Read, copy, and download the Naogopa lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Naogopa by Marioo, Harmonize from the album Harmonize. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:00.00. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Naogopa]
[ar:Marioo, Harmonize]
[al:Harmonize]
[lang:Somali]
[length:04:00.00]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:08.27]Mmh hahaha
[00:10.87]Ye ye
[00:13.23]Mmmh aaah aahhh
[00:18.14]Sounds by abbahaaa
[00:21.66]Kwetu situnasherehe
[00:23.86]Mapenzi, sio makasiriko ah haa
[00:31.52]Kwetu ni fuhara tele
[00:34.29]Maana mapenzi, sio makasiriko mmh mmh
[00:41.72]Hata kama tukishindia tembele
[00:45.48]Ooh! My love
[00:47.81]Baba mwenye nyumba kodi apige kelele
[00:50.70]Ooh! My love
[00:52.54]Hata kama tunapanda dala dala
[00:56.13]Mi nawe my love
[00:57.91]Et chetu chumba kina mavyombo tele
[01:01.13]Inahusu?
[01:02.81]Wala sidhani kama hunipendi
[01:07.78]Ila nawaza usipokuwepo ntaishije eeh
[01:13.06]Mwenzako najua kamaa unanipenda
[01:17.21]Umeniweka moyoni
[01:18.30]Ila nawaza usipokuwepo ntaishije
[01:21.84]Ndo ninaogopa (aah)
[01:25.30]Aah aah aaaah naogopa
[01:29.45]Aah aah aaaah naogopa
[01:34.97]Aah aah aaaah naogopa
[01:40.03]Aah aah aaaah naogopa (yao yao)
[01:45.75]♪
[01:54.28]Hivi hushangai napendwa
[01:57.64]Ila sura bado inakosa nuru
[02:00.50]Yani najiona sipo huru
[02:03.39]Napagawaa
[02:05.32]Siku sinavyozidi kwenda
[02:07.92]Najiona kabisa nitakufuru
[02:10.60]Maana naishi ka-kunguru
[02:13.02]Kutwa kuzificha mbawaa
[02:15.22]Ridhiki yangu a papatu papatu
[02:18.41]Mara nilipe vikoba upatu
[02:21.11]Vipi ukija kutamani vya watu
[02:23.37]Mimi si utaniacha
[02:26.44]Ukiachilia mbali mashindao
[02:28.99]Wanaonizidi pesa muonekano
[02:31.81]Si lazima nikutajie mifano
[02:34.39]Niahidi kama utayaweza mapambano
[02:37.04]Icho ndo kinanipa mawaza
[02:39.09]Nikikupost biashara matangazo
[02:40.97]Sintoweza kukuechunga
[02:43.79]Mbele za wenye mipunga
[02:46.36]Mmh mmmh mmmh baby (Abee)
[02:49.84]What can I do?
[02:51.62]Baby, I no go let you go
[02:55.18]And I want you more
[02:56.89]Oh wooh wooh wooh baby (Abee)
[03:00.17]What can I do?
[03:02.26]Baby, I no go let you go
[03:05.04]And I want you more
[03:07.27]Mwenzako ooh
[03:09.88]Aah aah aaaah naogopa
[03:12.52]Kweli mwenzako naogopa
[03:14.80]Aah aah aaaah naogopa
[03:17.78]Baisi kiota changu kiona choyo
[03:20.68]Aah aah aaaah naogopa
[03:21.23]Maana wasije nichoma mkuki wa moyo
[03:25.34]Aah aah aaaah naogopa
[03:27.86]Na na na na hi aah
[03:34.19]Konde boy call me number one Bahkresa
[03:39.41]Mimwenzako naogopa aah
[03:42.22]Aah aah mmh mmh aaah (Tshi)
[03:49.81]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Naogopa by Marioo, Harmonize
1. Who is the singer of "Naogopa" song?
⇒ Marioo, Harmonize has sung the song "Naogopa".
2. Which album is the "Naogopa" song from?
⇒ The song "Naogopa" is from the album Harmonize.
3. In which language is the "Naogopa" song composed?
⇒ The song "Naogopa" is composed in the Somali language.
4. What is the official duration of the "Naogopa" song?
⇒ The official duration of "Naogopa" is 04:00.00.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Marioo, Harmonize - Naogopa