• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Jipe Lyrics by Nadia Mukami, Marioo - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Jipe lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Jipe by Nadia Mukami, Marioo from the album African Popstar. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:25.27. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Jipe by Nadia Mukami, Marioo LRC Format

    [ti:Jipe]
    [ar:Nadia Mukami, Marioo]
    [al:African Popstar]
    [lang:Somali]
    [length:03:25.27]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:03.44]Ayayaya
    [00:06.15]Nadia
    [00:07.56](Alexis on the beat)
    [00:09.07]Kamoyo kangu kachoyo, ila kwako nimetulia
    [00:13.47]Nairobi mpaka bagamoyo, anataka kunichumbia
    [00:18.26]Sasa nalishwa, navishwa, naogeshwaaa aaah
    [00:23.54]Tena nalindwa napendwa yule si wa kufichaaa aah
    [00:28.11]Picha kule Kule, watapata taabu saaana
    [00:32.72]Macho mbele mbele, ananipenda saaana aah
    [00:37.79]Hakuna pingamizi kwetu
    [00:39.96]Hakuna madrama huku kwetu
    [00:42.22]Hatuna maneno huku kwetu
    [00:44.46]Tunapendana kikwetu
    [00:46.77]Aka kamoyo kangu nijipe
    [00:50.59]Nijipe
    [00:51.79]Ukinipenda sana nijipe
    [00:55.06]Nijipe
    [00:56.50]Aka kamoyo kangu nijipe
    [01:00.13]Nijipe
    [01:01.38]Ukinipenda sana nijipe...(oh na na na)
    [01:05.01]Nijipe
    [01:05.90]Mmmh
    [01:07.74]Mi mwenzako nawezaga kupenda sikatai
    [01:11.07]Kweli
    [01:12.61]Uh.ndo nishazama usinipige kipapai honey
    [01:17.72]Mi apo kwako nishabwaga moyo usiulaghai kweli
    [01:22.30]Uh.ndo ushakwama unachotaka sikatai honey
    [01:27.01]Najua bado huamini haya yamekua(yamekua ehh)
    [01:32.35]Acha siamini
    [01:34.32]Si hakuna pingamizi kwetu
    [01:37.38]Hakuna madrama huku kwetu
    [01:39.75]Hatuna maneno huku kwetu
    [01:42.12]Tunapendana kivyeeetuu
    [01:44.40]Aka kamoyo kangu nijipe...(oh na na na)
    [01:48.27]Nijipe...(.mmmh)
    [01:49.55]Ukinipenda sana nijipe...(nijipe eh)
    [01:52.50]Nijipe
    [01:54.16]Aka kamoyo kangu nijipe...(aka kamayo kangu nijipe)
    [01:57.72]Nijipe
    [01:58.86]Ukinipenda sana nijipe...(Ukinipenda Sana)
    [02:01.41]Nijipe
    [02:03.83]Mapenzi malove nawe
    [02:04.94]Iwe shida au raha nitaponda nawe
    [02:08.53]Nataka kapicha nawe
    [02:10.55]Kumbusho pale tumetoka nawee
    [02:12.98]Siamini leo ni mimi nawe(uuuh mama) ni mimi na wewe
    [02:18.06]Hizi pesa nitafute nawe(uuuh mama) nitafute na wewe
    [02:22.86]Lemme call you my dear
    [02:23.93]This love is real not bandia
    [02:27.15]If I love you hutakimbia
    [02:29.70]Coz my love is real not bandia
    [02:32.40]Hakuna pingamizi kwetu
    [02:34.90]Hakuna madrama huku kwetu
    [02:37.40]Hatuna maneno huku kwetu
    [02:39.63]Tunapendana kikwetu
    [02:41.97]Aka kamoyo kangu nijipe...(aka kamoyo kangu mie)
    [02:45.37]Nijipe...(nijipe nijipe)
    [02:47.38]Ukinipenda sana nijipe...(aah nijipatie basi)
    [02:49.73]Nijipe
    [02:51.68]Aka kamoyo kangu nijipe...(aka kamayo kangu mie)
    [02:55.15]Nijipe...(uh na na na)
    [02:56.87]Ukinipenda sana nijipe...(oh na na na)
    [02:59.48]Nijipe...(mmmh)
    [03:02.03]Nijipe... Nijipe
    [03:06.32]Nijipe... Nijipe
    [03:11.40]Nijipe... Nijipe
    [03:15.34]Ukinipenda sana nijipe
    [03:19.28]Nijipe
    [03:20.82]Kanadia katamu
    [03:21.31]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Jipe by Nadia Mukami, Marioo

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Jipe

    Dawa

    Mi Na We


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Jipe" song?

    ⇒ Nadia Mukami, Marioo has sung the song "Jipe".

    2. Which album is the "Jipe" song from?

    ⇒ The song "Jipe" is from the album African Popstar.

    3. In which language is the "Jipe" song composed?

    ⇒ The song "Jipe" is composed in the Somali language.

    4. What is the official duration of the "Jipe" song?

    ⇒ The official duration of "Jipe" is 03:25.27.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Nadia Mukami, Marioo - Jipe