Read, copy, and download the Nobody Is Safe 3 lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Nobody Is Safe 3 by Dizasta Vina from the album The Verteller. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 05:35.02. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Nobody Is Safe 3]
[ar:Dizasta Vina]
[al:The Verteller]
[lang:Swahili]
[length:05:35.02]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:22.82]Ah
[00:23.57]Eyo kutoka Panorama nasukuma ringi kisomi
[00:26.61]Maana wa kufanya hivi simuoni
[00:28.56]Na maji ni ya shingo nawapalia madingi kooni
[00:31.83]Kwa mistari mingi kushinda hata nzi sokoni
[00:33.99]Dizasta ndo'jina logo ya mtaa ina-shine kuta
[00:37.22]Na-type lugha usongo kushinda mdai fuba
[00:40.02]Nuksi kama asili iliyo-design kufa
[00:42.66]Shwain kaa kando uone game nai-define upya, yoh!
[00:46.24]Na usawa ndo' huu sikosei
[00:48.18]Mnapotea kwa sababu hamna basics, na hapo ndo'mnayumba
[00:51.97]Ndio maana mkienda juu siongei na vikundi vyenu utafikiri
[00:54.42]Crew za ma-gay, Ski'za
[00:56.88]Mfumo wa nguzo za hizi tungo ni ishara kwamba nimefuzu
[00:59.88]Kwa maana hii miruko ni imara
[01:01.79]Niko sky natafuta kikomo, kwenye kisomo
[01:04.78]Nachora beyond normal muulize Dubo Dibala
[01:07.34]Expansion to the hyperspace
[01:09.84]Nakaanga mawe yanaiva ma-verse
[01:11.44]Unaweza 'dhania ni Complex Ngwair ama utadhania Langa rebirth
[01:15.21]Material deep huku diver haendi
[01:17.41]Ni kama mufti aliyelamba haramu
[01:19.88]Tumeganda hata kope haiyumbi utasema ameganda sanamu
[01:23.99]Sipo kwenye route ya wavuvi mamluki nipo na mafundi
[01:26.79]Kina Ngugi wanawapa salamu
[01:29.17]Ukifika uliza utaambiwa mimi ni nani
[01:31.93]Utaonyeshwa mtiti kilo nyingi haipimi mizani
[01:34.64]Ukishindwa ita wabishi waje wahiji imani
[01:37.36]Waeleze naurudisha mziki nyumbani
[01:39.59]Na kama ndo' unafika sasa karibu center ya tenzi, huh!
[01:43.66]Uone bidhaa bila ya expire date
[01:46.22]Kubwa kushinda hata empire state
[01:48.61]So my single line is like your entire verse, nigga
[01:52.42]Usinishike mkono nikipake
[01:54.42]Hatuhitaji shobo, ni vina na mishono ka zuria
[01:57.89]Tofauti na midosho ya kipambe
[01:59.45]Tofauti na ngono au drama za domo na wenzake
[02:01.08]Nishavunja mwamba Kaskazini
[02:02.76]Tanzania hakuna Mroma mwenye stamina ya ku-rap na mimi
[02:06.07]Mizuka hewani utadhani anaye-rap ni jini
[02:09.09]Nusu mtu nusu rap machine
[02:11.00]Najua ushasikia tenzi bro ebwana utenzi huu noma
[02:14.79]Ita wanafunzi waje waperuzi ngoma
[02:17.26]We don't play good ukija tuna-execute
[02:19.81]Ujuzi kama Sherryl Woods naandika zaidi ya Daily News soma
[02:23.43]Panda safina imefunguliwa mito
[02:25.52]Na kingo ni mbovu ukioga tu umefunguliwa mito
[02:28.35]Wenzio wameacha mtindo wa kunichukulia simple
[02:30.82]Sikudanganyi hamna hewa huku nilipo
[02:33.60]Kwa maana ni juu sana hata ukibebwa kusogea bado
[02:37.54]Kwa hisia za ushairi napotea angani
[02:40.80]Kama vile jangwani zinavyopotea nyayo
[02:42.87]Ah! pesa inaongea nami naongea nayo
[02:45.87]Single nzito utafikiri na-double
[02:47.63]Nafoka kwa roho mbaya kama dingi wa kambo
[02:50.32]Muulize Fifi niko real kiasi sili na sharo
[02:53.00]Ripoti kutoka kilele cha ubora Kilimanjaro
[02:56.41]Ngoja tu-diverge, thanks to rap I won't die virgin
[02:59.70]Mwandiko utasema kau-design shorty
