Read, copy, and download the Nitashinda lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Nitashinda by Mathias Walichupa from the album Nitashinda. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:51.41. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Nitashinda]
[ar:Mathias Walichupa]
[al:Nitashinda]
[lang:Swahili]
[length:03:51.41]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:11.47]Hu ndio utambulisho wangu
[00:14.78]
[00:17.03]Kwamba mi ni mzawa wa kifalme
[00:21.16]Alinijua
[00:23.31]Tangu mawazoni mwake eeh
[00:25.72]♪
[00:28.33]Alishanichagua niwe
[00:30.25]Wa upande wake eeh
[00:32.50]
[00:34.62]Ugumu wa changamoto
[00:37.46]Zinazo nikabili
[00:40.09]Hautoshi kubadili mawazo
[00:42.17]Mungu anayoniwazia
[00:45.86]Nina imani upo wakati
[00:48.94]Ambao mema
[00:51.45]Uliyopanga yatatimia
[00:55.10]Maana
[00:56.40]Sijaandikiwa kushindwa aah
[00:58.95]♪
[01:01.90]Nimeandikiwa kushinda Aah
[01:04.10]♪
[01:07.90]MUNGU yuko upande wangu uuh
[01:10.12]♪
[01:13.14]Nitashinda zaidi ya kushinda
[01:16.68]Nina imani nitashinda (Aah)
[01:19.78]Mi nitashinda (Aah)
[01:22.68]Mimi nitashinda (Aah)
[01:26.14]Najua uko upande wangu
[01:28.68]Naamini (Aah)
[01:31.06]Mi nitashinda (Aah)
[01:33.87]Mimi nitashinda (Aah)
[01:37.29]YESU uko upande wangu naamini
[01:39.68]♪
[01:42.64]Naamini Naamini Iyeiyeee
[01:44.86]♪
[01:51.52]Kwako nitangoja (Neno lako)
[01:54.40]Kwako nitangoja (Sauti yako)
[01:57.35]Kwako nitangoja kibali chako
[02:00.89]Bwana unipatie
[02:03.63]Nitangoja (Amani yangu)
[02:06.31]Nitangoja (Uponyaji wangu)
[02:08.31]Uweponi mwako YESU nitakaa
[02:10.51]♪
[02:14.09]Maana ukiwa upande wangu (Hakuna)
[02:17.21]Ni nani aliye juu yangu (Hakuna)
[02:20.29]Hakuna (Hakuna)
[02:23.96]Iyeiyeeee
[02:25.92]Tena ukisema ndio (Hakuna)
[02:28.82]Nani Apinge eeh (Hakuna)
[02:31.86]Hakuna (Hakuna)
[02:35.34]Nitashinda kwa maana
[02:38.11]Sijaandikiwa kushindwa aah
[02:40.32]♪
[02:43.86]Nimeandikiwa kushinda Aah
[02:46.06]♪
[02:49.59]MUNGU yuko upande wangu uuh
[02:51.84]♪
[02:54.86]Nitashinda zaidi ya kushinda
[02:57.05]
[02:59.23]Aaah (Aaah)
[03:01.65]Mi nitashinda (Aah)
[03:04.24]Mimi nitashinda (Aah)
[03:07.74]Najua uko upande wangu
[03:10.57]Naamini (Aah)
[03:12.68]Mi nitashinda (Aah)
[03:15.64]Mimi nitashinda (Aah)
[03:19.21]YESU uko upande wangu
[03:21.79]Naamini (Aah)
[03:24.01]♪
[03:30.46]Iyeiyeee
[03:33.44]Maana ukiwa upande wangu (Hakuna)
[03:36.78]Ni nani aliye juu yangu (Hakuna)
[03:39.43]Hakuna (Hakuna)
[03:39.73]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Nitashinda by Mathias Walichupa
1. Who is the singer of "Nitashinda" song?
⇒ Mathias Walichupa has sung the song "Nitashinda".
2. Which album is the "Nitashinda" song from?
⇒ The song "Nitashinda" is from the album Nitashinda.
3. In which language is the "Nitashinda" song composed?
⇒ The song "Nitashinda" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Nitashinda" song?
⇒ The official duration of "Nitashinda" is 03:51.41.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Mathias Walichupa - Nitashinda