Read, copy, and download the Nashindwa lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Nashindwa by Christian Bella from the album Christian Bella Compilation. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:03.98. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Nashindwa]
[ar:Christian Bella]
[al:Christian Bella Compilation]
[lang:Polish]
[length:04:03.98]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:02.14]Mie, mamie (mamie)
[00:04.31]We' ndo' mamie (mamie)
[00:06.39]We' ndo' dadie (dadie)
[00:09.64]Mie, mamie (mamie)
[00:12.64]We' ndo' mamie (mamie)
[00:14.58]We' ndo' dadie (dadie)
[00:17.75]Mie mie mie, mie mie mie, mie ehh
[00:21.91]Mie mie mie, mie mie mie, mie ehh
[00:26.04]Mbona kama unanionea?
[00:28.62]Haya mapenzi gani kila siku lazima nimbembeleze
[00:33.05]Nini sasa mpenzi wangu? Na we' utanibembeleza
[00:36.69]Na mimi nisikie unavyosikiaga nikikumbembeleza
[00:41.75]Ona kaneno mapenzi, kaneno kafupi
[00:45.26]Kana mambo mengi unayempenda atakuzingua
[00:49.14]Si' bora angesema ata mapema
[00:50.86]Aliniacha nimezama, kutoka sasa
[00:54.47](Nashindwa) shindwa (nashindwa)
[00:57.15]Kutoka mimi
[00:58.58](Nashindwa) shindwa (nashindwa)
[01:01.30]Ah-aah-ah
[01:02.95](Nashindwa) shindwa (nashindwa)
[01:05.17]Sijui nifanye nini?
[01:07.48](Nashindwaa...) mama weeeh
[01:10.90]Angejua kabisa ninavyompenda
[01:14.07]Sijawahi kupenda ndo' yeye wa kwanza ananizuzua
[01:18.01]Si' bora angesema ata mapema ameniacha nimezama
[01:22.15]Kutoka sasa
[01:23.64](Nashindwa) shindwa (nashindwa)
[01:26.30]Kutoka mimi
[01:27.63](Nashindwa) shindwa (nashindwa)
[01:30.44]Ah-aah-ah
[01:31.90](Nashindwa) shindwa (nashindwa)
[01:34.39]Sasa nifanye nini?
[01:36.19](Nashindwa...) mama weeeh
[01:39.09]Tuli, la-la, la-la
[01:40.69]Mie mie mie (mie), mie mie mie (mimi) mieeh
[01:44.63]Mie mie mie (mimi), mie mie mie (mimi) mieeh
[01:48.49]Mie mie mie (mie), mie mie mie (mimi) mieeh
[01:52.66]Mie mie mie (mimi), mie mie mie (mimi) mieeh
[01:56.52]♪
[02:05.52]Ghafla tu anafunga vilago, namuuliza hatakikusema
[02:10.17]Tatizo ni nini? Sijui kunashida gani?
[02:14.77]Haya mapenzi, lawama kila siku mimi
[02:18.69]Tulia mama, mimi ni wako nakupenda sana
[02:22.61]Usihagangaike, usibabaike
[02:26.82]Na wale maadui nataka wabaki na aibu
[02:30.15]We' ni wangu, mi' ni wako, mpenzi wangu
[02:33.94]Ebu punguza maringo na mapozi, nakupenda
[02:38.27]Wewe ni wangu, mi' ni wako, mpenzi wangu
[02:42.37]Punguza maringo na mapozi, nakupenda
[02:46.43]Mie, I say mamie (mamie)
[02:49.13]We' ndo dadie (dadie)
[02:51.15]We' ndo mamie (mamie)
[02:53.45]We' ndo dadie
[02:54.91]Mie, mamie (mamie)
[02:57.48]We' dadie (dadie)
[02:59.31]We' mamie (mamie)
[03:01.37]Yeh
[03:02.80]Mie, mamie (mamie)
[03:05.70]Ye ye ye ye ye
[03:11.13]Ale, we' ni wangu, mi' ni wako, mpenzi wangu
[03:15.52]Punguza maringo na mapozi, nakupenda
[03:19.61]Wewe ni wangu, mi' ni wako, mpenzi wangu
[03:23.12]Punguza maringo na mapozi nakupenda
[03:28.31]Mie, mamie (mamie)
[03:30.77]We' ndo mamie (mamie)
[03:32.76]We' ndo dadie (dadie)
[03:35.10]Mie, mamie (mamie)
[03:38.79]We' ndo' mamie (mamie)
[03:40.83]We' ndo' dadie (dadie)
[03:44.10]Ale we' ni wangu, mamie (mamie)
[03:46.84]Mimi ni wako mamie (mamie)
[03:48.77]We' ni wangu, mamie (mamie)
[03:50.83]Mimi ni wako mama oh
[03:56.48]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Nashindwa by Christian Bella
1. Who is the singer of "Nashindwa" song?
⇒ Christian Bella has sung the song "Nashindwa".
2. Which album is the "Nashindwa" song from?
⇒ The song "Nashindwa" is from the album Christian Bella Compilation.
3. In which language is the "Nashindwa" song composed?
⇒ The song "Nashindwa" is composed in the Polish language.
4. What is the official duration of the "Nashindwa" song?
⇒ The official duration of "Nashindwa" is 04:03.98.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Christian Bella - Nashindwa