billnass - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Tatizo lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Tatizo by Billnass from the album Tatizo. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:21.78. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Tatizo by Billnass LRC Format

    [ti:Tatizo]
    [ar:Billnass]
    [al:Tatizo]
    [lang:Swahili]
    [length:03:21.78]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:03.54]aman lymo what app
    [00:20.57]sio kwamba mi nina wivu hivyo
    [00:22.39]Ila tatizo kwamba ulileta maringo
    [00:24.23]Ukashindwa geuza shingo
    [00:26.21]Sababu sikuwa na mingle
    [00:27.49]Ukanikana mbele ya wana ukaleta mazingzong
    [00:30.08]Kule, Kinondoni Moscow, life changamoto
    [00:31.53]Ghetto moja local, unadai ilivyo joto
    [00:37.11]Mapenzi kweli nyoso, ukaniacha kwenye msoto,msoto
    [00:39.81]Ukataka toka na vibopa (Masonko)
    [00:43.12]Nikakosa plan B mtoto wa ghetto
    [00:45.87]Ukanifanya mpaka nikaonekana mental
    [00:48.77]Pindi nadanda danda mambo hayajasettle
    [00:50.86]Si ulitaka taka mali
    [00:53.59]Na me enzi hizo sikuwa na hali
    [00:55.11]Ndo sababu haukuenda mbali
    [00:55.37]Na mi rudi na hizo mali
    [00:55.68]Si ulitaka taka mali
    [00:58.38]Ukaniona choka mbaya
    [01:00.07]So ukiniona mimi tena
    [01:00.42]Naomba ukae kae mbali
    [01:02.58]Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
    [01:06.68]Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
    [01:12.79]Tatizo, tatizo, tatizo, Tatizo, tatizo, tatizo
    [01:19.33]Labda tatizo
    [01:23.31]Naskia stori kibao, mama walo kibao
    [01:26.94]Na wenye hela kibao
    [01:27.39]Sa mbona umeachana nao, hao walionizidi kete
    [01:31.35]Wamekuwacha mpweke tatizo we kicheche
    [01:33.83]Au ladha we umesahau
    [01:35.04]Nilivovisha kete naskia we ulicatch
    [01:37.84]Unataka tu mabeste haiwezekani eeh
    [01:40.36]Hatuwezi hata kumeet, unataka kurevenge
    [01:40.99]Hapana mama siwezi
    [01:45.63]Najua we una moyo pia we una nafsi
    [01:47.62]Ulinipenda ila ulishindwa tu kubaki
    [01:50.01]We una moyo pia we na nafsi
    [01:53.26]Mahitaji yako sikutimiza kwa wakati
    [01:55.60]Ulitaka taka mali
    [01:55.67]Na me enzi hizo sikuwa na hali
    [01:57.52]Ndo sababu haukuenda mbali
    [01:59.67]Na mi rudi na hizo mali
    [02:01.20]Ulitaka taka mali
    [02:02.93]Ukaniona choka mbaya
    [02:04.18]So ukiniona mimi tena
    [02:05.14]Naomba ukae kae mbali
    [02:05.70]Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
    [02:10.51]Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
    [02:14.66]Tatizo, tatizo, tatizo, Tatizo, tatizo, tatizo
    [02:23.74]Labda tatizo
    [02:27.12]Mpya... mpya...
    [02:32.45]Ukurasa... mpya
    [02:47.77]Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
    [02:52.35]Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
    [02:57.57]Tatizo, tatizo, tatizo, Tatizo, tatizo, tatizo
    [03:06.55]Labda tatizo
    [03:15.01]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Tatizo by Billnass

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Tatizo

    Deka


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Tatizo" song?

    ⇒ Billnass has sung the song "Tatizo".

    2. Which album is the "Tatizo" song from?

    ⇒ The song "Tatizo" is from the album Tatizo.

    3. In which language is the "Tatizo" song composed?

    ⇒ The song "Tatizo" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Tatizo" song?

    ⇒ The official duration of "Tatizo" is 03:21.78.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Billnass - Tatizo