• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Mkono Wa Bwana Lyrics by Zabron Singers - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Mkono Wa Bwana lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Mkono Wa Bwana by Zabron Singers from the album Mkono Wa Bwana. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 05:49.49. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Mkono Wa Bwana by Zabron Singers LRC Format

    [ti:Mkono Wa Bwana]
    [ar:Zabron Singers]
    [al:Mkono Wa Bwana]
    [lang:Swahili]
    [length:05:49.49]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:03.98]Mmmmmmm ah ah ah ah
    [00:12.77]Tumeuona mkono wake bwana
    [00:21.36]Mengi mazuri tumeyaona
    [00:24.34]Mungu umetenda
    [00:26.46]Ni kweli we muweza
    [00:30.68]Ulitamka vitu vikawa
    [00:33.32]Neno tu latosha
    [00:36.50]Ukisema umetenda
    [00:39.97]Bahari shamu Isiraeli
    [00:42.87]Ah uliwavusha
    [00:46.03]Ukawatoa utumwani
    [00:49.34]Watumishi wako umewapa
    [00:52.15]Yote waombayo
    [00:54.58]Ikiwa umependezwa
    [00:58.71]Uamulo hakuna wa kulipinga
    [01:02.41]Hakika we ni Mungu (wa vyote)
    [01:08.04]Unatawala dunia na vilivyomo
    [01:11.67]Makuu umeyatenda (Jehova)
    [01:15.73]Hakika tumeona
    [01:17.03]Tumeuona (ona baba) mkono wako Bwana
    [01:21.32]Matendo yako Bwana ni makuu mno
    [01:25.88](Na umetutoa) Umetutoa mbali
    [01:28.28](Mnali kweli) Ukatushika mkono
    [01:30.79](Ooh mungu) Mahali uliona pekee hatuwezi
    [01:34.72](Chini chini chini)
    [01:36.20]Chini hata juu (chini yao watu)
    [01:37.74]Watu unawainua
    [01:40.13](Ooh mungu) Sifa na utukufu ni zako milele
    [01:44.58](Natutakusifu)
    [01:45.91]Twasifu jina lako (Jina lako baba)
    [01:47.75]Milele tutakusifu (ooh kweli)
    [01:50.12]Daima we umwema tutaishi kwako (aaah tumeona)
    [01:54.94]Tumeuona (Ona baba)
    [01:57.17]Mkono wako Bwana (Bwana kweli)
    [01:59.53]Matendo yako Bwana ni makuu mno (Na umetutoa)
    [02:03.96]Umetutoa mbali (Mbali kweli)
    [02:06.40]Ukatushika mkono (ooh mungu)
    [02:08.60]Mahali uliona pekee hatuwezi (Chini chini chini chini)
    [02:13.50]Chini hata juu (chini hao watu)
    [02:15.63]Watu unawainua (Oooh mungu)
    [02:18.03]Sifa na utukufu ni zako milele (Natutakusifu)
    [02:22.70]Twasifu jina lako (Jina lako baba)
    [02:24.83]Milele tutakusifu (Oooh kweli)
    [02:27.53]Daima we umwema tutaishi kwako
    [02:33.23]Ona Ona Ona
    [02:40.08]Ona Ona Ona Ona
    [02:50.38]Msalabani ulitufia
    [02:55.73]Hm ulitupenda
    [02:58.01]Dhambi zetu ukabeba
    [03:03.07]Baraka zako tuliziomba kweli tumeona
    [03:07.42]Hakika unabariki
    [03:11.37]Oh hata vipaji we ndo hutoa
    [03:14.31]Umetuwezesha
    [03:16.65]Tunaimba na kusifu
    [03:20.72]Walio haki hutowaacha
    [03:23.38]Uliwaahidi
    [03:25.81]Hata mwisho wa dahari
    [03:30.01]Hm watu wako umewapa mamlaka
    [03:33.66]Kwa jina lako Yesu
    [03:36.14]Waponye
    [03:39.58]Na huna ubaguzi
    [03:40.87]Wote ni sawa kwako
    [03:43.52]Umetuita Yesu (tupone Hakika we ni mwema)
    [03:49.18]Tumeuona (Ona baba)
    [03:51.19]Mkono wako Bwana (ona kweli)
    [03:53.60]Matendo yako Bwana ni makuu mno (Na umetutoa)
    [03:58.48]Umetutoa mbali
    [04:00.55]Ukatushika mkono
    [04:02.85]Mahali uliona pekee hatuwezi (Chini chini chini chini)
    [04:06.85]Chini hata juu (chini yao watu)
    [04:09.82]Watu unawainua (ooh unawainua)
    [04:12.11]Sifa na utukufu ni zako milele
    [04:16.88]Twasifu jina lako (jina lako baba)
    [04:19.50]Milele tutakusifu (Ooh kweli)
    [04:21.59]Daima we umwema tutaishi kwako (Aaah tumeona)
    [04:26.48]Tumeuona (Ona baba) mkono wako Bwana (ooh kweli)
    [04:31.03]Matendo yako Bwana ni makuu mno (Na umetutoa)
    [04:35.83]Umetutoa mbali (Mbali kweli)
    [04:38.15]Ukatushika mkono (Oooh mungu)
    [04:40.10]Mahali uliona pekee hatuwezi (Chini chini chini chini)
    [04:44.86]Chini hata juu (chini hao watu)
    [04:47.02]Watu unawainua (Oooh mungu)
    [04:49.31]Sifa na utukufu ni zako milele (Na tutakusifu)
    [04:54.12]Twasifu jina lako (Jina lako baba)
    [04:56.33]Milele tutakusifu (Oooh kweli)
    [04:58.58]Daima we umwema tutaishi kwako
    [05:03.75](Ona Ona) Ona (Ona Ona) Ona
    [05:08.18]Daima we umwema tutaishi kwako (Ona)
    [05:12.36]Ona (Ona Ona) Ona (Ona Ona)
    [05:17.58]Daima we umwema tutaishi kwako
    [05:21.48]Ona Ona (Ona Ona) Ona (Ona Ona)
    [05:26.79]Daima we umwema tutaishi kwako
    [05:30.69]Ona (Ona Ona) Ona (Ona Ona)
    [05:36.27]Daima we umwema tutaishi kwako
    [05:42.12]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Mkono Wa Bwana by Zabron Singers

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Sweetie Sweetie

    Mkono Wa Bwana


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Mkono Wa Bwana" song?

    ⇒ Zabron Singers has sung the song "Mkono Wa Bwana".

    2. Which album is the "Mkono Wa Bwana" song from?

    ⇒ The song "Mkono Wa Bwana" is from the album Mkono Wa Bwana.

    3. In which language is the "Mkono Wa Bwana" song composed?

    ⇒ The song "Mkono Wa Bwana" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Mkono Wa Bwana" song?

    ⇒ The official duration of "Mkono Wa Bwana" is 05:49.49.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Zabron Singers - Mkono Wa Bwana