Read, copy, and download the Handsome lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Handsome by Dayoo, Young Lunya from the album Handsome. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 02:56.32. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Handsome]
[ar:Dayoo, Young Lunya]
[al:Handsome]
[lang:Somali]
[length:02:56.32]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:00.88]Yaah, say
[00:03.63]Naitwa mangi
[00:05.39]Onana eeh
[00:09.55]Handsome, handsome oyeah
[00:14.58]Handsome, handsome
[00:18.49]Kwanza sina makuu
[00:20.74]Sura inajieleza, na
[00:24.23]Sibagui nguo vyoyote napendeza, hao
[00:28.90]Madada duu wanatokwa udenda, mm na
[00:33.84]Nikifika tu wanajisogeza
[00:36.98]Na sio salio, naongwa hadi mikoko
[00:40.72]Mamiloo midundo wanaleta shobo
[00:43.12]Eti dadio Dubai kuna party
[00:45.51]Njoo, sina hizo buyu nala bati joh
[00:47.88]Madada wanajikweza
[00:50.00]Waje ishi na mie eee
[00:52.40]Wanajikweza ah waje ishi na mie ee
[00:56.86]Call me
[00:58.42]Handsome handsome handsome
[01:04.32]Handsome handsome handsome
[01:11.36]Handsome handsome handsome
[01:16.73]Okey
[01:17.70]Nasifika kwa mapenzi na mademu
[01:19.46]Kila kona sasa wananita handsome
[01:22.48]Nasifika kwa mapenzi na mademu
[01:24.56]Kila kona sasa wananiita handsome
[01:25.83]Yeah
[01:27.25]Taarifa za mimamam nazipata, za vibinti nazipata
[01:29.74]Sio kuhongwa nilishapelekwa dubai kula bata
[01:32.14]Na ticketi zikakatwa kil akitu bila shaka
[01:34.78]Sura mabaya ni kitambo wewe sasa hivi nishajipata
[01:37.69]Puya ka nimeoga manukato
[01:40.13]Pua yangu ikitokeza wanagongesha macho
[01:42.21]Pisi yoyote kunipata lazima itoke jasho
[01:44.30]Na mwendo wangu unaweza sema naenda kiminyato
[01:46.96]Fake smile unaweza sema natafuta kumbato
[01:49.15]Pisi kali huna kibunda utakula kwa macho
[01:51.77]Kwenye pesa kuna raha sileti minato
[01:54.53]Pelekea sana moto wakapeane michapo
[01:56.91]Na ndiyo sababu sina demu misala haiishi kutongozwa na mashemu
[02:00.97]Birthday kila mwaka zawadi kemkem
[02:03.66]Mpaka namwagika pesa kama chem chem
[02:06.77]Dm nyingi nachanyikiwa sifa zote ni kwa Mungu nimebarikwa
[02:10.84]Sura bango imetakata ka'naogea maziwa
[02:13.32]Watu wengine Wanagombewa
[02:14.70]Mimi napapatikiwa umesikia
[02:16.79]Handsome handsome handsome
[02:22.57]Handsome handsome handsome
[02:28.01]Handsome handsome
[02:35.86]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Handsome by Dayoo, Young Lunya
1. Who is the singer of "Handsome" song?
⇒ Dayoo, Young Lunya has sung the song "Handsome".
2. Which album is the "Handsome" song from?
⇒ The song "Handsome" is from the album Handsome.
3. In which language is the "Handsome" song composed?
⇒ The song "Handsome" is composed in the Somali language.
4. What is the official duration of the "Handsome" song?
⇒ The official duration of "Handsome" is 02:56.32.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Dayoo, Young Lunya - Handsome