Read, copy, and download the Segedance lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Segedance by Darassa, Rich Mavoko from the album Slave Becomes A King. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:45.04. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Segedance]
[ar:Darassa, Rich Mavoko]
[al:Slave Becomes A King]
[lang:Tagalog]
[length:03:45.04]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:01.24]Ana ngoma zote samba vanga sidimba
[00:05.57]Ukiingia anga zake rare timba
[00:15.29]Hadithi hadithi utam kolea
[00:21.04]Huwezi kusimulia mvua haijakunyeshea
[00:23.20]Take care huu sio moto wa kuotea
[00:25.99]Mimea juba mbovu litakubomokea
[00:28.15]Usimchokoze mwache komando kalala
[00:31.04]Akiamka biashara shaghala baghala
[00:33.07]Mtu hasara wamezinga mabomu Mbaghala
[00:35.83]Akitinga home anaacha msala
[00:37.61]Kaamkia stand hata bila safari
[00:40.37]Kashazima zake data hana habari
[00:42.77]Kutwa za watu machata kujikubali
[00:45.07]Mastaa plasta mtu wa ajali
[00:47.35]Nitakuingiza chaka usimweke dhamana
[00:49.62]Alikolala leo sio huko aliamka jana
[00:51.61]Hana usiku hana mchana hana maana
[00:54.39]Mtu lawama hana team hana chama
[00:56.16]Unakuja kutaste taste weka anachomeka
[00:59.30]Kama unabet bet anachana mkeka
[01:01.35]Wameshikwa na baridi wanatetemeka
[01:04.33]Wamepatwa na mawenge wanaweweseka
[01:06.12]Huyu bwana hana mzaha anapiga honi
[01:09.24]Tena kabeba silaha kali kibindoni
[01:11.59]Sema suto na vumbi usoni
[01:13.43]Tia mguu uende na maji mtoni
[01:15.27]Anazijua njama, drama, utampenda
[01:19.40]Anakuwa mnyama ukiinama
[01:22.21]Ukiinuka amekwenda nawe eeh
[01:25.77]Mzee wa segedance
[01:27.91]Kukaba kuiba kashazoea, segedance
[01:30.91]Wanamuita segedance
[01:32.38]Dhuluma kupiga nyumbani, segedance
[01:35.13]Siku nyingine kumekucha kwenye misele
[01:56.70]Ye anawaza mbele maisha yatakuwa mtele
[01:59.35]Stori zake chenga chenga nyingi kama Pelle
[02:01.87]Kwa vitambo hajambo majigambo tele
[02:03.99]Tunaishi naye kimatale mtaani
[02:06.73]Ukasero kwake yeye ni kama maskani
[02:09.01]Umri wake na matendo haviendani
[02:11.28]Jua kali cheki mwendo shati begani
[02:13.79]Akiingia party kaharibu kaishia
[02:15.93]Sio mtu kweli bandia bandia
[02:18.10]Mambo yake ni kudandia dandia
[02:20.91]Mkate anashushia na bia
[02:22.93]Kichwa imewaka ti na anapepesuka
[02:25.48]Hana muda wa kuoga anapaka mafuta
[02:27.76]Mueke vigingi chimba chimba na matuta
[02:30.17]Hutomkuta maajabu ya Musa
[02:32.40]Unakuja kutaste taste weka anachomeka
[02:35.62]Kama unabet bet anachana mkeka
[02:37.67]Wameshikwa na baridi wanatetemeka
[02:40.17]Wamepatwa na mawenge wanaweweseka
[02:42.28]Huyu bwana hana mzaha anapiga honi
[02:44.67]Tena kabeba silaha kali kibindoni
[02:47.42]Sema suto na vumbi usoni
[02:49.47]Tia mguu uende na maji mtoni
[02:51.28]Anazijua njama, drama, utampenda
[02:55.89]Anakuwa mnyama ukiinama
[02:59.03]Ukiinuka amekwenda nawe eeh
[03:02.50]Mzee wa segedance
[03:04.25]Kukaba kuiba kashazoea, segedance
[03:06.29]Wanamuita segedance
[03:07.85]Dhuluma kupiga nyumbani, segedance
[03:14.12]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Segedance by Darassa, Rich Mavoko
1. Who is the singer of "Segedance" song?
⇒ Darassa, Rich Mavoko has sung the song "Segedance".
2. Which album is the "Segedance" song from?
⇒ The song "Segedance" is from the album Slave Becomes A King.
3. In which language is the "Segedance" song composed?
⇒ The song "Segedance" is composed in the Tagalog language.
4. What is the official duration of the "Segedance" song?
⇒ The official duration of "Segedance" is 03:45.04.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Darassa, Rich Mavoko - Segedance