[03:01.90]Sura ya kazi utahisi mdai kodi
[03:03.76]Rai ya uhai mashakani siku hizi Emcees hawakai road
[03:07.41]Maliasili mama'angu anailinda kama mtoto wa majini
[03:11.16]Unaziamini ndoto? mi'ni kwa mama'ako
[03:14.02]Ndoto kwa demu wako, hata baba'ako anatamani
[03:16.49]Kuwa na mtoto kama mimi
[03:17.94]Sahau kuhusu chips kwenye foil
[03:20.17]Hiki chakula cha ubongo cha ku-feed kids
[03:22.89]Kwa lugha ya ku-twist kama coil
[03:25.17]Na maisha yangu myth mpaka naenda deep unaweza hisi nai-discover oil
[03:29.26]Code zinafanya wazungu wanazunguka
[03:32.12]Mafungu wanafunguka, mazuzu wanazuzuka
[03:34.61]Nilikuwa mtupu nikaokota buku nikabukuka
[03:37.31]Leo nasimulia tungo tukufu ni ka Lufufu kafufuka
[03:40.87]Legend kama Koffi Olomide
[03:43.13]Naikamata Dar kama Daudi wa Kolomije
[03:45.78]Nawalaza doro si-follow bata na-follow mishe
[03:48.25]Na ufundi ni controverse utasema Apollo mission
[03:51.59]Misele hapa mjini
[03:52.87]Natembea na begi la maiti nachinja bila kwere wala nini
[03:55.12]Busara tele utasema Nyerere ama Mwinyi
[03:59.24]Nafika kilele ila sipigi kelele kama nyinyi
[04:02.26]Fuvu limeshiba mautundu kwenye kichwa
[04:04.97]Niko underground na huku ndio mitutu inakofichwa
[04:07.77]Walikuja na gubu walizikwa kama wafu mbongo tubu
[04:10.37]Wazungu wanasujudu hiki kichwa
[04:13.35]We ni player unasifika? mi' ni game
[04:15.74]Kitambo kama Zinja kwenye plane za Afrika nasikitika hamjui
[04:19.51]Messages n'nazo-pack kwenye pictures n'nazo paint
[04:22.62]Niki-reveal scriptures kama saint uh!
[04:25.00]Ni kama big hulk kwenye mini-bus
[04:27.77]Sitoshi kwenye skinny vazi
[04:30.52]Gani lita-fit, ma-emcee wana-sound kama injini yenye hitilafu
[04:33.46]Mi'ni king wa Swahili rap get't? (yeeah!)
[04:36.48]Wanasema i am too real for the industry
[04:39.50]Stockhom mpaka Italy
[04:40.59]Ka' cruise yatch, groove hii ni concord
[04:42.46]Focus kama msongo ama mnoko anaye-solve murder mystery
[04:46.90]Look at my family tree
[04:49.93]Look at the chemistry i have, look at my pedigree
[04:52.38]You talk about being competitive? being authentic or
[04:56.31]Having body of work or longevity?
[04:57.80]Cheki hizi rythms cheki silabi
[05:00.54]Wananiita trickster cheki ma-trickery
[05:03.18]Ma-emotions passion love hope sympathy
[05:06.52]Uh! utahisi mkono wa Mungu umeandika hii
[05:08.42]Na-spit holly ka' n'nam-bite Masihi
[05:11.11]Kwa heshima namnyang'anganya mic Madee
[05:13.62]Hii ni fact hakuna emcee wa ku-rhyme ka' D
[05:16.86]Shorwebwenzi nenda uka-bite na hii
[05:19.32]Ni deep sana na ndio maana wanaita ngumu ku-rap
[05:22.29]Deep kama chumvi kwenye uvungu wa nyap
[05:24.76]Kabla hujani-book nitoe kwenye hayo mafungu pumbavu
[05:27.42]Mi' sio malaika mi' ni Mungu wa rap
[05:29.61]Haleluyah!
[05:30.26]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Nobody Is Safe 3 by Dizasta Vina
1. Who is the singer of "Nobody Is Safe 3" song?
⇒ Dizasta Vina has sung the song "Nobody Is Safe 3".
2. Which album is the "Nobody Is Safe 3" song from?
⇒ The song "Nobody Is Safe 3" is from the album The Verteller.
3. In which language is the "Nobody Is Safe 3" song composed?
⇒ The song "Nobody Is Safe 3" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Nobody Is Safe 3" song?
⇒ The official duration of "Nobody Is Safe 3" is 05:35.02.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Dizasta Vina - Nobody Is Safe 3