Read, copy, and download the My Woman lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song My Woman by Wakadinali from the album Wakadinali. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:47.39. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:My Woman]
[ar:Wakadinali]
[al:Wakadinali]
[lang:Swahili]
[length:03:47.39]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:03.72]You're my beautiful woman, ju ya urembo wako nishakubali
[00:10.68]Don't make it complicated
[00:12.82]Woman, nataka ni we wako nipe kibali
[00:21.97]My woman
[00:23.82]Aah, ni vipi busha itakuaje babygal mi nikikuguza
[00:27.75]Ni siku mingi nikizipuuza, mahitaji mrembo shinda hivi hi disuza
[00:32.92]Kweli nimesota straight fuck, sina hela
[00:35.08]Lakini ananiota sista Cinderella
[00:37.41]Nitapeleka posa fasta, pima hema
[00:39.72]Na nikifanya makosa hate Scar si Mandela
[00:42.26]Rymino na unajua yet sjakubamba kama
[00:44.34]Romeo na Juliet, sijajipanda kamba
[00:46.69]Ananfanya napona mtoto wa kigeti kali
[00:49.17]Nalia kama tono mekua vayoleti kwani
[00:51.33]Cheki hali, mami vile inatuzorotisha mambo gani
[00:54.58]Kwani hali kutukorofisha, choma ubani ndani ndio tuseti koro kisha
[00:58.39]Tumake love mbaka siku tutafollow Issa
[01:00.29]You're my beautiful woman, ju ya urembo wako nishakubali
[01:07.19]Don't make it complicated
[01:09.24]Woman, nataka niwe wako nipe kibali
[01:16.84]Yeah, sema yeng ndio utumeswaga mkini
[01:19.95]Sina budi when shaking her body akitwerk
[01:21.81]Ye humeesha adi magwiji
[01:22.72]Boobs ni jigi, jelly buttocks yani ni fierce booty
[01:25.08]It is besides belly button, amepierce pussy
[01:27.40]Bonnie and Clyde hawajaonja hizi stra za mapenzi
[01:29.80]Romeo and Juliet ndio level wasee watatuenz'
[01:32.08]Ju tukiride bora boda unanislide mbaka che
[01:34.43]Msupa umeni El chapo na hizo Vybez za Kartel
[01:36.74]Sikukshow that mi nikifall ni ajali yako (aah)
[01:39.25]Unani nice ukikulia kila chali vako (aah)
[01:41.30]Usanif wako socialites lazima waitake it humble, vaileti hapa pendeki
[01:45.26]Ndio nikudishi ilibaki nikuingize box ka ile keki yako ya fedeli
[01:48.33]Shawry wa geti kali, mi namdate tu kispensi
[01:50.42]Nasweat ati shame, hatuna shida chuki ispread
[01:53.52]Daily mi nastrike, utamistake nikupet
[01:55.63]After sex nikuset, tunashinda tukiset
[02:02.08](Dr Munga, Dr Munga)
[02:04.35]Hi ma, usijali nimenyanya, macho chini ka za China
[02:09.19]Niko high mi ni rasta whatsup, uko fly we ni Batman
[02:13.15]Mi sdai fructure na mabad man, what's that?
[02:15.97]Ukiolewa niwe best man, ndio usiku npate pewa nikilewa tekwa
[02:20.68]Na huyo chali yako akate hewa waste ma
[02:22.99]Mara ya kwanza kustuka, umebeba maduba
[02:25.50]Kila shingo kupinda, ni ati mbaka una sura
[02:27.67]Kwa kujaze ukanuna, bizi blaze mastula
[02:30.11]Akaolewa Maria, bass kwaheri my muna
[02:32.74]Unatesa, babu mtoi mbaka madha
[02:35.41]Anateta, how come stoki kwa hio meda
[02:38.94]Ati uko kesha, ama unamegwa
[02:41.43]Niko home leo baby don't act a fool
[02:43.90]Kuja close nami mami kama mic kwa booth
[02:46.43]Sai unatake maboi teke kama Usain na crew
[02:48.50]Ukiplace madem njeve degree kama minus two
[02:50.57]We si mordinary ka, ma rowdy youths
[02:52.77]Kwenye toyota cruise, umenistand ka stage ma aah
[02:56.24]Venye umejaza ka steady yeah
[02:59.03]You're my beautiful woman, ju ya urembo wako nishakubali
[03:07.09]Don't make it complicated
[03:09.22]Woman, nataka niwe wako nipe kibali
[03:18.40]My woman, ju ya urembo wako nishakubali
[03:25.30]Don't make it complicated
[03:27.65]Woman, nataka niwe wako nipe kibali
[03:35.61]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen My Woman by Wakadinali
1. Who is the singer of "My Woman" song?
⇒ Wakadinali has sung the song "My Woman".
2. Which album is the "My Woman" song from?
⇒ The song "My Woman" is from the album Wakadinali.
3. In which language is the "My Woman" song composed?
⇒ The song "My Woman" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "My Woman" song?
⇒ The official duration of "My Woman" is 03:47.39.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Wakadinali - My Woman