• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Extremist Lyrics by Wakadinali - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Extremist lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Extremist by Wakadinali from the album Wakadinali. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:03.11. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Extremist by Wakadinali LRC Format

    [ti:Extremist]
    [ar:Wakadinali]
    [al:Wakadinali]
    [lang:Welsh]
    [length:03:03.11]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:01.38]Eey yoh yoh
    [00:04.18]Man a driller
    [00:06.34]Niko na rib hapa anaitaka kuacha beer joh skiza
    [00:09.38]HR pump iyo track bana
    [00:11.35]Beshte amechambua na akona lotta great ideas
    [00:14.48]But hanaku tukis utadu what? Kuwaibia
    [00:17.39]Naongelelea about my peers walikuwa hata dusit last year
    [00:20.43]Extremist watajipa-pa-pa-pa bila hisia
    [00:23.73]Beshte amechambua na akona lotta great ideas
    [00:26.50]But hanaku tukis utadu what? Kuwaibia
    [00:29.74]Naongelelea about my peers walikuwa hata dusit last year
    [00:32.38]Extremist watajipa-pa-pa-pa bila hisia
    [00:35.52]Vojas walitoka home Friday ati kwenda mosque
    [00:38.72]After Swalla akabaki nyuma juu mtaa nakuplot
    [00:41.91]Sheikh alimwonea huruma akamuuliza kwani what's wrong
    [00:44.68]Sina dooh, sina dooh na mtaa joh hanaku form
    [00:47.81]Nimesomea upilot na naonyeshwa ati kuna wera Som
    [00:50.89]So ka una rada insha'Allah insha'Allah nishikanishe joh
    [00:53.45]Nimechoka kubaki home familia yangu joh inataka dooh
    [00:57.01]Shika namba nihalla nihalla ka uko ready yoh
    [00:59.82]There is no need for you to suffer alone
    [01:01.87]We are here bro
    [01:03.03]Uncle yangu ako na dooh lakini hata hawezi nipatia loan
    [01:05.40]So ndo maana nataka kwenda abroad ama hio wera Som
    [01:09.06]So ndo maana nataka kwenda abroad ama hio wera Som
    [01:11.39]Hours turns days, weeks to months
    [01:13.97]Mans is stressed he almost collapsed
    [01:16.72]Extremism in his brain he don't give a fuk
    [01:20.14]He just need some space and money to bounce back
    [01:23.24]Daily amekuwa posted block akimedi kuwashika koo
    [01:26.34]Anaona it's not easy though especially akifikiria mob
    [01:29.77]Aliuzanga tropical akaona hio biz hainanga dooh
    [01:32.69]Kila time anafikiria venye ako one phone call to Som
    [01:36.03]Beshte amechambua na akona lotta great ideas
    [01:38.80]But hanaku tukis utadu what? Kuwaibia
    [01:41.69]Naongelelea about my peers walikuwa hata dusit last year
    [01:44.45]Extremist watajipa-pa-pa-pa bila hisia
    [01:47.95]Beshte amechambua na akona lotta great ideas
    [01:50.47]But hanaku tukis utadu what? Kuwaibia
    [01:53.94]Naongelelea about my peers walikuwa hata dusit last year
    [01:56.31]Extremist watajipa-pa-pa-pa bila hisia
    [01:59.58]Alikuwa depressed akapigia Sheikh kufollow up ile case
    [02:02.27]Hii kitu si mambo na race ama dini ni ngori ya state
    [02:05.88]Alimpatia appointment after prayer
    [02:07.54]Friday same same place
    [02:09.03]Hakuwa anaelewa akiekwa por potea without a trace
    [02:10.90]In the name of prayer, faith pia akaekelea
    [02:14.40]Akaambiwa trip ya kwanza to Somalia inafaa ikuwe December
    [02:16.97]Akapatiwa kakhi chweza kwanza ndo akiachia familia yake better
    [02:20.60]Akaanza kujitoa mjahidin na kutwambia venye anasepa
    [02:23.56]Sai ako ketepa, masurba hatuwezi teta
    [02:25.94]Kageta tunaona vile kila mtu tunaona vile amepenya
    [02:29.62]Hatukumuona after a while until tukamwona kwa crime
    [02:32.54]Organised na Al-Shabaab akajilipua to his demise
    [02:38.60]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Extremist by Wakadinali

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Ume Tii

    Starehe Ndani Ya Roho

    Ujinga Ujinga

    Dilated

    Different Energy (Katapilla)

    Rock With Me (Sudough Doss)

    Interlude

    Man's Thanos

    My Woman

    Karibu Eastside (Sudough Doss)

    Ni Hivi Ama Ni Hivi

    Pharmaceuticals (Skillo)

    Extra Pressure

    Freestyle

    Hallelujah

    Shosh Gwangi

    Hatubahatishi (Katapilla)

    No Cap (Sudough Doss)


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Extremist" song?

    ⇒ Wakadinali has sung the song "Extremist".

    2. Which album is the "Extremist" song from?

    ⇒ The song "Extremist" is from the album Wakadinali.

    3. In which language is the "Extremist" song composed?

    ⇒ The song "Extremist" is composed in the Welsh language.

    4. What is the official duration of the "Extremist" song?

    ⇒ The official duration of "Extremist" is 03:03.11.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Wakadinali - Extremist