Read, copy, and download the Niombee lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Niombee by Bensoul from the album Niombee. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:00.00. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Niombee]
[ar:Bensoul]
[al:Niombee]
[lang:Swahili]
[length:04:00.00]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:01.86]Ooh-ooh-ooh-ooh
[00:05.63]Sol Generation
[00:09.90]Mama, papa
[00:15.36]Naomba baraka kwenyu niondoke mimi
[00:20.78]Dada, brotherman
[00:26.26]Hebu someni kwa bidii ndio mje mjini
[00:31.52]Hapa, hapa nyumbani
[00:37.55]Sisi sio matajiri ila tunayo akili
[00:42.64]Chochote unachohitaji
[00:48.64]Ukikifanyia kazi
[00:51.07]Yeye atakibariki
[00:53.48]Ila wewe usisahau kuomba
[01:02.03]Na kila unapoomba
[01:04.40]Niombee, nikuombee
[01:10.09]Kwani maombi yangu pekee, hayawezi
[01:15.15]Niombee, nikuombee
[01:20.65]Kwani maombi yangu pekee, hayawezi
[01:25.87]My now (Everyday, all day)
[01:29.03]My future (Para-pam-pam-pam)
[01:31.60]Yeye ndiye ajuaye (Uh-huh)
[01:34.57]Yeye ndiye apangaye (Yes He knows, yeah)
[01:37.26]Jana, leo, kesho (And every other day)
[01:42.87]Yeye ndiye ajuaye (Yes He knows, yeah)
[01:45.64]Yeye ndiye apangaye
[01:48.02]Popote (Everywhere you wanna go)
[01:51.30]Unapohitaji kuenda yeye atakufikisha
[01:56.69](Yes he will be there, he will be there)
[01:59.26]Weka imani kwake
[02:01.60]Shida zako zote
[02:04.75]Hakuna linalomshinda
[02:09.53]Ila wewe (Don't you worry)
[02:13.21]Usisahau kuomba
[02:17.63]Na kila unapoomba
[02:20.39]Niombee, nikuombee
[02:26.53]Kwani maombi yangu pekee, hayawezi
[02:31.57]Niombee, nikuombee
[02:37.40]Kwani maombi yangu pekee, hayawezi
[02:41.92]Niombee, nikuombee
[02:48.26]Kwani maombi yangu pekee, hayawezi
[02:53.10]Niombee, nikuombee
[02:59.00]Kwani maombi yangu pekee, hayawezi
[03:06.00]♪
[03:26.08]Nawe usisahau kuomba
[03:34.63]Na kila unapoomba
[03:37.69]Niombee, niombee
[03:42.94]Kwani maombi yangu pekee, hayawezi
[03:47.87]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Niombee by Bensoul
1. Who is the singer of "Niombee" song?
⇒ Bensoul has sung the song "Niombee".
2. Which album is the "Niombee" song from?
⇒ The song "Niombee" is from the album Niombee.
3. In which language is the "Niombee" song composed?
⇒ The song "Niombee" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Niombee" song?
⇒ The official duration of "Niombee" is 04:00.00.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Bensoul - Niombee