Read, copy, and download the Imaginary Love lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Imaginary Love by Otile Brown from the album Otile Brown. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:52.54. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Imaginary Love]
[ar:Otile Brown]
[al:Otile Brown]
[lang:Swahili]
[length:03:52.54]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:02.04]Eeeh mie bwana
[00:05.66]Yeah what'up Otile Brown
[00:07.86]Tayari ushajua Jones
[00:09.67]It's you boy Khaligraph Jones
[00:12.24]Eeeh mie bwana
[00:16.12]Dadicated to all beautiful girls
[00:19.27]Nakupenda hata zaidii ya navyojipenda mwenzio
[00:24.09]Na hayo maisha hayana thamani zaid yako
[00:29.11]Ninakuhitaji zaidi ya chochote kile ninachokikosa
[00:33.85]Na nitapoteza kidogo nilichojaaliwa nikifika nakukosa aah
[00:39.56]Ninakupenda we wajua ah niteketea kwa ajiri ya dhambi zako
[00:45.49]Ila nisilojua ni kama nitakuwa nimekuokoa
[00:49.15]Na wewe ni mimi na mimi ni wewe
[00:51.70]Mi nawe kitu kimoja ah
[00:54.28]Ukilia nami nitalia uchungu wako niuhisia
[00:57.53]Hata nikiwa mbali na wee eh
[00:59.77]Penzi li ni kama lile la Romio na Julieth
[01:05.59]Penzi li ni kama lile la Romio na Julieth
[01:10.37]Hakunaga kile nisiloweza fanya
[01:15.29]Hakunaga kile nisiloweza fanya
[01:19.77]Wanaodai wamezaliwa pamoja
[01:22.50]Mimi na wewe tuliumbwa pamoja
[01:25.04]We ni nafsi nami niroho
[01:27.16]Watu wawili wamoja
[01:30.14]Penzi lisilofananishwa
[01:33.43]Penzi lisilolinganishwa
[01:35.91]La kipekee eh oho
[01:40.20]Ninakupenda we wajua ah niteketea kwa ajiri ya dhambi zako
[01:46.15]Ila nisilojua ni kama nitakuwa nimekuokoa
[01:50.09]Na wewe ni mimi na mimi ni wewe
[01:52.56]Mi nawe kitu kimoja ah
[01:55.14]Ukilia nami nitalia uchungu wako niuhisia
[01:58.00]Hata nikiwa mbali na wee eh
[02:00.97]Penzi li ni kama lile la Romio na Julieth
[02:05.97]Penzi li ni kama lile la Romio na Julieth
[02:11.19]Hakunaga kile nisiloweza fanya
[02:15.63]Hakunaga kile nisiloweza fanya
[02:19.90]Vile nakupenda sidhan kama watanielewa
[02:22.53]Kanifanya chizi we malkia ili natakapewa
[02:24.89]Hata bila hela we bado ukanishikilia
[02:27.59]Bila kujitenga so we pekee ndo umefikiria
[02:30.04]So never worry what people what they gonna say
[02:32.85]My aim is just make u happy each and every way
[02:35.30]Msichana wa kiafrika unahitaji sifa
[02:37.70]Roho yangu kwako nishawajibika
[02:40.66]And if u didn't know ndo sasa mi ninakushauri
[02:43.59]Na niteketea kwa ajiri ya dhambi zako ooh
[02:47.12]Eh wajua (yeah I will never leave you alone)
[02:50.71]Mana mimi ni wewe, wewe ni mimi
[02:53.21]Mi nawe kitu kimoja ah
[02:55.65]Ukilia nami nitalia uchungu wako niuhisia
[02:58.71]Hata nikiwa mbali na wee eh
[03:01.86]Penzi li ni kama lile la Romio na Julieth
[03:07.05]Penzi li ni kama lile la Romio na Julieth
[03:12.11]Hakunaga (Hakunaga zaidi yangu mimi na wewe)
[03:17.14]Hakunaga kile nisiloweza fanya
[03:21.62]This is dedicated specifically to that special one
[03:26.38]Yule mmoja form yours truely
[03:31.07]Otile Brown and K, Jones
[03:37.02]Dreamland music baby
[03:47.11]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Imaginary Love by Otile Brown
1. Who is the singer of "Imaginary Love" song?
⇒ Otile Brown has sung the song "Imaginary Love".
2. Which album is the "Imaginary Love" song from?
⇒ The song "Imaginary Love" is from the album Otile Brown.
3. In which language is the "Imaginary Love" song composed?
⇒ The song "Imaginary Love" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Imaginary Love" song?
⇒ The official duration of "Imaginary Love" is 03:52.54.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Otile Brown - Imaginary Love