Read, Copy, Download simple local lyrics LRC file which is music subtitles of Inauma is a Swahili song from the album Inauma and this song is sung by Bien. This synchronized LRC file is created by our stuff using our free tool "LRC File Maker" and our provided LRC files are only for the official length of the songs like this song's duration is 03:30.30. You can also download lyrics here in TXT (.txt), SRT (.srt) and PDF (.pdf) format.
[ti:Inauma]
[ar:Bien]
[al:Inauma]
[lang:Swahili]
[length:03:30.30]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:10.29]Kukosana na wewe, sikutarajia
[00:15.35]Kuwa mbali na wewe, aki umeniacha pabaya
[00:20.24]Kutengana na wewe, imenibadilisha sana
[00:25.09]Nimetamani nilewe, aki nakunywa nasazamana
[00:29.15]N'taambia nini watu, Regina?
[00:32.22]Haya mapenzi yalinoga
[00:34.24]Nakumbuka tulipeana majina
[00:37.22]Leo "Baby," kesho "Tomato"
[00:39.15]Mitandao ikaleta vitina
[00:42.19]Ukawa huambiliki
[00:44.06]Nami kichwa changu na kikavimba
[00:46.96]Nikawasisemezeki
[00:49.05]Inauma, inauma, lakini n'tazoea
[00:53.96]Inauma, inauma, lakini n'tazoea
[00:58.87]Hali ya mwanaume duniani ni kuzoea
[01:03.76]Hali ya binadamu duniani ni kuzoea, ndio nashindwa
[01:10.85]♪
[01:19.49]Densi, oh, densi, densi tulikamata hadi usiku wa manane, ayy
[01:29.41]Kesi, oh, kesi, kesi tukakubali tutapendana milele
[01:39.36]Nyimbo, nyimbo, nyimbo tulizopenda zanikumbushanga wewe
[01:48.97]Kamisi, oh, kamisi, kamisi na baika uliwacha nanusanga ndio nilale
[01:56.77]Oh, yoyo
[01:58.31]Tutaambia nini watu, Regina?
[02:01.18]Haya mapenzi yalinoga
[02:03.22]Nakumbuka tukila bata na beer
[02:06.56]Party aftеr party
[02:07.94]Shetani gani alituingilia?
[02:11.20]Akatuweka asunder
[02:13.24]Ilovito pahali imеnifikisha
[02:16.24]I'll never love another
[02:18.01]Na inauma, inauma, lakini n'tazoea
[02:23.09]Inauma, inauma, lakini n'tazoea
[02:27.89]Hali ya binadamu duniani ni kuzoea
[02:32.80]Hali ya mwanaume duniani ni kuzoea, ndio nashindwa
[02:37.99]Inauma, inauma, lakini n'tazoea
[02:43.04]Inauma, inauma, lakini n'tazoea
[02:47.70]Hali ya binadamu duniani ni kuzoea
[02:52.56]Hali ya mwanaume duniani ni kuzoea, ndio nashindwa
[02:57.39]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Inauma by Bien
1. Who is the singer of "Inauma" song?
⇒ Bien have sung the song "Inauma".
2. Which album is 'Inauma' song from?
⇒ Inauma.
3. In which language is 'Inauma' song composed?
⇒ Inauma song is composed in Swahili language.
4. What is the official duration of 'Inauma' song?
⇒ The official duration of 'Inauma' is 03:30.30.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this lrc file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match with the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you need to apply an offset using our tool LRC File Maker (i.e., +10.. or -10..).
Bien - Inauma