• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Mama Ni Mama Lyrics by Bony Mwaitege - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Mama Ni Mama lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Mama Ni Mama by Bony Mwaitege from the album Mama Ni Mama. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 08:38.62. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Mama Ni Mama by Bony Mwaitege LRC Format

    [ti:Mama Ni Mama]
    [ar:Bony Mwaitege]
    [al:Mama Ni Mama]
    [lang:Swahili]
    [length:08:38.62]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:14.22]Imeandikwa waheshimu wazazi wako
    [00:18.95]Siku zako zipate ongezeka
    [00:23.13]Imeandikwa waheshimu baba na mama
    [00:27.51]Vijana wengi waheshimu baba peke yake
    [00:31.53]Kwa kuwa mama ni mpole wengi wanamdharau
    [00:35.89]Unatenda dhambi ukimdharau mama ni mama huyo
    [00:41.47]Oh Mama, Mama
    [00:45.47]Oh Mama, Mama
    [00:57.43]Ni mama yako usimpigie Ngumi
    [01:02.13]Ni mama yako huyo usimtukane
    [01:06.49]Ni mama yako usimnyoshe kidole
    [01:10.62]Mama ni mama hata kama huna msingi elimu ni mama huyo
    [01:19.41]Ni mama yako usimpigie Ngumi
    [01:23.60]Ni mama yako huyo usimtukane
    [01:28.05]Ni mama yako usimnyoshe kidole
    [01:32.42]Mama ni mama hata kama huna msingi elimu ni mama huyo
    [01:41.17]Mama mama mama, uwezo wa kukulipa sina
    [01:50.02]Kwa taabu ulininyonyesha
    [01:54.18]Namwomba Mungu akupe baraka mama
    [02:00.33]Ooh Mama, mama aah
    [02:20.67]Mama yako alinusurika kufa wakati unazaliwa wewe dada
    [02:29.60]Aliweka roho mkononi wakati wa kuzaliwa kwako kaka
    [02:38.38]Mama yako alinusurika kufa wakati unazaliwa wewe baba
    [02:46.97]Aliweka roho mkononi wakati wa kuzaliwa kwako dada
    [02:55.41]Ni mama yako usimpigie Ngumi
    [02:59.71]Ni mama yako huyo usimtukane
    [03:04.30]Ni mama yako usimnyoshe kidole
    [03:08.67]Mama ni mama hata kama huna msingi elimu ni mama huyo
    [03:17.32]Mama mama mama, uwezo wa kukulipa sina
    [03:26.08]Kwa taabu ulininyonyesha
    [03:30.45]Namwomba Mungu akupe baraka mama
    [03:35.98]Ooh Mama, mama aah
    [03:47.87]Mama mama mama, uwezo wa kukulipa sina
    [03:56.72]Kwa taabu ulininyonyesha
    [04:01.04]Namwomba Mungu akupe baraka mama
    [04:06.85]Ooh Mama, mama aah
    [04:26.86]Unapata wapi ujasiri wa kumtukana mama
    [04:31.48]Unapata wapi ujasiri wa kumpunja
    [04:35.98]Unapata wapi ujasiri wa kumpiga mama yako
    [04:39.95]Unapata ujasiri pepo ni pepo hiyo
    [04:45.05]Uponywe kwa jina la Yesu
    [04:53.12]Mama mama mama, uwezo wa kukulipa sina
    [05:01.71]Kwa taabu ulininyonyesha
    [05:05.80]Namwomba Mungu akupe baraka mama
    [05:11.67]Ooh Mama, mama aah
    [05:23.42]Mama mama mama, uwezo wa kukulipa sina
    [05:31.97]Kwa taabu ulininyonyesha
    [05:36.58]Namwomba Mungu akupe baraka mama
    [05:42.10]Ooh Mama, mama aah
    [05:58.90]Mungu alimuamini mama akakuweka tumboni miezi tisa
    [06:07.26]Mama yako alikuwa mwaminifu kwa Mungu
    [06:11.61]Akakutunza tumboni miezi tisa
    [06:16.64]Mungu alimuamini mama akakuweka tumboni miezi tisa
    [06:25.09]Mama yako alikuwa mwaminifu kwa Mungu
    [06:29.41]Kakutunza tumboni miezi tisa
    [06:33.80]Kumbuka baba yako naye anayo tumbo
    [06:38.04]Jiulize kwa nini hukuwekwa kwa baba yako Mheshimu mama
    [06:43.77]Ooh mama
    [07:08.61]Mama mama mama
    [07:12.83]Uwezo wa kukulipa sina
    [07:17.40]Kwa taabu ulininyonyesha
    [07:21.61]Namwomba Mungu akupe baraka mama
    [07:27.15]Ooh Mama, mama aah
    [07:39.22]Mama mama mama, uwezo wa kukulipa sina
    [07:47.88]Kwa taabu ulininyonyesha
    [07:52.15]Namwomba Mungu akupe baraka mama
    [07:57.82]Ooh Mama, mama aah
    [08:06.50]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Mama Ni Mama by Bony Mwaitege

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Tega Sikio (Uko Wapi)

    Mama Ni Mama


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Mama Ni Mama" song?

    ⇒ Bony Mwaitege has sung the song "Mama Ni Mama".

    2. Which album is the "Mama Ni Mama" song from?

    ⇒ The song "Mama Ni Mama" is from the album Mama Ni Mama.

    3. In which language is the "Mama Ni Mama" song composed?

    ⇒ The song "Mama Ni Mama" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Mama Ni Mama" song?

    ⇒ The official duration of "Mama Ni Mama" is 08:38.62.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Bony Mwaitege - Mama Ni Mama