• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Ananipenda Lyrics by Platform, Marioo - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Ananipenda lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Ananipenda by Platform, Marioo from the album Above and Beyond. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:35.60. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Ananipenda by Platform, Marioo LRC Format

    [ti:Ananipenda]
    [ar:Platform, Marioo]
    [al:Above and Beyond]
    [lang:Swahili]
    [length:03:35.60]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:12.02]Ananipenda nikinuna nuna ananibembeleza
    [00:21.44]Ananipenda moyo ushazama kwake eti ameniweza
    [00:28.82]♪
    [00:31.49]Wengi wanasema ni ushamba kupenda ama kupendwa
    [00:36.73]Ila leo nataka niwaambie
    [00:42.07]Wala sioni kama ni ushamba
    [00:45.01]Kupenda usipopendwa
    [00:47.41]Ila aaah acheni niwaambie
    [00:51.96]Akinuna siwezi kulala moy unaniuma
    [00:57.90]Nakosa raha namuwaza yeye
    [01:03.10]Nikinuna hawezi kulala moyo unamuuma
    [01:08.28]Anakosa raha ananiwaza
    [01:12.14]Ameitawala akili
    [01:15.80]Namdhibiti anidhibiti
    [01:17.74]Eeeh
    [01:19.38]Alipo nipo nami nilipo yupo
    [01:22.99]Ananipenda nikinuna nuna ananibembeleza
    [01:26.82]♪
    [01:34.33]Ananipenda moyo ushazama kwake eti ameniweza
    [01:42.91]Ameniwezaaa
    [01:47.98]Oooh no Oooh nooo Eeeh
    [01:50.56]
    [01:52.98]Eti anasema akinywa maji
    [01:57.53]Ananiona kwenye glasi
    [01:59.60]Nami samaki ye ndo maji
    [02:03.31]Nampatia nampatia
    [02:05.63]Mi mwenyewe siwezi kula
    [02:08.67]Yani chakula hakipiti
    [02:11.16]Hata nikikunywa maji
    [02:13.57]Ananipatia ananipatia
    [02:15.80]Aaah kama sio mimi
    [02:19.62]Ni wapi angepata faraja anajiuliza Aaah
    [02:24.27]Eeeh kama sio yeye ni wapi
    [02:28.28]Ningepata faraja mi najiuliza aaaah eeeh
    [02:36.19]Anapendaga Aaah kila mara anione eeeh
    [02:42.76]Alipo nipo nami nilipo yupo
    [02:47.43]Anasema
    [02:50.68]Ananipenda nikinuna nuna ananibembeleza
    [02:54.68]♪
    [02:58.39]Ananipenda moyo ushazama kwake eti ameniweza
    [03:10.38]Ananipenda nikinuna nuna ananibembeleza
    [03:21.34]Ananipenda moyo ushazama kwake eti ameniweza
    [03:26.06]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Ananipenda by Platform, Marioo

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Ananipenda

    One More Night


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Ananipenda" song?

    ⇒ Platform, Marioo has sung the song "Ananipenda".

    2. Which album is the "Ananipenda" song from?

    ⇒ The song "Ananipenda" is from the album Above and Beyond.

    3. In which language is the "Ananipenda" song composed?

    ⇒ The song "Ananipenda" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Ananipenda" song?

    ⇒ The official duration of "Ananipenda" is 03:35.60.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Platform, Marioo - Ananipenda