Read, copy, and download the Bei Imepanda lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Bei Imepanda by Breeder LW, Ssaru from the album Bazenga Mentality. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:41.64. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Bei Imepanda]
[ar:Breeder LW, Ssaru]
[al:Bazenga Mentality]
[lang:Swahili]
[length:03:41.64]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:12.22]Ukipanda ligi unafaa kujigamba
[00:14.20]Ku flex huanga gharama
[00:16.34]Shawty a 10 sura ni safi haitaki mascara
[00:19.33]Depo ziii baada ya janta leta ma bramba
[00:22.28]Wakisema unajifanya
[00:23.61]Si kwa ubaya bei imepanda
[00:24.75]Bei imepanda bei imepanda si kwa ubaya bei imepanda
[00:28.82]Wakisema unajifanya si kwa ubaya bei imepanda
[00:31.63]Bei imepanda, bei imepanda si kwa ubaya bei imepanda
[00:34.76]Baada ya janta leta ma bramba si kwa ubaya bei imepanda
[00:38.02]Bei imepanda design ya irori
[00:39.55]Uswahilini husema bei ni ghali
[00:41.20]Sitaki hio mchezo ya ndai ni ndai
[00:42.79]Bei imepanda na pree ferrari
[00:44.40]Ka ni kurau ni very early
[00:46.02]Kuzikusanya ni daily habit
[00:48.22]Naiga Van Persie bei ilipanda akatoka Arsenali
[00:50.79]Bei imepanda lakini ya PS5 tunangoja ishuke
[00:54.02]Denri mbichi hazilali kwa kamba ama utazikosa shoke
[00:57.22]Bei imepanda najifanya bubu ka story hubongi ya pake
[01:00.23]Bei ilipanda nikatoka msupa nikaanza kusuka mathake
[01:03.48]Campo ariff second year alisare
[01:05.08]Na ni kwa nini
[01:06.03]Fee ilipanda
[01:06.81]Kukinyesha we chorea ma nganya
[01:08.37]Na ni kwa nini
[01:09.22]Fare hupanda
[01:09.97]Bei imepanda nadai Tanasha
[01:11.61]Na ni kwa nini
[01:12.25]Ndio nikue step father
[01:13.22]Niko na kwetu,me ni ja usonga nikiukata siezi zikwa lang'ata
[01:16.29]Na sipigi lap ka sii ganji imenitoa
[01:17.82]Panda bei mpaka hater aseme unafanya kazi poa
[01:19.61]Ka ulipata rona uliza nani ali kohoa
[01:21.06]Wametry kutuondoa naona bado wajatoboa
[01:22.84]Ngoma ka imeshika unakatika sure
[01:24.38]Drip ikikubali we mwagika loa
[01:26.07]Ukipata ayela na amejipa oa
[01:27.62]Na ni smooth amenyoa Bazenga atabomoa
[01:29.17]Statue mi nataka isundwe hapo kando ya Mboya
[01:30.88]Man a heavyweight me ni black De la Hoya
[01:32.39]Hapa kila kesi tuna solve bila lawyer
[01:33.98]Chai si ya edgar chai ni ya soya
[01:35.54]Ukipanda ligi unafaa kujigamba
[01:37.54]Ku flex huanga gharama
[01:39.54]Shawty a 10 sura ni safi haitaki mascara
[01:42.41]Depo ziii baada ya janta leta ma bramba
[01:45.51]Wakisema unajifanya
[01:46.78]Si kwa ubaya bei imepanda
[01:47.89]Bei imepanda bei imepanda si kwa ubaya bei imepanda
[01:51.89]Wakisema unajifanya si kwa ubaya bei imepanda
[01:54.67]Bei imepanda, bei imepanda si kwa ubaya bei imepanda
[01:57.92]Baada ya janta leta ma bramba si kwa ubaya bei imepanda
[02:01.63]Bei imepanda nilipe ndio nije matanga
[02:04.65]Mi nakuita mshamba ka we unangoja nirudi moshadha
[02:07.99]Zile mboka mi napanga usinilipe ni ka doo unachanga
[02:10.95]Ati bob bob eh buda mi nitakuganga
[02:14.22]Hii pete ilipatanga chanda
[02:15.72]Na ni kwa nini bei imepanda
[02:17.32]Usiku ni kazi napanga
[02:18.72]Na ni kwa nini
[02:19.48]Sina kitanda
[02:20.65]Safari inasonga na nganya ambia mahater wafunge mikanda
[02:23.78]Hii doba imekuja kuhanya vile inatesa ni vol kupanda, ayy
[02:27.45]Vol kupanda kwenye videsa nachocha na TK
[02:30.27]Bars on bars kutamba vile ni kubaya tumeleta decay
[02:33.58]Fresh utadhani ni pk umestarve we ngoja nipike
[02:36.79]Jaduong akisema nisike kenye anamean ni buda nishike
[02:39.89]Ni simba lakini ni jike na bado nawinda so bana nipishe
[02:43.06]Hii kitu lazima ijipe mi niko macho hadi jimbi liwike
[02:46.31]Ka ni collabo sipeani sare ju mi pia nili kanja the weekend
[02:49.43]Usikurupukwe ndio ati mi nilipuke nauwa ndio nyinyi mzike
[02:52.81]So bei imepanda buda nasema ati bei imepanda
[02:56.04]Na bei ikipanda mi huwa nachachisha kama makanga
[02:59.22]Nilisare kibanda walai ata heri nikose kumanga
[03:02.30]Bei imepanda wacha kulia ati uko dimanga
[03:05.23]Ukipanda ligi unafaa kujigamba
[03:06.99]Ku flex huanga gharama
[03:08.87]Shawty a 10 sura ni safi haitaki mascara
[03:11.97]Depo ziii baada ya janta leta ma bramba
[03:15.13]Wakisema unajifanya
[03:16.42]Si kwa ubaya bei imepanda
[03:17.99]Bei imepanda bei imepanda si kwa ubaya bei imepanda
[03:21.51]Wakisema unajifanya si kwa ubaya bei imepanda
[03:24.40]Bei imepanda, bei imepanda si kwa ubaya bei imepanda
[03:27.59]Baada ya janta leta ma bramba si kwa ubaya bei imepanda
[03:32.75]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Bei Imepanda by Breeder LW, Ssaru
1. Who is the singer of "Bei Imepanda" song?
⇒ Breeder LW, Ssaru has sung the song "Bei Imepanda".
2. Which album is the "Bei Imepanda" song from?
⇒ The song "Bei Imepanda" is from the album Bazenga Mentality.
3. In which language is the "Bei Imepanda" song composed?
⇒ The song "Bei Imepanda" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Bei Imepanda" song?
⇒ The official duration of "Bei Imepanda" is 03:41.64.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Breeder LW, Ssaru - Bei Imepanda