Read, copy, and download the Mtamu lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Mtamu by D Voice from the album Swahili Kid. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:08.86. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Mtamu]
[ar:D Voice]
[al:Swahili Kid]
[lang:Swahili]
[length:03:08.86]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:11.64]Aah! Mwenzako mbona kufanya kama wao nawezaga
[00:16.03]Ila tatizo naona aibu
[00:18.88]Style zote paka za kuvunja chaga
[00:22.09]Naziweza ila paka niwe na vaibu
[00:25.98]Basi ngoja kwanza ninywe kidogo
[00:28.26]Nikilewa ndo nakuwa mtamu
[00:32.55]Oya ngoja ninywe kidogo
[00:35.36]Nikilewa ndo nakuwa mtamu
[00:37.98]Mwenzako hivihivi nakuwa sinogi
[00:40.72]Nipe japo hata kidogo nichangamshe body
[00:44.21]Mwenzako hivihivi nakuwa sinogi
[00:47.57]Nipe japo hata kidogo nichangamshe body
[00:51.08]Haaaya!
[00:52.94]Ndo maana unaona kama mi nakuzingua
[00:56.85]Tatizo sijapata dawa dawa
[01:00.45]Ngoja nipate hata moja bia
[01:03.68]Ntakupa vitu yaani paka utapagawa
[01:07.52]Afu kama unabisha nipe kidogo nionje
[01:10.62]Mi stimu yangu shisha, ganja na pombe
[01:14.04]Mwili ukipata stata kwenye bedi usiombe
[01:17.17]Haunipati kwa mkongo ata ukinywa vidonge
[01:20.33]Basi ngoja kwanza ninywe kidogo
[01:22.74]Nikilewa ndo nakuwa mtamu
[01:26.82]Oya ngoja ninywe kidogo
[01:29.18]Nikilewa ndo nakuwa mtamu
[01:31.98]Mwenzako hivihivi nakuwa sinogi
[01:34.60]Nipe japo hata kidogo nichangamshe body
[01:38.53]Mwenzako hivihivi nakuwa sinogi
[01:41.70]Nipe japo hata kidogo nichangamshe body, Weee wewe!
[01:47.05]Haya dada tikisa kario kario kario kario kariakoo
[01:50.53]Wasio kuwa na wenye ngongingo warushe roho
[01:53.69]Wee dada tikisa kario kario kario kario kariakoo
[01:57.11]Wasio kuwa na wenye wowowo warushe roho
[02:00.25]Haya sasa nitikisie maboga
[02:02.62]Nitikisie mamboga mboga
[02:04.53]Nitikisie maboga
[02:05.97]Nitikisie mamboga mboga
[02:07.92]Hamisi chacha kaona paja kadata
[02:11.25]Sa shobo za nini wakati nimekuacha
[02:14.70]Hamisi chacha kaona paja kadata
[02:17.79]Sa shobo za nini wakati nimekuacha
[02:21.31]Staki mishobo na wewe mi mwenzako stakiii
[02:25.73]Mishobo na wewe mimi akuu staki
[02:29.73]Mishobo na wewe
[03:07.59]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Mtamu by D Voice
1. Who is the singer of "Mtamu" song?
⇒ D Voice has sung the song "Mtamu".
2. Which album is the "Mtamu" song from?
⇒ The song "Mtamu" is from the album Swahili Kid.
3. In which language is the "Mtamu" song composed?
⇒ The song "Mtamu" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Mtamu" song?
⇒ The official duration of "Mtamu" is 03:08.86.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
D Voice - Mtamu